Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,654
Sijui.Karantini ikoje ndugu yangu!!
Sijui.Karantini ikoje ndugu yangu!!
Kamanda corona inaua, au hujasikia? Nawa mikono chukua tahadhari hapo ufipa.Kachukue hela ukale kwanza.... maana toka ulipokula zile karanga za kutafuna asubuhi kule Lumumba mpaka saiv hujala.
Kweli upele humpata asiye na kucha!! Yaani gari na nyumba umepewa bure lakini mambo madogo kama Karantini huyajui sasa utaweza kweli kuwasaidia vijana!!??Sijui.
Hujasikia "self-quarantine" hapo ufipa, au unasubiri hadi serikali ikuchape viboko?Kweli upele humpata asiye na kucha!! Yaani gari na nyumba umepewa bure lakini mambo madogo kama Karantini huyajui sasa utaweza kweli kuwasaidia vijana!!??
Huyu huyo ndo ameifanya serikali ya awamu ya tano ichanganyikiwe,wewe tangu uzaliwe umewahi kusikia mtu akiokota kichwa cha treni? Ila awamu hii mtu kaokota kichwa cha traniMbowe huyu huyu aliyetolewa Segerea kwa michango ya akina mzee Mgaya juzikati?
Sasa huo ni ujuha kudhani kuwa kila mwana CHADEMA anaishi ama kufanya kazi pale Ufipa. Ilikuwaje wakakupa hiyo nafasi uliyo nayo?Hujasikia "self-quarantine" hapo ufipa, au unasubiri hadi serikali ikuchape viboko?
Hata wewe unaweza ukajikarantini huko Iringa usingoje kuamriwa na serikali.Sasa huo ni ujuha kudhani kuwa kila mwana CHADEMA anaishi ama kufanya kazi pale Ufipa. Ilikuwaje wakakupa hiyo nafasi uliyo nayo?
Mtu anawezaje kujikarantini?Hata wewe unaweza ukajikarantini huko Iringa usingoje kuamriwa na serikali.
Kama huwezi acha.Mtu anawezaje kujikarantini?
Unajua kunatofauti kati ya "Self Isolation" na "Quarantine" Mheshimiwa sana!?Kama huwezi acha.
Elezea.Unajua kunatofauti kati ya "Self Isolation" na "Quarantine" Mheshimiwa sana!?
Lete karatasi na Peni nikuelezee!!Elezea.
Mkuu please usifanyie Siasa hili Janga. Usisubiri ndugu zako waondoke ndio ujuwe ili ni janga la dunia.
We unafikiri wa Swedish Wana zurula ovyo kama sisi/wengine watu wameamua kufata masharti wenyewe siyo mpaka wapelekeshweHuwezi kupata jibu kwa sababu akili zao zimeshikiliwa na mabeberu. Hawa jamaa ni bure kabisa na ni aibu kwenye jamii yetu.
Hivi wanaomba ugonjwa huu uwamalize Watanzania lakini Mungu ni mwema. Sweden hawana lock down na wanaendelea na maisha na raia wake wameaminiwa kufuata kanuni za self hygiene.
N'takuletea kesho.Lete karatasi na Peni nikuelezee!!
Nguo yako uliyovaa Ibadani ilikupendeza lakini...N'takuletea kesho.
Sikwenda leo naogopa corona.Nguo yako uliyovaa Ibadani ilikupendeza lakini...
CORONA na siyo corona!! Kumbe niliikufananisha. Hivi vile viapo vyenu huwa mnavikumbuka kweli? Au msitumie vitabu vitakatifu kwenye kuapa!!Sikwenda leo naogopa corona.
Kamanda corona inaua, au hujasikia? Nawa mikono chukua tahadhari hapo ufipa.
Usijifanye unajua saana.CORONA na siyo corona!! Kumbe niliikufananisha. Hivi vile viapo vyenu huwa mnavikumbuka kweli? Au msitumie vitabu vitakatifu kwenye kuapa!!