Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Ukitoa hewa chafu tu kwa woga anajua dinner is served
Na hawa wanyama kibaya ni kwamba they smell fear! Yaani wewe ukimuona ukaogopa yeye anasikia ile harufu ya uoga wako na ile harufu inampa taarifa kuwa huyu ni adui hivyo anatakiwa kuattack mara moja!

Ndiyo maana unaambiwa ukikutana nao usiogope ila sasa ndiyo hadi uwe na huo ujasiri wa kutokuogopa! Imagine ndiyo umegongana uso kwa uso na simba tena jike lina njaa kali halafu unaambiwa usiogope!

Ndiyo maana haya mambo ni rahisi kuongea tu theoretically lakini practically ni ngumu! Pale ambapo unajikuta uko peke yako msituni unatazamana na chui huku wale waliokuwa wanakuambia usiogope hawapo!
 
Hawa wanyama mchawi meno na makucha tu! Mungu asingewapa meno na makucha makali hata binadamu tungekuwa tunapigana nao fresh tu katika harakati za kuokoa uhai!
Mkuu unaweza kupigana na Chui na simba eti kisa hana meno na kucha unajidanganya wewe nakuhakikishia anaweza tolewa vyote hivyo na huwezi thubutu kufungiwa nae kwenye Cage upambane na ukiingia anakumaliza...
*Bite power ya Chui au Simba bila meno inatosha kukuua
*Vikumbo vyake vinadosha kukuua au kukupa ulemavu mifupa ya Chui imara na ana speed ya kukrukiak
*Nguvu za Simba huwezi kumuhimi

Hawatakuwa na silaha ya kuuuwa haraka ila in long run masaa kadhaa ukifungiwa na simba akaamua kuuwa anakuuwa.
 
Wote ao nmeona videos wakishambulia binadamu... labda wana mzungumzia cheetah
Yeah wanasema siyo hulka yao kula binadamu ila at some instances wanakula! Mfano hata simba wanasema halagi binadamu ila ikitokea kwa mara ya kwanza akala binadamu basi ataanza rasmi kuwala na ikiwezekana atakuwa anawawinda kabisa!
 
Simba nimewaweka kwenye kundi la mabomu sio wanyama wa kawaida maana muda wowote wanafanya chochote na kwa yeyote yule ni mnyama asie na hata chembe ya woga anawinda hadi wale wanyama wenye miba mwili mzima na anajua atashinda tuu ingawaje nimeona wakiferi sana
Simba anajiamini sana! Hata watu tuliozaliwa kwenye nyota ya simba huwa tunajiamini sana!
 
Mkuu unaweza kupigana na Chui na simba eti kisa hana meno na kucha unajidanganya wewe nakuhakikishia anaweza tolewa vyote hivyo na huwezi thubutu kufungiwa nae kwenye Cage upambane na ukiingia anakumaliza...
*Bite power ya Chui au Simba bila meno inatosha kukuua
*Vikumbo vyake vinadosha kukuua au kukupa ulemavu mifupa ya Chui imara na ana speed ya kukrukiak
*Nguvu za Simba huwezi kumuhimi

Hawatakuwa na silaha ya kuuuwa haraka ila in long run masaa kadhaa ukifungiwa na simba akaamua kuuwa anakuuwa.
Haha! Kazi kweli kweli!
 
Na hawa wanyama kibaya ni kwamba they smell fear! Yaani wewe ukimuona ukaogopa yeye anasikia ile harufu ya uoga wako na ile harufu inampa taarifa kuwa huyu ni adui hivyo anatakiwa kuattack mara moja!

Ndiyo maana unaambiwa ukikutana nao usiogope ila sasa ndiyo hadi uwe na huo ujasiri wa kutokuogopa! Imagine ndiyo umegongana uso kwa uso na simba tena jike lina njaa kali halafu unaambiwa usiogope!

Ndiyo maana haya mambo ni rahisi kuongea tu theoretically lakini practically ni ngumu! Pale ambapo unajikuta uko peke yako msituni unatazamana na chui huku wale waliokuwa wanakuambia usiogope hawapo!
Bora ukutane na simba jike kuliko Dume

*Moyo utakupiga sana puuh...image ya simba aliyonayo binadamu kichwani ni simba dume so Stimulus ikipelekwa kwenye ubongo ikameet na stored image mwili unakuwa High.

*Simba dume ana roho mbaya hata akiwa hataki kukutafuta anaweza kukudhuru au saanyingine kukuuwa inaweza kuwa kutimiza jukumu lake kama mlinzi wa himaya.
 
Mkuu unaweza kupigana na Chui na simba eti kisa hana meno na kucha unajidanganya wewe nakuhakikishia anaweza tolewa vyote hivyo na huwezi thubutu kufungiwa nae kwenye Cage upambane na ukiingia anakumaliza...
*Bite power ya Chui au Simba bila meno inatosha kukuua
*Vikumbo vyake vinadosha kukuua au kukupa ulemavu mifupa ya Chui imara na ana speed ya kukrukiak
*Nguvu za Simba huwezi kumuhimi

Hawatakuwa na silaha ya kuuuwa haraka ila in long run masaa kadhaa ukifungiwa na simba akaamua kuuwa anakuuwa.
Usife kizembe sasa, na wewe unajaribu kumpiga meno hata ya pua au kucha za macho
 
Bora ukutane na simba jike kuliko Dume

*Moyo utakupiga sana puuh...image ya simba aliyonayo binadamu kichwani ni simba dume so Stimulus ikipelekwa kwenye ubongo ikameet na stored image mwili unakuwa High.

*Simba dume ana roho mbaya hata akiwa hataki kukutafuta anaweza kukudhuru au saanyingine kukuuwa inaweza kuwa kutimiza jukumu lake kama mlinzi wa himaya.
Hapana mkuu hawa wataalam wa wanyama wanasema simba jike ndiyo mkali zaidi kuliko simba dume! Kwa sababu simba jike ndilo linalowinda na ndilo linalowatafutia chakula familia yake!

Simba dume linaogopwa sababu tu ya muonekana wake na sababu lenyewe ndiyo huunguruma kwa sauti kubwa zaidi! Ila unaambiwa mara mia ukutane na simba dume kuliko jike yaani jike hata likiwa limeshiba halikuachi litakuua hata lipelekee familia yake kitoweo!

We hata katika kuangalia video za wanyama unaonaga masimba dume yanahangaikaga kukimbiza wanyama! Hilo ni jukumu la jike yaani dume kukuua labda uzame kwenye makazi yake!

Wanasema simba ukimkuta ameshiba wala hana shida mnaweza hata mkapishana na asikufanye chochote! Lakini siyo jike aise!
 
Umepata kiasi Fulani lakini pia umekosea kidogo
Wao wanakuwa na mgawanyo wa majukumu jike anawinda
Dume linalinda territory isivamiwe maana ni rahisi sana kuvamiwa na Dume lingine likampiga dume kisha linauwa vitoto linachukua jike wanaanzisha family hapo
Dume nae ana kazi kubwa sana sio mchezo
Kwanza vidume vikifikisha miaka 5 tu baba yao anavifukuza vikajitafutie hebu waza huko njiani hatari nyingi ,chakula vinapata wapi? Na baadae linakua na kuwa Dume unadhani litakuwa lizembe kweli .?
Wakati jike anakaa kwa wazazi mpka anapokua ,anawinda sababu ni mwepesi
 
Bora ukutane na simba jike kuliko Dume

*Moyo utakupiga sana puuh...image ya simba aliyonayo binadamu kichwani ni simba dume so Stimulus ikipelekwa kwenye ubongo ikameet na stored image mwili unakuwa High.

*Simba dume ana roho mbaya hata akiwa hataki kukutafuta anaweza kukudhuru au saanyingine kukuuwa inaweza kuwa kutimiza jukumu lake kama mlinzi wa himaya.
Naunga mkono hoja
 
Naongezea pia kuna mwingine anaitwa Blank Panther,yeye ni mwenyeji wa Amerika ya Kaskazini. Ni mweusi na anafanana sana na Simba.

Black panther au Panther, huyo ni Jaguar mweusi, hiyo inatokana na kasoro za kijenetic.

Chui au Jaguar anapozaliwa na rangi nyeusi huitwa Panther.
 
Mkuu unaweza kupigana na Chui na simba eti kisa hana meno na kucha unajidanganya wewe nakuhakikishia anaweza tolewa vyote hivyo na huwezi thubutu kufungiwa nae kwenye Cage upambane na ukiingia anakumaliza...
*Bite power ya Chui au Simba bila meno inatosha kukuua
*Vikumbo vyake vinadosha kukuua au kukupa ulemavu mifupa ya Chui imara na ana speed ya kukrukiak
*Nguvu za Simba huwezi kumuhimi

Hawatakuwa na silaha ya kuuuwa haraka ila in long run masaa kadhaa ukifungiwa na simba akaamua kuuwa anakuuwa.
Kwa Simba nakubali ukimtoa silaha anakumaliza! Mikono yake Ina nguvu akikupiga Kofi hauamki

Ila kwa chui ukimtoa silaha ngumu Sana kumuua binadamu mwanaume mwenye nguvu!

Mwaka Jana Kuna jamaa huko kusini alimuua chui(panthera pardus) kwa kumnyonga tu mpaka akamkosesha pumzi ingawa jamaa alijeruhiwa na kucha vibaya mno
 
Back
Top Bottom