Nadhani ungeandika 'nyikani' Sio 'Msituni'Owner of the Jungle ni Tiger.Chatu anaweza vizia hao kina cheetah lakini sio simba, msituni simba ndio kila kitu, kifupi simba anaogopwa hadi na Tembo
Tiger mungu amembariki miguvu sana ,Lakini akili na roho ngumu hakupewa kama za simbaNadhani ungeandika 'nyikani' Sio 'Msituni'Owner of the Jungle ni Tiger.
Kule Amazon Simba hata ajulikani kama ana Exist.
Mkuu nat geo wild inaonesha kila kitu kuhusu hao wanyama wawili tena kwa uwazi sehemu tofauti tofauti, wote tunajua Tiger ni myama ambae anapenda kujificha, hataki kelele, anawinda mwenyewe lakini kwa hao paka wa kubwa simba ndio hatari kuliko hizo aina nyingineLion Vs Tiger
Lion anapata umaarufu kwasababu yupo nyikani, nyikani kama Instagram tu kuna kelele nyingi na kiki kukimbizana, kupigana na kuwindana vyote vinafanyika peupee hata kuchukua video ni familia zaidi maeneo meupe open.
Tiger anapatiiana sehemu isiyo na kelele nyingi wala kiki sio Open kuwaindana kwao sio kwa kumbizana kuviziana zaidi mtu apaka afike kuchukua Video mbinde.
_Ndio maana Simba anakuwa Celebrate.
Amini nakuambia huyo swala aliliwa kesho yake au jioni yake ,porini nature hairuhusu viumbe dhaifu kusavaivu,kuna ukatili mwingi Sana hukoNilikuwa sijui balaa lao ndio nimejionea nikachoka jamaa Wana akili kabisa Kama binaadamu . Kuna clip 1 wamewakimbiza Chui kina noma Chui wakala Kona wote wali wakuta Chui hao Wana taka kumla swala halafu baada ya hao chui kukimbia wakamfuata yule swala wakawa Wana mkagua waone Kama kafa au Bado Swala alikuwa ameumia kidogo tu Basi Waka kusanyika katika lile eneo ikawa wameweka ulinzi pale mpaka yule swala alivyo nyanyuka na kuanza kuondoka ndio na wao wakaondoka lile eneo ...Maisha Yana staajabisha Sana [emoji3]
Uko sahihi mountain lion ni puma kwa jina alofahamikaMkuu mountain lion ni cougar/puma/panther/catamount na hana madoa! Cheetah ni duma kama duma na ana madoa!
Rule Of Jungle tamu sana ukii-Apply kwenye maisha yako yakawaida una 90% yakufanikiwa inabidi kilasiku utanue misuli na makucha yako uwe Beast zaidi ya jana.Amini nakuambia huyo swala aliliwa kesho yake au jioni yake ,porini nature hairuhusu viumbe dhaifu kusavaivu,kuna ukatili mwingi Sana huko
Wanaliwa vizuri tu usibishe video zipo nyingi tu YouTube zinaonyesha hayo Mambo ... Huyo chui unaye muongelea Kuna Wakati huwa Wana naswa makofi kinoma noma na kundi la nyani Maisha ya mbugani Ni zaidi ya tuyajuavyo ..
Nilishangaa Sana juzi nilipoona kundi la nyani liki wakimbiza chui waliokuwa wame mkamata swala na kutaka kumla Yaani lile kundi la nyani lilifanya harakati za kumkomboa swala aliye kamatwa na chui na wakafanikiwa chui wakakimbia na swala akawa amepona
Niliona hii kitu safari channel.Wanaliwa vizuri tu usibishe video zipo nyingi tu YouTube zinaonyesha hayo Mambo ... Huyo chui unaye muongelea Kuna Wakati huwa Wana naswa makofi kinoma noma na kundi la nyani Maisha ya mbugani Ni zaidi ya tuyajuavyo ..
Nilishangaa Sana juzi nilipoona kundi la nyani liki wakimbiza chui waliokuwa wame mkamata swala na kutaka kumla Yaani lile kundi la nyani lilifanya harakati za kumkomboa swala aliye kamatwa na chui na wakafanikiwa chui wakakimbia na swala akawa amepona
Chui Boss zipo clip nyingi tu...then jua kuwa Chui na nyani wana asilimia kubwa kuwa katika mazingira ya pamoja kuliko Duma na hao nyani usikiri hawa nyani wetu wakinondoni mkwajuni wale nyani wakubwa kidogo wana meno makubwa na makari ningekuwekea picha.Nyani hawawezi kumkimbiza chui huyo uliemuona atakua duma.
Mkuu chui ipo jamii moja hawadhuru binadamu wala wanyama wengine hata ukikutana nao mwili hausisimki mimi nazungumzia Simba sio hao wengine njoo na video simba anapigwa makofi na nyani...Wanaliwa vizuri tu usibishe video zipo nyingi tu YouTube zinaonyesha hayo Mambo ... Huyo chui unaye muongelea Kuna Wakati huwa Wana naswa makofi kinoma noma na kundi la nyani Maisha ya mbugani Ni zaidi ya tuyajuavyo ..
Nilishangaa Sana juzi nilipoona kundi la nyani liki wakimbiza chui waliokuwa wame mkamata swala na kutaka kumla Yaani lile kundi la nyani lilifanya harakati za kumkomboa swala aliye kamatwa na chui na wakafanikiwa chui wakakimbia na swala akawa amepona
Chatu anaweza vizia hao kina cheetah lakini sio simba, msituni simba ndio kila kitu, kifupi simba anaogopwa hadi na Tembo
Wapo nyani wakubwa dume anamtoa chatu maeneo yake upo sahihi ila sio Simba Wazee...Chui Boss zipo clip nyingi tu...then jua kuwa Chui na nyani wana asilimia kubwa kuwa katika mazingira ya pamoja kuliko Duma na hao nyani usikiri hawa nyani wetu wakinondoni mkwajuni wale nyani wakubwa kidogo wana meno makubwa na makari ningekuwekea picha.
Hicho kiwembe utakipata wapi mda huoNasikia chary akikubana.. wewe mchane na kiwembe kidogo tu atararuka mwili mzima alitaka kubana..sijui ni kweli
paka wakubwa wakipambana na chatuVideo inaonesha nini Freebasics tunateseka