Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐮𝐦𝐛𝐮 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐬𝐢𝐰𝐞𝐩𝐨
mwanangu naogopa sana nyoka....hyo ya chatu kukuangalia usoni nime imagine mpaka nikasisimka.....


niliendaga field tabora..nilipata story huo mkoa una nyoka za kila aina then nilikua chaka huko aisee niliishi kwa tabu sana


[emoji2][emoji2][emoji2]kalumbu dar hakuna nyoka aisee....hapa ubungo survey nyoka anatoka wapi


Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kutakucha maoni yangu haiwezekani chui ni hatari anaweza akamngata vby
Hapana sio kweli Jana nimetoka kuangalia documentary mbali mbali nimeona documentary 1 hivi inaonyesha chui akiliwa na chatu .

Nilichojifunza Ni kwamba hi jamii ya wanyama wanao kula wanyama wenzao sometimes huwa wanakulana kwa timing tu kwa mfano Kuna Wakati mamba anamlia timing chui au Simba na kumla n Kuna Wakati mamba Huyo huyo na yeye analiwa timing na chui au simba na kuliwa pia vile vile maisha ya mbugani Ni kichekesho na hatari tupu
 
Kwahiyo hata umpitie karibu chatu uwe ujamuona anaweza akakuacha
Sijasema upite karibu naye, sasa si warafuta kupewa bites wewe, yule ni mnyama wa porini kama wengine hana urafiki. Nachosema ni vigumu chatu kukufuata wakati huna shughuli naye na umempa Space yake. Wale huonekana karibu na majumba ya watu huwa wamekuja fuata maji au hata chakula na wanajua pahali specific watawahi msosi ju wako na sensors za kiuhakika. Hapo ndio ile Human-Wildlife conflict inatokea, lakini huwa bahati mbaya sababu huwa hujatarajia kukutana na kiumbe kila na hicho pia kilikuwa hakijui wewe uko hapo.
✌️
 
Mna utani na Simba ninyi yaani Simba muda wote anatafuta shari aliwe na chatu...Simba ana hisia Kali sana na huyo chui kutegwa kiboya sio rahisi wale wanyama kwanza wananusa kabla ya mambo mengine na wao wana harufu yao tofauti ambayo viumbe wengine ni rahisi...
Wanaliwa vizuri tu usibishe video zipo nyingi tu YouTube zinaonyesha hayo Mambo ... Huyo chui unaye muongelea Kuna Wakati huwa Wana naswa makofi kinoma noma na kundi la nyani Maisha ya mbugani Ni zaidi ya tuyajuavyo ..

Nilishangaa Sana juzi nilipoona kundi la nyani liki wakimbiza chui waliokuwa wame mkamata swala na kutaka kumla Yaani lile kundi la nyani lilifanya harakati za kumkomboa swala aliye kamatwa na chui na wakafanikiwa chui wakakimbia na swala akawa amepona
 
Wewe umepata wapi hii kitu, Tiger wanapatikana India, Srilanka, Russia na sehemu fulani za asia tu na ni mkubwa sawa na simba au hata kumzidi simba (Siberian Tiger), ngozi yake inayomichirizi myeusi na madoa ya njano. Jaguar yeye anapatikana Amerika ya kusini hasa katika misitu ya Amazon yeye anafanana sana na Chui wa huku Afrika na madoa ya ngozi yake yanafanana sana na yale ya chui ila yeye ni mkubwa kidogo kuliko chui na mdogo kuliko Simba na hapendi kukwea mitini kama chui ila ni muogeleaji mzuri na chakula chake kikuu ni mamba (Caiman crocodile) na Wanyama wa mitoni kama Capebara nk, Waweza kusema Chui na Jaguar wanafanana mno kimaumbile kuliko Jaguar na Tiger, kwa taarifa na habari zaidi ya hao wanyama Google.
Naam uko sahihi kabisa [emoji419]
 
Hapana sio kweli Jana nimetoka kuangalia documentary mbali mbali nimeona documentary 1 hivi inaonyesha chui akiliwa na chatu .

Nilichojifunza Ni kwamba hi jamii ya wanyama wanao kula wanyama wenzao sometimes huwa wanakulana kwa timing tu kwa mfano Kuna Wakati mamba anamlia timing chui au Simba na kumla n Kuna Wakati mamba Huyo huyo na yeye analiwa timing na chui au simba na kuliwa pia vile vile maisha ya mbugani Ni kichekesho na hatari tupu
Survival for the fittest!
✌️
 
Back
Top Bottom