Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Nahivyo vidonda vinaenda kumuua auInawezekana ila not easy do u know why soms hapa chin.
Wanyama jamii za mapaka makubwa wapo very aggressive haswa haswa wanaposhambuliwa na wanyana wengine chatu atapata tabu sana ikiwemo kuumia sn ivo ata yy anajua kuwa pale vita naweza kushinda ila lazima niondoke na vidonda.