Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Hata ng'ombe anamezwa mkuu! By the way hivi wale anaconda wa amazon hawamezi tembo kweli?
Awawezi kumeza Tembo labda awe Abnormal maana Duniani kuna viumbe abnormal vinapitiliza ukubwa But still tembo ni mkubwa tu unajua Diameter ya Tembo akilala kweli.

*Diameter ya tembo kubwa atachanika (Elastic inakikomo)
*Uzito mkubwa
*Mwili mkubwa hauwezi kuozeshwaukimezwa (Digestion ya nyoka kali ila si kwa Size ya Tembo)
 
Duuh nimewaza sasa wakimuona yule mweusi wanawezaje kutofautisha kuwa huyu ni jaguar na huyu ni cougar (puma)
Size na shape hawa jamii ya chui tofauti ipo kwenye vitu vingi moja wapo Size rangi ni kipengere kidogo.
 
Nami niliwaza hilo la kumkamata bichwa lake ila hiyo itafaa ikiwa hajakubana hadi mikono! What if akakuwahi akakubana hadi mikono ukabaki umenyooka kama moja utafanyaje?
Hapo mkuu unakuwa huna namna ni kitoweo tu cha mawindo ya chatu.
Jamii ya chatu hapa nchini wapo aina mbili. Kuna sawaka na chatu. Mwepesi wa kudaka binaadam na mawindo yake huwa niya kukurupuka ni sawaka. Huyu hata kwenye maji anauzoefu wa kukaa muda mrefu na ni mrefu zaidi ya chatu.
Chatu mawindo yake ni nyeti na anatumia akili nyingi sana kumkamata mnyama. Hapendi purukushani na binaadam na wanyama wengineo welevu.
 
Leopard ni Chui madoa
Tiger ni Chui milia
Watu wanachanganya sana vitu, ila kwa maandishi yako natumai watajiweka sawa na kuelewa kuwa mwenye madoa ni chui (Leopard) na mwenye mistari ni chui milia (Tiger).
Katika hawa wanyama jamii ya Chui milia ni hatari sana hasa species aina ya Siberian na Indian tiger hapo kwa kweli chatu hawasogelei hata chembe.
 
Hahaha bora hata majambazi yanaweza yakakuhurumia yakaghairi kukuua mkuu! Huyo bwana mkubwa hadi afikie hiyo hatua basi we jihesabu ushageuzwa kitoweo tu!
Kuandika rahisi mkuu. Ila ikiwa ndo tukio mubashara panic tu inaweza mrahisishia bwana chatu kukumeza maana unaweza baki unabweka tu bwiii, bwiiii, bwiiii hata hajajiviringisha bado.
 
Unachanganya Chui(Leopard) na Duma(Cheetah).

Cheetah ndio mwenye tabia hizo kwasababu katika wanyama walanyama cheetah ndio mdhaifu anazinguliwa hadi na fisi ila sio

Leopard huyo ni Badass anaroho mbaya fisi mwenyewe anamuheshimu hana haja ya kukutisha ukimbie yeye anakuvaa mzimamzima
Leopard wanasema ndo the most aggressive big cat
 
Kuandika rahisi mkuu. Ila ikiwa ndo tukio mubashara panic tu inaweza mrahisishia bwana chatu kukumeza maana unaweza baki unabweka tu bwiii, bwiiii, bwiiii hata hajajiviringisha bado.
Bwii bwiii haha
 
Awawezi kumeza Tembo labda awe Abnormal maana Duniani kuna viumbe abnormal vinapitiliza ukubwa But still tembo ni mkubwa tu unajua Diameter ya Tembo akilala kweli.

*Diameter ya tembo kubwa atachanika (Elastic inakikomo)
*Uzito mkubwa
*Mwili mkubwa hauwezi kuozeshwaukimezwa (Digestion ya nyoka kali ila si kwa Size ya Tembo)
Oohh sawa Mkuu nimekusoma
 
Duma ni mountain lion... tiger..leopard..cheetah...jaguar wote kwa kiswahili wanaitwa chui
Mkuu mountain lion ni cougar/puma/panther/catamount na hana madoa! Cheetah ni duma kama duma na ana madoa!
 
Akishakuwahi huwezi kutumia nguvu hata kidogo make ana kucha mbili kali sana mkiani ambazo huzisweka fasta kwenye mwili wako na kwa wepesi wa hali ya juu anakuroll na kujivuta kwa kukufunga kwa nguvu wakati huo zile kucha zinabana kukunyima pumzi!
Unapokuwa traped na chatu cha kwanza kabisa ni kuvaa ujasiri na kisha react kimapambano. Kama una kitu chenye ncha kali ni msaada tosha kwako kumlarua pembezoni mwa kiwiliwili chake au kama una panga kata kwa kufyeka/chonga na ukiwa huna siraha kabisa daka bichwa lake tanua domo lake kwa nguvu atachanika kama karatasi.
Nyoka mwenye uwezo wa kukumeza utachanaje mdomo wake? 😆
 
Watu wanachanganya sana vitu, ila kwa maandishi yako natumai watajiweka sawa na kuelewa kuwa mwenye madoa ni chui (Leopard) na mwenye mistari ni chui milia (Tiger).
Katika hawa wanyama jamii ya Chui milia ni hatari sana hasa species aina ya Siberian na Indian tiger hapo kwa kweli chatu hawasogelei hata chembe.
Siberian tiger anafikia mpaka kg 360+
 
Hapo mkuu unakuwa huna namna ni kitoweo tu cha mawindo ya chatu.
Jamii ya chatu hapa nchini wapo aina mbili. Kuna sawaka na chatu. Mwepesi wa kudaka binaadam na mawindo yake huwa niya kukurupuka ni sawaka. Huyu hata kwenye maji anauzoefu wa kukaa muda mrefu na ni mrefu zaidi ya chatu.
Chatu mawindo yake ni nyeti na anatumia akili nyingi sana kumkamata mnyama. Hapendi purukushani na binaadam na wanyama wengineo welevu.
Ni kweli mkuu maana naona watu wanafanya masihara tu humu eti chukua kiwembe sijui jitupe chini hahaha! Hizo akili au nguvu sijui huyo mtu anazipata wapi kwa wakati huo!
 
Watu wanachanganya sana vitu, ila kwa maandishi yako natumai watajiweka sawa na kuelewa kuwa mwenye madoa ni chui (Leopard) na mwenye mistari ni chui milia (Tiger).
Katika hawa wanyama jamii ya Chui milia ni hatari sana hasa species aina ya Siberian na Indian tiger hapo kwa kweli chatu hawasogelei hata chembe.
Sahihi kiongozi! Na hawa tigers nasikia ni wakubwa sana kiumbo kuliko hata simba!
 
Back
Top Bottom