Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Nae ni pakaBlack panther
Nae ni pakaBlack panther
Ili utumie hiko kiwembe inabidi uwe na mambo yafuatayoLabda kama ulijiandaa kuvamiwa na chatu
Huo wembe unautoa kutumia nini wakati saa hio umebanwa..mwili mzima.Nasikia chary akikubana.. wewe mchane na kiwembe kidogo tu atararuka mwili mzima alitaka kubana..sijui ni kweli
Black Panther ana weusi tii ila ni mdogo kiumbo hata Wolf mkubwaBlack Panther ni mdogo kiumbo huyo ni Jaguar, Jaguar wako aina tatu
*mwenye madoa ya kukoza
*madoa kwambali na weusi
*weusi tii
Black Panther ana weusi tii ila ni mdogo kiumbo hata Wolf mkubwa.
Wanatisha sana hawaHuyo ni Jaguar mweusi au Panther, panther ni ama Chui au Jaguar mweusi. Weusi wake ni mabadiliko ya kigenetic. Kwahiyo Jaguar mweusi au Chui mweusi anaitwa (black) panther.
Hapo kwa tembo mbone chai hiyo 😂😂😂Daaah! Tuonee huruma wenzio
Hapana ujue hakuna mtu mweusi duniani mkuu, ila ni mazoea ya kujiona na kujiita vile. Chukua rangi nyeusi unayo ijua na ambayo ni nyeusi harisi alafu ufanye comparison na mtu utaona tofauti yake 😀😀😀Kwahiyo watu weusi wanatisha pia???
HhhhhhhhhDaaah! Tuonee huruma wenzio
Ushaona wa Sudan wewe 🤣Hapana ujue hakuna mtu mweusi duniani mkuu, ila ni mazoea ya kujiona na kujiita vile. Chukua rangi nyeusi unayo ijua na ambayo ni nyeusi harisi alafu ufanye comparison na mtu utaona tofauti yake 😀😀😀
Nyeusi ni rangi mbaya tu na ki physics nyeusi sio rangi no matter what most of good things zinadepend kwenye weupe n most of bad things zinadepend kwenye weupe.Kwahiyo watu weusi wanatisha pia???
Chui hana uwezo wa kuwinda Nyati kama Nyatiila mi naona kumuuwa chui Hawa cheetah ni rahisi maana Wana tabia ya kuwinda kwa kunyemelea na akikukaribia ndo anajitokeza ili ukimbie anakujaza hofu kabla ya kukushambulia ila akitokea ukatulia na yeye anabak anazubaa anapata hofu anaona huy jamaa anajiamin nn? Yan hivyo hivyo hata akiwa anawinda nyati akifika karibu na nyat kama nyat katulia na yeye chui anazubaa
Unaposema Black Panther ni Mdogo kwa Mbwa MwituHata sijui naanzia wapi maana sentensi inaelewa hata na ordinary person.