Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Acha kukata viuno.leta andiko kutoka katika bible kwamba majini au mashetani tunashirikiana nao kuabudu Mungu mmoja kama waislam.
Lete andiko kwenye bible kuwa majini ni malaika waliyoasi?
 
Wewe unaweza kututhibitishia kama wewe ni binaadam???au umezaliwa ukakuta kwamba kuna watu kama wewe wanaitwa binaadam!!!!??
Kuwepo kwa watu kama Mimi na ndiyo maana nami nikawa ni binadamu maana yake binadamu ana sifa zake hivyo Mimi nina sifa hizo na ndiyo maana nikaitwa binadamu.

Sasa je hayo majina unayoita ni ya kikristo sifa zake ni zipi?
 
Naona wakristo wameshindwa kuthibitisha kuwa Majini ndiyo Malaika waliyoasi waliyoelezwa kwenye biblia ila wanalazimisha kuwa majini ni malaika waliyoasi.

Yani malaika akiasi anakuwa jini ila ukimuuliza ni nini maana neno jini hajui.
 
Hivi kuna mitume ya kijini kulingana na mafundisho ya Quran mkuu? Umesema majini yaliishi duniani kabla yetu, yaliishije? Una uhakika kuwa hufa?
KUHUSU MITUME YA KIJINI, SINA UHAKIKA NALO, NA WALA SIJAWAHI KUSIKIA WALA KUFUNDISHWA, MITUME WALIOLETWA NI WA KIBINADAMU TU, LABDA KM KUNA ANAYEJUA ZAIDI HUMU. ILA NNACHOJUA NI KWAMBA KUNA MAJINI WAOVU NA WEMA, KM TULIVYO BINADAMU, MAJINI WEMA HUPENDA KUINGIA AU KUTEMBELEA NYUMBA ZA WATU WEMA NA WAOVU HUPENDELEA NYUMBA ZA WATU WAOVU AU WAPENDAO ANASA ILI KUKUSHAWISHI ZAIDI KUFANYA MAMBO MABAYA NA ANASA AU DHAMBI BILA YA WEWE KUJIJUA, COZ AMEPEWA UWEZO WA KUKUINGIA.

WALIISHI KM TUNAVYOISHI ILA HAWAJAPEWA AKILI KM YETU YA KUFANYA MAMBO YA KIMAENDELEO KM KUJENGA NYUMBA, NDO MAANA UNASIKIA WAO WANAISHI NDANI Y BAHARI, WANATEMBEA ANGANI, NK.
WANAZAA, WANAOANA, WANA FAMILIA NK.

NA NI NDIO WANAKUFA KM TUNAVYOKUFA, ILA TOFAUTI NI KWAMBA WAO WANAISHI UMRI MREFU ZAIDI YETU, MIAKA 200, 500, 1000 NA KUENDELEA, ILA KILA MMOJA CKU YAKE YA KUFA INAPOFIKA LAZIMA AFE, KWANI MW. MUNGU KISHA SEMA KILA KIUMBE KITAONYA UMAUT, SO SWALA LA KUFA LIKO WAZI.

WANAOJUA ZAIDI WANAWEZA KUNILEKEBISHA.
 
Hawaelewani sababu ya mahali pa kuzikia!!!!au una mfano tofauti na huu maana huo hauthibitishi chuki kati yao.

Uislam ni mfumo wa maisha ya kila siku, maisha gani yataje hapa maana kila mtu anao mfumo wake.

Halafu nikuulize kitu huko kwenu huwa mnaweka kila kitu hadharani kwa waumini, wanawake wa kiislam wameahidiwa nini peponi, huwa mnawaambia????
1.Jambo la kuzikana sio dogo ni kubwa,mpaka mtu aliyefariki,hapo si padogo.Kubaguana mpaka kwa mtu akiyekufa.
2.Malipo ya wanawake,kwa walichoahidiwa wakiwa peponi:
Qur'an 56:35-38
"Hakika sisi Tunawaanzisha uanzishaji.Tunawafanya mabikira.Wenye mahaba kwa waume zao,hirimu moja.Kwa ajili ya watu wa kuliani".
Umbile la wanawake wa duniani ambao ni waumini litafanywa kuwa na uzuri usuokuwa na kifani peponi.
Na kama unavyojuwa wanawake hakuna kitu wanachokipenda kana kuwa mzuri wa sura na umbo.Hawatoki kwa wapambaji,waliofunguwa naduka ya upambaji.
 
Hili andilo halijasema majini yamebatizwa kuwa makristo, yamemtii Yesu alichoyaamuru
Hivi hao sabiini waliofurahi kutiiwa na mapepo,walibatizwa?Au waliteuliwa tu?
Kutii kwa mapepo ndio kukubali hiyo dini.
 
Lete andiko kwenye bible kuwa majini ni malaika waliyoasi?
Hamna neno jini au majini kwenye biblia! Neno hilo labda linapatikana kwenye Qur'an! Kwenye biblia utapata neno Shetani, ibilisi, pepo na Beelzebuli.

Matayo:12.24
Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo.
 
Soma Luka 10:17-20
jinn /dʒɪn/ (also djinn)
noun (pl. same or jinns) (in Arabian and Muslim mythology) an intelligent spirit of lower rank than the angels, able to appear in human and animal forms and to possess humans. Compare with genie.
— ORIGIN
from Arabic jinnī, plural jinn.
 
Hamna neno jini au majini kwenye biblia! Neno hilo labda linapatikana kwenye Qur'an! Kwenye biblia utapata neno Shetani, ibilisi, pepo na Beelzebuli.

Matayo:12.24
Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo.
Sasa mbona wakristo wanasema majini ndiyo malaika waliyoasi na ndiyo maana wanasema hakuna majini wazuri wakati kumbe biblia haijawazungumzia majini?
 
Sasa mbona wakristo wanasema majini ndiyo malaika waliyoasi na ndiyo maana wanasema hakuna majini wazuri wakati kumbe biblia haijawazungumzia majini?
Jinni ni neno la kiarabu ambalo maana yake ni demon au pepo.
Mkuu wa majini ni Satan/Shetan/Ibilisi alafu wanafuatia Demons/Majini/Mapepo

Majini au Pepo ni viumbe visivyo onekana na vinatesa na kudanganya wanadamu. Kwa waislamu wengi wanamajini na kwa wakristo wengi wanamapepo yanawapata lakini ni kitu kimoja.

Tofauti ni kwamba Majini yamekubalika katika uislamu, wakati katika ukristo hayajakubalika kwa kuwa yamemuasi Mungu na yako mbioni kudanganya wanadamu wasimuabudu Mungu.
 
Chanzo cha haya maelezo yako ni kipi?
 
Kuwepo kwa watu kama Mimi na ndiyo maana nami nikawa ni binadamu maana yake binadamu ana sifa zake hivyo Mimi nina sifa hizo na ndiyo maana nikaitwa binadamu.

Sasa je hayo majina unayoita ni ya kikristo sifa zake ni zipi?
Asante kwa kunielewa.

Sifa za hayo majina ni kuitwa wakristo.
 
Naona wakristo wameshindwa kuthibitisha kuwa Majini ndiyo Malaika waliyoasi waliyoelezwa kwenye biblia ila wanalazimisha kuwa majini ni malaika waliyoasi.

Yani malaika akiasi anakuwa jini ila ukimuuliza ni nini maana neno jini hajui.
mmeanza kugombania majini tena!!!!

Kweli waislam ni vichaa, haya wakristo hatuna majini hata kwenye bible hayajatajwa.majini yametajwa katika quran na yanamwabudu mungu mmoja na waislam, sio wakristo.
 
1.Jambo la kuzikana sio dogo ni kubwa,mpaka mtu aliyefariki,hapo si padogo.Kubaguana mpaka kwa mtu akiyekufa.
2.Malipo ya wanawake,kwa walichoahidiwa wakiwa peponi:
Qur'an 56:35-38
"Hakika sisi Tunawaanzisha uanzishaji.Tunawafanya mabikira.Wenye mahaba kwa waume zao,hirimu moja.Kwa ajili ya watu wa kuliani".
Umbile la wanawake wa duniani ambao ni waumini litafanywa kuwa na uzuri usuokuwa na kifani peponi.
Na kama unavyojuwa wanawake hakuna kitu wanachokipenda kana kuwa mzuri wa sura na umbo.Hawatoki kwa wapambaji,waliofunguwa naduka ya upambaji.
Kwahiyo upendo unadhihirika kwa kuzikana pamoja!!!!

umekuja nilipopataka, wanafanywa wazuri ili wakagawanywe 70 kwa kila mwanaume hivi hii ni tuzo kweli hii??au mimi nafikiri zaidi????
 
mmeanza kugombania majini tena!!!!

Kweli waislam ni vichaa, haya wakristo hatuna majini hata kwenye bible hayajatajwa.majini yametajwa katika quran na yanamwabudu mungu mmoja na waislam, sio wakristo.
Soma Luka 10:17-20,jinsi mapepo yanavyotii kwa Yesu.Kiumbe hakiwezi kutii kama hakijakufuata unavyotaka.
 
Back
Top Bottom