Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Tanzania kwa sasa tuna majanga mawili Corona na misukule ya ufipa hili pia Ni janga naishauri serikali iwaajiri madaktari wengi wa magonjwa ya akili iwaokoe hawa nyumbu wasizidi kupotea manake hali za afya zao kiupande wa kichwani Kuna tatizo kubwa sana

Sent from Tapatalk
 
Back
Top Bottom