Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...

Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......

Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...

Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Mallerina
giphy.gif
 
Sawa Hamza
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu
 
Hakuna kitu Kama hiki Mkuu Mkuu

Success is about hard work smart + GOD and not children.

Ni vizuri Ukapata mtoto ukiwa umeiandaa akili yako vizuri.
 
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu

Fungasha urudi kijijini Bestinaso
 
Fungasha urudi kijijini Bestinaso
Hii ndiyo shida ya watu wenye akili za kimasikini.
Huko kijijini ndiyo wapi? Kuna watu wamezaliwa mjini hata kijijini hawapajui na wala hawajui lugha za kikabila zaidi ya Kiswahili, kiingereza na lugha zingine za dunia ya kwanza. Na wamezaliwa hapa hapa Tanzania
 
Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...

Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......

Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...

Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Kenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28

Kenya Development Budget of Sh 1,419,843,057,000

Zalianeni muijaze dunia
 
Hii ndiyo shida ya watu wenye akili za kimasikini.
Huko kijijini ndiyo wapi? Kuna watu wamezaliwa mjini hata kijijini hawapajui na wala hawajui lugha za kikabila zaidi ya Kiswahili, kiingereza na lugha zingine za dunia ya kwanza. Na wamezaliwa hapa hapa Tanzania
"Fungusha urudi kijijini Bestinaso"

Huu ni msemo kutoka katika nyimbo ya harmonize inaitwa leave me alone so hiyo ni code.
 
Hyo mwingine akileta mateso pata mwingien na mwingine na mwingine
Umewahi kusikia kisa cha yule jamaa aliyewangulia kesi wazazi wake kwa shauri la kumzaa bila ridhaa yake huku wakijua hawana uhakika wa kumtunza?

Chonde chonde mkuu, we ukija kufunguliwa kesi hapa bongo, nina uhakika utahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Mitoto ya siku hizi haijali wazazi wao zaidi ya Amapiano na Afobeats
 
Back
Top Bottom