Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

johnthebaptist tangu asubuhi nauliza kwani "lock down" ni nini mpaka sasa sijapa jibu!!
#
IMG_20200412_130003.jpg
Lockdown
 
Sasa unataka watu wafanye nini?.
Kama corona ndo hyo imeshatimba?..
Kwani lock down ndo dawa ya corona?..
Ebu Anza wewe kujiweka lock down .
Mkuu please usifanyie Siasa hili Janga. Usisubiri ndugu zako waondoke ndio ujuwe ili ni janga la dunia.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Screenshot_2020-04-12-13-08-45-415_com.android.chrome.jpg
 
Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.

Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?

Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.

Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.

Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?

Niwatakie Pasaka yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
Tatizo cdm furaha yao ni kuona watanzania wanapata maafa.
Kwanini wanasubiri serekali itangaze. Watuoneshe mfano kwa wao kujifungia ili wengine tuwaige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana yake?

Freeman karantini imemshinda kakimbilia posho mjengoni.......wewe kapuku si ndio utafia nyumbani kwa wazazi kabisa!

Freeman ndiyo nani? Wewe unayejidhania ati kuwa ni Yohana Mbatizaji wakati ni likapuku wahedi hujihurumii?

Unadhani kila mtu ni wa siasa siasa kama likapuku wewe?

Ama kweli wewe katika makapuku wewe ni baba lao.

TWAWEZA eeh kuna jingine huku eti linadhani ndio lililombatiza Yesu.

Jinga kabisa!
 
Nyakati kama hizi kuelekea uchaguzi ni vema Chadema wakakaa kimya ikiwa hawana cha maana cha kuzungumza. Kuna mambo wanazungumza yanawafurahisha wafuasi wao wa "mtandaoni" ambao hata akili zao ni za "mtandaoni".

Wafuasi wa Chadema wa mtaani kama mama ntilie, wauza genge, makondakta, machinga, nk., kwao ni aheri ku-risk kupata hiyo corona mtaani kuliko kukaa ndani wafe njaa (ni hayawani tu anayedhani serikali yetu ina uwezo wa kutupatia chakula ikitufungia).

Anyways, tangu gia ya 2015 nilibaini kuwa lengo kuu la Mbowe si kuipeleka Chadema ikulu bali kuitumia kiuchumi. Ndiyo sababu hataki Chadema inayojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freeman Mbowe ndiyo nani? Wewe unayejidhania ati kuwa ni Yohana Mbatizaji wakati ni likapuku wahedi hujihurumii?

Unadhani kila mtu ni wa siasa siasa kama likapuku wewe?

Ama kweli wewe katika makapuku wewe ni baba lao.

TWAWEZA eeh kuna jingine huku eti linadhani ndio lililombatiza Yesu.

Jinga kabisa!
Kwa hasira hizi utaweza kweli kufungiwa ndani manka?!

Njaa ikikuuma utawatesa sana wazazi wako kiasi cha kujutia kula tunda!
 
Yohana hiki chama kinatatizo kubwa la kuwa na watu wasio uelewa. Wengi wao ni wahuni wahuni tu na walichobakiza sasa hivi ni matusi tu.
Hili janga ni baya sana linahitaji umakini na mikakati madhubuti kulidhibiti.
Wao wamekalili tu funga mipaka, weka lockdown, hawajui kuwa social distancing ni mojawapo ya njia ambayo mkiitumia vizuri mnaweza kufanikiwa. Waulize Mama lishe ambaye anapik vitumbua na mtaji wa elfu tano,ukimfungia ndani siku 30 ataishi vipi?
Sasa badala ya kuonyesha umoja na mshikamano wao wanaleta political conspiracy wakati ni janga la dunia.
Kuna mbunge alitoa hoja labda ikibidi hili li chama lifungiwe kabisa. Any way bora waliache life kwa kupigwa na wananchi mwezi October.
Umeongea ukweli kwa asilimia 💯
 
Yaani mtu kusema ukweli wa mambo tu kosa? By the way CCM hii awamu imebadilika sana, watu hawasikii wapigaji kama Harbinder Seth. Kinachosikika ni miradi kama Sgr,JNHHP,barabara kujengwa, Madaraja kama busisi na wami,Zahanati,vituo vya afya na hospital kwa maelfu. Shule zimekarabatiwa. Kwa ujumla mambo yamebadilika sana.
Hao wanataka mtazamo wako ufanane na chama Chao (Chadema) wapuuze tu unapoteza muda wako kubishana nao.
 
Back
Top Bottom