Kwahiyo unashauri Nini jomba..vaa mask hata ya kitambaa Cha shuka..hata Shari lako chana weka piano kipande..usigusane na mtuu, nawa mikono..nenda kazini kachape kazi..Kama wewe una hela kaa nyumbani jomba. Lakini wale ambao wanatafuta kila siku, wacha waende lakini wachukue tahadhari zote..upoMoja ya masharti ni epuka misongamano, wewe unanihimiza nikachape kazi,kazi yangu ipo Kariakoo,nakaa mbagala,au tageta au mbezi Luis huku msumi,nakaa gongo la mboto,sawa nisaidie naepukaje msongamano? Huko kunawa mikono kunamsaidia nini wakati nikipanda mwendo kasi hata kuweka miguu hakuna?


wewe ulipowaita wenzio wahuni wahuni , ukiambiwa nawe mhuni unaomba staha !! 