Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Yaani mtu kusema ukweli wa mambo tu kosa? By the way CCM hii awamu imebadilika sana, watu hawasikii wapigaji kama Harbinder Seth. Kinachosikika ni miradi kama Sgr,JNHHP,barabara kujengwa, Madaraja kama busisi na wami,Zahanati,vituo vya afya na hospital kwa maelfu. Shule zimekarabatiwa. Kwa ujumla mambo yamebadilika sana.
Hahahah hivi unaota eh?

Report ya CAG hujasoma uone madudu yalivojaa?
 
Wakipukitika hata Viongozi wawili au watatu wa serikali mtatia akili.
 
Manka wewe ni mtunzi mzuri sana wa mashairi.

Ukiacha kuuza mbege utapata mchumba hapo Ufipa..... hii aina ya mashairi yako wanaikubali sana unaweza ukafly to kia mrembo!

If you like you may revisit what you have been posting viz a viz what I have been compelled to write back. I believe giving you ample time to realize I am not your type.

Comes the end: I don't intend to argue with a fool because then he may think he is wise.

Blessed are those who saw it: "do not argue with a fool for others won't notice the difference".

So long.

Sina nia ya kujibishana na mjinga. Kwa maana imwandikwa pale, mithali 26:4 na 26:5:

"Do not answer a fool according to his folly, Or you will also be like him." Mwisho wa kunukuu.
 
Umeishiwa matusi ya kutukana unakuja na kizungu manka!

Ongea na matusi ya kichaga kabisa ili tuamini mbege unayouza leo ni kali mtoto mzuri!
 
Kweli kabisa wanapenda kufanya siasa hata kwenye mambo ya msingi.
Kwakweli.upinzani nilikua nawaelewa lakini kwa hili jambo nimekuwa disappointed kabisa.. bora kulimit movement kuliko total lockdown...
Yataanza mambo ya kenya hapa.. jana ninesoma aljazeera kwamba watu waliouawa na polisi kenya wanzidi idadi ya waliokufa kwa corona.
 
Unazungu
Ccm ni chama bora Africa na kipo madarakani Tanzania toka uhuru.je ubora wa ccm ni kwenye nini? Kama Rwanda pamoja na Vita na kuuana wanaweza Mambo mengi kuliko sisi,sasa huo ubora wa ccm upo kwenye nini hasa?Kuiba kura au ufisadi?
Unazungumza kitu ambacho Wala hujafanya utafiti kabisaaa .hivi unaijua Rwanda wewe..unajua kanchi kale kana watu wangapi, population..unajua Kuna watanzania wangapi wapo kule kusaidia uendeshaji wa nchi ile...hivi unajua Tanzania tumesomesha viongozi wangapi kule ambao wapo madarakani kwa Sasa..hivi unajua kwa Sasa wapo warwanda wangapi wanasoma Tanzania, khaaaaa..hivi unafananishaje Baba na mtoto, Basi utakuwa huna akili kabisa..
 
Kwakweli.upinzani nilikua nawaelewa lakini kwa hili jambo nimekuwa disappointed kabisa.. bora kulimit movement kuliko total lockdown...
Yataanza mambo ya kenya hapa.. jana ninesoma aljazeera kwamba watu waliouawa na polisi kenya wanzidi idadi ya waliokufa kwa corona.
Mbowe yeye ana uwezo......ila anawasahau vijana wake akina Daudi mchambuzi, salary slip na mrangi ambao wao kila "siku" inajitegemea!
 
Watz wengi wanajitoa ufahamu kwa kujifanya wanaiweza lockdown
Nilikuwa naangalia Africa news watu walikanyagana kibera wakigombea chakula, nchini Kenya Mama mmoja alilaliwa na watu kuna msamaria mwema alimnyanyua mpaka akaanza kutoa machozi. Inasikitisha sana tena sana.
Nimeangalia pia Angola watu wanahangaika kupata maji. Wanajaza madumu ya lita 20. Na wanasema maji yanapatikana kwa shida huwezi kukaa nayo hata kwa siku mbili. Nimejiuliza kwa mji kama Dare es salaam ambao maji ya kuoga tu ni shida hii lockdown ikiwekwa sijui itakuwaje. Watu wa maisha ya chini ambao akienda gengeni ametumia pesa nyingi sh 1500 na kaipata kwa mbinde, lockdown ikiwekwa itakuwaje?
 
Mkuu subiri corona ichanganye ndipo utagundua kumbe heri ya nusu shari. Tofauti itakuwa tutakuwa tulikwisha chelewa na hapo tena mjukuu atakuwa keshaitwa mjukuu (majuto).
 
Back
Top Bottom