Unataka kusema wananchi wa Tanzania wanataka corona au?Katika watu niliowadharau na waliojionesha rangi yao ni upinzani.. hawa jamaa ni wabinafsi kwakweli..
Wao wanawaza kupinga tu bila kuangalia wananchi wanataka nini.. shenz kabisa
Ona maswali mnayouliza sasa.. upelekwe mirembe ulalamike.Unataka kusema wananchi wa Tanzania wanataka corona au?
Hizi bangi sasa unaishi kwa mazoea kama kenge tuWanasubiri serikali itoe tamko ili wao wapinge. Ndio kawaida yao hiyo, wameshazoeleka.
Kweli akaunti benki hatuna lakini tunazo mpesa, tigopesa n.k. Rais alisema nchi ina akiba ya miezi 6 ambapo anaweza kulisha nchi nzima bila hata mjusi kufanya kazi.Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Hao wahuni ambao wakija ccm wanapewa uongozi hivi unaachoandika hapa unakielewa kwei wewe fuko?Yohana hiki chama kinatatizo kubwa la kuwa na watu wasio uelewa. Wengi wao ni wahuni wahuni tu na walichobakiza sasa hivi ni matusi tu.
Hili janga ni baya sana linahitaji umakini na mikakati madhubuti kulidhibiti.
Wao wamekalili tu funga mipaka, weka lockdown, hawajui kuwa social distancing ni mojawapo ya njia ambayo mkiitumia vizuri mnaweza kufanikiwa. Waulize Mama lishe ambaye anapik vitumbua na mtaji wa elfu tano,ukimfungia ndani siku 30 ataishi vipi?
Sasa badala ya kuonyesha umoja na mshikamano wao wanaleta political conspiracy wakati ni janga la dunia.
Kuna mbunge alitoa hoja labda ikibidi hili li chama lifungiwe kabisa. Any way bora waliache life kwa kupigwa na wananchi mwezi October.
Kwani wewe hapo juu umeandika nini? Au kwa akili zako za kushikiwa hujui Kama lockdown ni kinga ya kuambukizwa coronaOna maswali mnayouliza sasa.. upelekwe mirembe ulalamike.
Hivi hata shule ulienda?? Nani alikwambia lockdown ni kinga ya corona😂😂Kwani wewe hapo juu umeandika nini? Au kwa akili zako za kushikiwa hujui Kama lockdown ni kinga ya kuambukizwa corona
Lockdown ni nini mkuu,wewe msomi?Hivi hata shule ulienda?? Nani alikwambia lockdown ni kinga ya corona😂😂
Kumbe napoteza muda kujibu jitu linalojua eti lockdown ni KINGA ya corona..
Nisamehe chief sitakujibu tena🙌🙌
Mara nyingi watu wa nchi zinazojitambua huwa kwa majanga kama hayanwanafocus kwenye common solution ila tu nchi twetu mawazo mbadala hayana national issues hata chanjo ikipatikana ya gonjwa hili mawazo mbadala yatakuwa ni kutotumia chanjo aghalabu hata nchi ikiingia vitani mawazo mbadala yatakuwa kuwa upande wa adui . Hizo ndo akili za siasa za kiafrika.Bwashee unajua nini maana kutofautiana kiitikadi? Msimamo wa chama tawala katka kuendesha mambo ya kitaifa na kimataifa si lazima yawe ndiyo muongozo na msimamo pekee na wa vile vya upinzani. Kuwa na mawazo mbadala ni haki iliyowekwa kikatiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeanza na hili swali kabla ya ubishi ningekujibu.. ujuaji wako umekuponza.Lockdown ni nini mkuu,wewe msomi?
Ni shida. Yaani comment zingine tunasoma tu sababu macho hayana pazia.serikali inayojenga miradi kwa pesa za ndani inashindwa vipi ku enject pesa kwa ajili ya raia wake waka survive kipindi cha lockdown?
Mwana lumumba akiwa makao makuu ya chama,akitoa maana ya lockdownNadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Hawa vijana ni mbumbumbu sanaUna vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Unashauri watu kama wachuuzi, bodaboda, wavuvi, mamantilie n.k wakigoma kukaa ndani njia gani itumike kuwafanya wakae ndani?Lockdown ni nini mkuu,wewe msomi?
Kweli, hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewejohnthebaptist, Hata serikali ingetangaza total lockdown hao hao Chadema wangepinga na kusema wananchi watapata tabu. Hao jamaa ni wa kuwasikiliza na kuwapuuza tu.
Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.