Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...

Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......

Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...

Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Hizo baraka anazitaka wengine kupata watoto wasahau - inatakiwa iwe na laana

Kenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28

Kenya Development Budget of Sh 1,419,843,057,000
 
Ushaur Kwa vijana wanaotafuta ajira etyy maana ndyo tunaogoza kuingiza JF Kila muda kama tuna free wi-fi
 
Hizo baraka anazitaka wengine kupata watoto wasahau - inatakiwa iwe na laana

Kenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28

Kenya Development Budget of Sh 1,419,843,057,000
Usiogope mkuu pata mtoto
 
Umewahi kusikia kisa cha yule jamaa aliyewangulia kesi wazazi wake kwa shauri la kumzaa bila ridhaa yake huku wakijua hawana uhakika wa kumtunza?

Chonde chonde mkuu, we ukija kufunguliwa kesi hapa bongo, nina uhakika utahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Mitoto ya siku hizi haijali wazazi wao zaidi ya Amapiano na Afobeats
We are the GenZ

😹😹😹
 
Haha usiache kumwambia huyo baba amwage njeee shost,, akizaliwa cha bei nafuu ni maziwa ya mama pekee, napo mama anatakiwa ale ashibe. Na sio kula michicha na ugali 🤣🤣
Unatisha watu wewe, Mimi ni shuhuda nilikua apeche alolo. Mwanangu alikuja na baraka mpya ndio nikamuoa na mama yake sasa na mengine mengi mengi.. na hivi punde tunatarajia baraka zingine 🤗
 
Unatisha watu wewe, Mimi ni shuhuda nilikua apeche alolo. Mwanangu alikuja na baraka mpya ndio nikamuoa na mama yake sasa na mengine mengi mengi.. na hivi punde tunatarajia baraka zingine 🤗
🤭 hongera mkuu. Hizo mambo zina apply 1/10 nadhani
 
Back
Top Bottom