Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Japo nilicomment kwenye huu uzi, narudia tena kuwapa tahadhari!

Jichanganye ulie kuliko huyo mtoto
 
Sema kuzaana ni kama upatu ,mtu anayeishi kwa tabu anazaa mwingine ili aje kuishi kwa tabu.

Mtoto akiwa mkubwa anaambiwa sasa unatakiwa kujitegemea ,hapa hana la kufanya kashaingia mkenge.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom