Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Kwa hasira hizi utaweza kweli kufungiwa ndani manka?!

Njaa ikikuuma utawatesa sana wazazi wako kiasi cha kujutia kula tunda!

Umetuwekea na jina lako la kazi yenu kumbe unaitwa manka asante tumekusikia.

Pole sana.

Utakuwa siyo riziki wewe.

Jaribu Mombasa wengine biashara hiyo hatununui.
 
Umetuwekea na jina lako kumbe unaitwa manka asante tumekusikia.

Pole sana.

Utakuwa siyo riziki wewe.

Jaribu Mombasa wengine biashara hiyo hatununui.
Hapo bado hujafungiwa ndani unacheuwa kama nguruwe.

Ngoja ufungiwe uone kama Mbowe ataleta chakula hapo nyumbani kwenu bibie!
 
Huwa nafikiria deni la taifa kila mtz anadaiwa milion1, (trion 52.), hivi pesa za kulisha taifa zima zitatoka wapi ?

Magu yuko sawa watu wafanye kazi, akisema agawe pesa/ msaada watanzia milion 45mfano, hizo trion 45 zitatoka wapi ? Budjet kwa mwaka 29.trion collected
 
Hapo bado hujafungiwa ndani unacheuwa kama nguruwe.

Ngoja ufungiwe uone kama Mbowe ataleta chakula hapo nyumbani kwenu bibie!

Mbowe ndiyo baba yako?

Mbona unakuwa unataja taja majina ya watu na viumbe hovyohovyo nguruwe wewe?

Yaonesha nguruwe wewe unauzoefu sana wa kucheua cheua. Vipi umecheua tena?

Ama kweli s**ge ni s**ge tu.
 
Manka wewe ni mtunzi mzuri sana wa mashairi.

Ukiacha kuuza mbege utapata mchumba hapo Ufipa..... hii aina ya mashairi yako wanaikubali sana unaweza ukafly to kia mrembo!
 
Rais alisema ana pesa za kuendesha nchi kwa miezi mitano, Sasa iweje lockdown ya miez miwil iwe tatizo,

Suala ni kwamba waache uongo na kujimwambafai, haya Sasa kumetokea janga tekeleza Ile kauli uliyosema nchi ina pesa za kuitosha miezi mitano, alafu lawama zinapelekwa kwa wapinzani ajabu
Magufuli msanii,trust him at your own risk
 
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Pesa ipo Kama si kwa ajiri ya madaraja,mabarabara,maflyover,mandege kwa keshi basi hatuwezi shindwa nunua vifaa ya kufanyia mass testing
 
Pesa ipo Kama si kwa ajiri ya madaraja,mabarabara,maflyover,mandege kwa keshi basi hatuwezi shindwa nunua vifaa ya kufanyia mass testing

Kwa hiyo unataka kutupangia wewe kitu cha kufanya wakati upo nyumbani kwako? Hiyo ridhaa kakupa nani? Vile vile unauhakika kwamba wakati tunanunua ndege na kujenga miundo mbinu ulituarifu kwamba kuna Corona inakuja tununue hivyo vifaa? Kuna Watanzania ambao ni watu wa ajabu. Subirini hiii miradi iishe iwapo mtapona na Corona muone uchumi utakavyokuwa unaimarika kwenye nchi yetu.
 
Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.

Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?

Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.

Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.

Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?

Niwatakie Pasaka yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
Sasa kwanini serikali ya ccm isituhakikishie kupata mkate wa kila siku? Hasa kwa watu ambao watakuwa hawana kitu kwa maisha magumu.

Ni kwanini mlikuwa mnaaminisha watu kwamba hii nchi ni tajiri?
 
Unaijua athari ya kukaa na wagonjwa ambao hawajapimwa?
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
 
Huu ni umbumbumbu. Mataga mna minyoo kichwani. Haya ni mawazo ni ya kwako.

Mfano mdogo walipinga suala la kuweka watu karantini kwenye hotel za gharama, na moja moja ya options walizotoa ni kutumia Hostels. Mliwapinga ila baadae mkaja kuchagua hostel zitumike kama quarantine. Hapo waliwapinga tena?
johnthebaptist, Hata serikali ingetangaza total lockdown hao hao Chadema wangepinga na kusema wananchi watapata tabu. Hao jamaa ni wa kuwasikiliza na kuwapuuza tu.
 
MATAGA mkipata corona hizo buku 7 hamtolipwa tena. Shauri yenu.
 
Huu ni umbumbumbu. Mataga mna minyoo kichwani. Haya ni mawazo ni ya kwako.

Mfano mdogo walipinga suala la kuweka watu karantini kwenye hotel za gharama, na moja moja ya options walizotoa ni kutumia Hostels. Mliwapinga ila baadae mkaja kuchagua hostel zitumike kama quarantine. Hapo waliwapinga tena?
Vipi hapo ufipa mmeshafunga ofisi ili makamanda wafanyie kazi nyumbani?
 
Back
Top Bottom