johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
- Thread starter
- #181
Nilijua utachemka tu maana hata matusi yako ni yale ya Kizamani ya migombani kabla hata hujavunja ungo!Done with you buddy!
Nilijua utachemka tu maana hata matusi yako ni yale ya Kizamani ya migombani kabla hata hujavunja ungo!Done with you buddy!
nchi hii ni tajiri asikuambie mtu. Tupime tuUnafahamu mass testing gharama yake? Je, unavyo vifaa kwa kazi hiyo?
Ungelikuwa na busara ungeliomba Mungu usichanganye, Africa tunamazingira magumu sana tunayoishi. Kuna watu wana watoto wanne na wanaishi kwenye vyumba viwili. Maisha yenyewe haya ya kununu nyanya na dagaa kila siku ili ule. Nani ataweza? Hata Usa watu walioathirika sana ni watu wa kipato cha chini. Weusi na Latinas wengi ndio wameathirika sana.Mkuu subiri corona ichanganye ndipo utagundua kumbe heri ya nusu shari. Tofauti itakuwa tutakuwa tulikwisha chelewa na hapo tena mjukuu atakuwa keshaitwa mjukuu.
Mkuu unataka kusemaje hapa?unajua msingi wa "fyatueni watoto nitawasomesha bure" unajua kwa nini tumefuta program za uzazi wa mpango?population kubwa means nguvu kazi kubwa na maendeleo makubwa.hata Kodi inayokusanywa toka watu wengi ni nyingi kuliko inayokusanywa toka watu wachache unless Kama unataka kusema population kubwa Tanzania ni useless inajua tu kujisifu na kuabudu magufuli na ccm yake hata kwenye ujinga.kuhusu watu kusoma Tanzania au watanzania kufanya kazi Rwanda sioni Kama ni issue kubwa,kwani Tanzania hakuna wanyarwanda wanafanya kazi hapa? Mbona Kuna watanzania wanasoma Malawi,Kenya na nchi nyingine? Serikali ya ccm na rais wake ni hovyo kabisa Kama hii ndo sababu mnatuhimiza tukasmbukizane corona sasa mpo ikulu yetu kufanya Nini? Kuhongana Kodi zetu?Unazungu
Unazungumza kitu ambacho Wala hujafanya utafiti kabisaaa .hivi unaijua Rwanda wewe..unajua kanchi kale kana watu wangapi, population..unajua Kuna watanzania wangapi wapo kule kusaidia uendeshaji wa nchi ile...hivi unajua Tanzania tumesomesha viongozi wangapi kule ambao wapo madarakani kwa Sasa..hivi unajua kwa Sasa wapo warwanda wangapi wanasoma Tanzania, khaaaaa..hivi unafananishaje Baba na mtoto, Basi utakuwa huna akili kabisa..
Umeishiwa matusi ya kutukana unakuja na kizungu manka!
Ongea na matusi ya kichaga kabisa ili tuamini mbege unayouza leo ni kali mtoto mzuri!
Hiyo nukuu umekuja nayo muda mrefu lakini bado upo tu.Here we go again: done with you buddy!
" I Do not answer you (a fool) according to your folly, Or I will also be like you!" Mwisho wa kujinukuu.
Dah haya buana!
We vipi bana, Kwani Tanzania si tuna Kiongozi wa Malaika? au unajisahaulishaNadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Jinga Sana we si unajua masharti ya kufuata ili usiambukizwe corona au hujui...Sasa Nani amekushawishi ukaambukizwe. Hivi una akili kweli wewe..wewe kwa sababu umeshapiga madili yako ya wizi na ufisadi unao uhakika wa kila haya miezi 6 huna shida..kwa hiyo unataka wengine ambao ni raia wema ambao Hata hawajaiba Wala kupiga dili lolote Kama nyinyi wakale wapi..au wakikaa ndani utajitolea chakula, tuambie..au unataka wakae ndani walane wenyewe kwa wenyewe, au unatakaje hasa..tatizo mafisadi mnajisahauga .mnadhani wooote ni mafisadi na wamejilimbikizia mahela..s..t.u..pi.ddd.dMkuu unataka kusemaje hapa?unajua msingi wa "fyatueni watoto nitawasomesha bure" unajua kwa nini tumefuta program za uzazi wa mpango?population kubwa means nguvu kazi kubwa na maendeleo makubwa.hata Kodi inayokusanywa toka watu wengi ni nyingi kuliko inayokusanywa toka watu wachache unless Kama unataka kusema population kubwa Tanzania ni useless inajua tu kujisifu na kuabudu magufuli na ccm yake hata kwenye ujinga.kuhusu watu kusoma Tanzania au watanzania kufanya kazi Rwanda sioni Kama ni issue kubwa,kwani Tanzania hakuna wanyarwanda wanafanya kazi hapa? Mbona Kuna watanzania wanasoma Malawi,Kenya na nchi nyingine? Serikali ya ccm na rais wake ni hovyo kabisa Kama hii ndo sababu mnatuhimiza tukasmbukizane corona sasa mpo ikulu yetu kufanya Nini? Kuhongana Kodi zetu?
Moja ya masharti ni epuka misongamano, wewe unanihimiza nikachape kazi,kazi yangu ipo Kariakoo,nakaa mbagala,au tageta au mbezi Luis huku msumi,nakaa gongo la mboto,sawa nisaidie naepukaje msongamano? Huko kunawa mikono kunamsaidia nini wakati nikipanda mwendo kasi hata kuweka miguu hakuna?Jinga Sana we si unajua masharti ya kufuata ili usiambukizwe corona au hujui...Sasa Nani amekushawishi ukaambukizwe. Hivi una akili kweli wewe..wewe kwa sababu umeshapiga madili yako ya wizi na ufisadi unao uhakika wa kila haya miezi 6 huna shida..kwa hiyo unataka wengine ambao ni raia wema ambao Hata hawajaiba Wala kupiga dili lolote Kama nyinyi wakale wapi..au wakikaa ndani utajitolea chakula, tuambie..au unataka wakae ndani walane wenyewe kwa wenyewe, au unatakaje hasa..tatizo mafisadi mnajisahauga .mnadhani wooote ni mafisadi na wamejilimbikizia mahela..s..t.u..pi.ddd.d
Wizi ni sera ya ccm na inatekelezwa kwa viteni kweli kweli.tafuta report ya CAG utaona jina langu.na sera hii ndo imefanya watanzania wengi wawe wabangaizaji huku mkiendelea kuwalaghai kwamba ninyi ni watetezi waoJinga Sana we si unajua masharti ya kufuata ili usiambukizwe corona au hujui...Sasa Nani amekushawishi ukaambukizwe. Hivi una akili kweli wewe..wewe kwa sababu umeshapiga madili yako ya wizi na ufisadi unao uhakika wa kila haya miezi 6 huna shida..kwa hiyo unataka wengine ambao ni raia wema ambao Hata hawajaiba Wala kupiga dili lolote Kama nyinyi wakale wapi..au wakikaa ndani utajitolea chakula, tuambie..au unataka wakae ndani walane wenyewe kwa wenyewe, au unatakaje hasa..tatizo mafisadi mnajisahauga .mnadhani wooote ni mafisadi na wamejilimbikizia mahela..s..t.u..pi.ddd.d
Chadema wametoa tamko la kutaka kuwepo lockdown?Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Ungelikuwa na busara ungeliomba Mungu usichanganye, Africa tunamazingira magumu sana tunayoishi. Kuna watu wana watoto wanne na wanaishi kwenye vyumba viwili. Maisha yenyewe haya ya kununu nyanya na dagaa kila siku ili ule. Nani ataweza? Hata Usa watu walioathirika sana ni watu wa kipato cha chini. Weusi na Latinas wengi ndio wameathirika sana.
Kumbe neno "Kwa nini" ni jibu?Unauliza majibu, Allen vipi jombaa
Watu wanadhani lockdown is a piece of cakeNilikuwa naangalia Africa news watu walikanyagana kibera wakigombea chakula, nchini Kenya Mama mmoja alilaliwa na watu kuna msamaria mwema alimnyanyua mpaka akaanza kutoa machozi. Inasikitisha sana tena sana.
Nimeangalia pia Angola watu wanahangaika kupata maji. Wanajaza madumu ya lita 20. Na wanasema maji yanapatikana kwa shida huwezi kukaa nayo hata kwa siku mbili. Nimejiuliza kwa mji kama Dare es salaam ambao maji ya kuoga tu ni shida hii lockdown ikiwekwa sijui itakuwaje. Watu wa maisha ya chini ambao akienda gengeni ametumia pesa nyingi sh 1500 na kaipata kwa mbinde, lockdown ikiwekwa itakuwaje?
Of course kwa sababu jibu unalo tayariKumbe neno "Kwa nini" ni jibu?
Tunazungumzia corona jomba...nyie so mnataka watu wafungiwe ndaniWizi ni sera ya ccm na inatekelezwa kwa viteni kweli kweli.tafuta report ya CAG utaona jina langu.na sera hii ndo imefanya watanzania wengi wawe wabangaizaji huku mkiendelea kuwalaghai kwamba ninyi ni watetezi wao
Hiyo nukuu umekuja nayo muda mrefu lakini bado upo tu.
Mtafute Nyani Ngabu akufundishe matusi ya kizungu maana umeishiwa misamiati manka!
Ukisikia utopolo ndio huu sasa.Njaa ipo kichwani wewe. Unaiwaza tu ile Buku 7.