Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
1,829
2,000
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: Je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,470
2,000
Inawezekana ila not easy do u know why soms hapa chini.

Wanyama jamii za mapaka makubwa wapo very aggressive haswa haswa wanaposhambuliwa na wanyana wengine chatu atapata tabu sana ikiwemo kuumia sana hivyo hata yeye anajua kuwa pale vita naweza kushinda ila lazima niondoke na vidonda.
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,569
2,000
chatu hutumia kuua kwa kitu inaitwa(coiling)yaan ndani sekunde anakuwa ameshamzunguka mnyama yoyote na kumbana hadi ashindwe kupumua!!nadhani chatu na wanyama kama chui au simba wakikutana wataogopana sababu wote wana technic sawa
 
galelee

Senior Member
Mar 5, 2019
105
500
Wapo chatu wakubwa wenye uwezo wa kummeza ngombe na jamii ya paka wakubwa simba nk akimmneza swala dume mwenye pembe ndefu anaanzia nyuma matakoni mpaka katika shingo la swala hapo anabana mdomo atakaa hivyo kwa siku 2 mpaka shingo ioze ikikatika anaweza kutafuta mlo mwingine kutegemea na ukubwa wake
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,825
2,000
Ni mara chache sana chatu kumkuta ameweka windo lake kwa wanyama welevu na wanaotumia akili nyingi. Wanyama wanaotumia akili nyingi ni pamoja na;
Binaadam
Chui
Paka
Nguchiro
Nyegere
Simba
Tembo.
Akijatahidi sana anaweza kumbabatiza kwa kujichanganya binaadam ila kwa tahadhari kubwa sana.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,085
2,000
Inawezekana ila not easy do u know why soms hapa chin.

Wanyama jamii za mapaka makubwa wapo very aggressive haswa haswa wanaposhambuliwa na wanyana wengine chatu atapata tabu sana ikiwemo kuumia sn ivo ata yy anajua kuwa pale vita naweza kushinda ila lazima niondoke na vidonda.
Yaap upo sahihi kabisa, yani kumla Simba, chui , tiger , jaguar au hata duma sio kazi rahisi Kwa chatu, wale majamaa hawanaga masihara, they fight miserably wanapoona wapo hatarini, in short sio kazi rahisi may be abahatishe ambaye sio mzima kiafya, mdogo au ni Mzee Sana, vinginevyo labda amfume amelala but whatever the situation those big cats never accept defeat so easily.....!!!
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
1,829
2,000
Ni mara chache sana chatu kumkuta ameweka windo lake kwa wanyama welevu na wanaotumia akili nyingi. Wanyama wanaotumia akili nyingi ni pamoja na;
Binaadam
Chui
Paka
Nguchiro
Nyegere
Simba
Tembo.
Akijatahidi sana anaweza kumbabatiza kwa kujichanganya binaadam ila kwa tahadhari kubwa sana.
Hivi chatu akikubana na mwili wake kweli hauwezi kujiondoa How it is powerful.
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,825
2,000
Hivi chat akikubana na mwili wake kweli hauwezi kujiondoa How it is powerful.
Akishakuwahi huwezi kutumia nguvu hata kidogo make ana kucha mbili kali sana mkiani ambazo huzisweka fasta kwenye mwili wako na kwa wepesi wa hali ya juu anakuroll na kujivuta kwa kukufunga kwa nguvu wakati huo zile kucha zinabana kukunyima pumzi!
Unapokuwa traped na chatu cha kwanza kabisa ni kuvaa ujasiri na kisha react kimapambano. Kama una kitu chenye ncha kali ni msaada tosha kwako kumlarua pembezoni mwa kiwiliwili chake au kama una panga kata kwa kufyeka/chonga na ukiwa huna siraha kabisa daka bichwa lake tanua domo lake kwa nguvu atachanika kama karatasi.
 
Babu Mzee Mbaya

New Member
Jan 20, 2021
3
45
IMG_1269.jpg
 
Kheee kucha tena situlikubaliana nyoka hana mikono
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom