Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Majibu umeshapata,biblia imetaja majini(pepo)kabla ya Qur'an.Na Yesu alishirikiana na majini.
Luka 10:17-20
Halafu Yesu pia aliwatuma wanafunzi wake,wawaingize katika ukristo kila kiumbe(jini pia ni kiumbe)
Nendeni ulimwenguni kote na mfundishe Injili kwa kila KIUMBE
Biblia haijawahi taja majini bali imetaja mapepo wachafu, hivi ni viumbe viwili tofauti kiuumbaji.
 
So In Islam there's truth and untruth! Tell us about the untruth and truth of Islam then?

Islam is the religion of Allah and He accept only Islam, to say that there's untruth in it is like insulting Allah.

Ali-Imran 3:19. Religion with Allah is Islam. Those to whom the Scripture was given differed only after knowledge came to them, out of envy among themselves. Whoever rejects the signs of Allah-Allah is quick to take account.

Ali-Imran 3:85. Whoever seeks other than Islam as a religion, it will not be accepted from him, and in the Hereafter he will be among the losers.

61:7. And who is a greater wrongdoer than he who attributes falsehoods to Allah, when he is being invited to Islam? Allah does not guide the wrongdoing people.

You are a disgrace to your fellow Muslim? I think you must be punished by Sharia law where your head gets chopped off for blasphemy.

Ha ha ,okay .
Was awfully nice talking to you ,Sir .
Take care then .
 
Ha ha ,okay .
Was awfully nice talking to you ,Sir .
Take care then .
Yes it is awfully nice talking to me when you talk garbage and blasphemous statements about Allah. Isn't it? Next time think before you write anything to anyone. Take care too, don't be an idiot!
 
Biblia haijawahi taja majini bali imetaja mapepo wachafu, hivi ni viumbe viwili tofauti kiuumbaji.
Tumia akili,jini ni neno la kiarabu,shetani neno la kiarabu,mapepo ni jina la kiswahili.
Jini =Mapepo. Shetani=Pepo mchafu
 
Tumia akili,jini ni neno la kiarabu,shetani neno la kiarabu,mapepo ni jina la kiswahili.
Jini =Mapepo. Shetani=Pepo mchafu
Mkuu unahisi sijatumia akili hapo? Hatuna vipimo kwakuwa. Ila kwanza nikufundishe kitu, majina Ibilisi na Shetani si yenye asili ya kiarabu bali kiebrania na ukitaka na kurahisisha hii hoja tafuta etymology yake.

Pili, neno jini ni kweli la kiarabu. Ila nawe tumia akili kidogo ingewezekanaje kiumbe kimoja kiumbwe kwa material ya moto na kingine kwa nuru, halafu uje useme ni kiumbe kilekile tofauti ni lugha tu za majina? Goat ndo mbuzi hapo sawa, lakini jini si mapepo waovu aka malaika waovu. Umenipata hapo?
 
Kiebrania na kiarabu zote ni lugha za mashariki ya kati,hizi lugha zinaingiliana matamko.
 
Jibu maswali usikimbilie usichoulizwa?

Kama mnakariri.

*Pepo wachafu=Majini/mashetani

*Pepo wasafi ni akina nani........?
Kwenye Biblia hakuna pepo wasafi
Biblia inatambua pepo wote ni wachafu
 
MAJINI SI MALAIKA, KUNA MALAIKA NA MAJIN, MALAIKA WAMEUMBWA KWA MWANGA NA MAJINI WAMEUMBWA KWA MOTO, MALAIKA NI VIUMBE WANAOTEKELEZA AMRI YA MW. MUNGU NA HAWAMKOSEI MW. MUNGU, HAWALI HAWANYWI HAWAZAI NA HAWANA HISIA ZOZOTE KM KUTAMANI, MALAIKA WANA UWEZO AU NGUVU KULIKO MAJINI, MF WA MALAIKA HAO NI, MALAIKA JIBRIL, MIKAIL, ISRAIL, ISRAFIL, RAQIB, ATID, NA KILA MMOJA ANA KAZI YAKE SPECIAL, KWA MF, ISRAIL NI KUTOA ROHO NDIYE ANAYEFISHA VIUMBE VYOTE PAMOJA NA MAJINI, ISRAFIL NDIYE ATAKAYEPULIZA PARAPANDA CKU YA KIYAMA ITAKAPOFIKA, MIKAIL KAZI YAKE NI KULETA MVUA NA RADI NK. MAJINI NI VIUMBE WALIOISH DUNIA HII KABLA YA KUUMBWA BINADAMU, WALIISHI KM TUNAVYOISHI, ILA TU BAADA YA KUMUASI MW. MUNGU NDIPO ALIPOWAONDOA KTK DUNIA HII NA KUMUUMBA BINADAMU ILI AJE KUTAWALA DUNIA HII, BAADA YA KUUMBWA BINADAMU NDIPO WALIPOMUOMBA MW. MAMBO MATATU, 1. WASIWEZE KUONEKANA KWA MWANADAMU NA WAMUINGIE BINADAMU WANAVYOTAKA KTK MWILI, 2. WAISHI UMRI MREFU, NA 3. WAWEZE KUJIBADILISHA UMBO LOLOTE WANALOTAKA, NDIPO MW. MUNGU ALIPOWAKUBALIA.
ILA WAPO MAJINI WANAOMUABUDU MW. MUNGU NA PIA WAPO WAASI,
NA CKU YA KIYAMA WATAHUKUMIMIWA KWA MATENDO YAO KM BINADAMU.

KWENYE KITABU CHA QURAN MW. MUNGU ANASEMA "CKUWAUMBA BINADAMU NA MAJINI ILA WANIABUDU"
NA IPO CHAPTER KWENYE QURAN INAYOWAZUNGUMZIA MAJINI.

KWA UFUPI TU, WANAJUA ZAIDI WANAWEZA KUKUELEWESHA.
Hivi kuna mitume ya kijini kulingana na mafundisho ya Quran mkuu? Umesema majini yaliishi duniani kabla yetu, yaliishije? Una uhakika kuwa hufa?
 
Nani anashindwa kuigusa quran wewe!!!!

Mbona unaongea vitu kwa kukisia tu.??.tumejuaje kwamba majini walisilimu baada ya kusikia neno kutoka kwa muhamad..????
Tumejuaje allah aliapa kwa aliyeumba kiumeni na kike????
Tumejuaje mbingu ya allah ina ahadi ya mito ya pombe na wanawake.????

Acha kuandika mitizamo yako humu.
Mito ya pombe na wanawake!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanamezeshwa na wachungaji makanisani ili waichukie dini nyingine . Mbaya zaid wanashindwa hata kuigusa quran kwa dhana mbovu walizomezeshwa...sasa cjui watajuaje kilichoandikwa ndani yke.
Hizo zana mbaya juu ya uislamu na Quran hazimezeshwi na wachungaji bana, ni ninyi wenyewe ndo mnaozihubiri, kwamba ukigusa hiki kitabu unachizika na mambo kama hayo. Kumbuka ile kesi ya mtoto kukikojolea kitabu ni ktk dhana hii.

Lakini nikuambie kitu, Biblia na Ukristu na Wakristu hawana habari na chochote kihusianacho na uislamu. Binafsi sijawahi kuingia kanisa lolote nkamkuta mchungaji au padri anahubiri kuhusianisha na Quran na uislamu.

Naijua sababu kuu, yenyewe imejitosheleza na inajiamini na mafundisho yake na yanaeleweka saana, haihitaji kitabu kingine kujipatia mashiko. Haya yanayoendelea kwetu ni kwakuwa tu tuko kwenye jamii mchanganyiko tu. Vinginevyo kungekuwa na wakristu ambao hawakuwahi kusikia lolote juu ya uislamu. Na nadhani hata Tz hao wapo, binafsi nimeujua uwepo wa uislamu na kuufutilia ukubwani.
 
Fafanua.Ueleweke.
Tafadhari ebu nisaidie hili swali...kuna ukweli na uwongo katika uislamu?
 
Mada inahusu Majini na Mashetani cha kushangaza Wakristo Uchwara wanaanza kuwakashifu Waislam na Dini yao. Jamani someni muelewe Maana ya hizi Dini acheni ushabiki usiyokuwa na Maana kujitia ujuvi kumbe hakuna mulijualo. Tazameni wenzenu hapo wanajifunza washachoka kufanywa wajinga [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG-20170203-WA0100.jpg
 
Acheni kudangnya nyie waislamu eti majini nao waliumbwa na mngu naomba muelwe kua majini kma walvo mashetsni wengne ni malaika wachafu walioasi na waliotupwa katoka ufalme wa mngu na kuwekwa ktka hukumu ya moto wore walkua malaika zaman ila wakaasi kwa kumtii lusifer nackutupwa wte kuzmu HVO majin hyskuumbwa moja kwa moja ni majini Ila ndo HVO ni pepo wachafu tu kma wengne ndo mana wanaliogopa xna Nina LA yesu Kristo kwani huadhbu pale. Wamshkliapo bnadamu ,pia majini ni asili ileile tuvya wapepo wachafu pmoja na mizimu yote
 
Mada inahusu Majini na Mashetani cha kushangaza Wakristo Uchwara wanaanza kuwakashifu Waislam na Dini yao. Jamani someni muelewe Maana ya hizi Dini acheni ushabiki usiyokuwa na Maana kujitia ujuvi kumbe hakuna mulijualo. Tazameni wenzenu hapo wanajifunza washachoka kufanywa wajinga [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 466877
Acha uzushi
Hakuna mkristo aliyemkashifu muislam.

Watu tunaeleza hali halisi ya ukweli uliopo.

Kwani ni uongo kwamba waislam wanachangia mungu mmoja na majini???
 
Back
Top Bottom