Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

uchama unaiangamiza clouds.
hakuna radio nilikuwa naipenda kama clouds.
naaanza na power break fast,Leo tena,xxl.jahazi,amplifaya.sport extra.mpaka nite kali cha DJ heri..
lakini sasa misifa ikaanza ya kumsifia bwana yule.
fredwaa ndo usiseme.
ilifika kipindi fred was akiongea na bonge pale saa 11 hadi saa 12 nilikua nazima radio mpaka waingie akina masudi.
haya akina Bantu na wenzie ndo usiseme.
utafikiri waliambiwa clouds inasikilizwa na wafuasi Wa CCM pekee.

Wewe uchama ndio unakuangamiza kwa kuwa unatazama vitu katika mtazamo huo na wala usiwasingizie clouds ,kama wao ni ccm wewe inakuuma nini? mbona wao hawakereki wewe kupenda hicho chama unachokipenda?acha ubinafsi,kwani usichokipenda wewe kinapendwa na mwingine ,jifunze kustahamili.
 
Biashara ime mshinda huyo sijui nani alim shauri aache kazi na kujikita kwny biashara wakati ange weza fanya yote mawili kwa wakati mmoja
ndo hivyo watu walimwambia mbona dozen anafanya vyote....akasema ye anahitaji mda kwanza....asimame then baadae ndo aweze kufanya vyote...btw kusema kweli biashara ake sidhani kama inafanya poa...yani stock ni hizo hizo since alivofungua...anyways who am I to judge lol...
 
Unawaza ujinga tu,kwa hyo hao wasanii a nyuma TATZO ni Bashite,Hivi watz mpo sawa kweli???bifu la majizo na clouds TATZO NANI???? Hebu acha mihemuko
Tatizo ni DAB! Wenye akili kubwa ndo wataelewa hapa.... akili ndogo povu lazima liwatoke
 
Mhhh kuna mtu hapa anaweza akakosa kazi
28434696_176291483093995_1712986064638967808_n.jpg
 
Humfatilii MILARD AYO wewe that y

And madeni/mishahara hebu sogea sogea vilinga by ofisini mwao ukawaulize hata walinzi wa zamu
Taasisi gani isiyodaiwa? Wewe uliyesogea ushahidi uko wapi?
Millard anajitegemea kwenye blog yake so km haripoti habari za Wasafi itakuwa ni ishu zake na Wasafi so Clouds haiwezi husika hapo
 
Mimi ninachojua tu na nina uhakika nacho ni kwamba Mtu yoyote au Kikundi chochote kinachomchukia Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) watakuwa na matatizo makubwa ya akili halafu wana roho mbaya na wivu ambao huenda hata kwa Shetani usiukute. Diamond atabaki kuwa juu na ndiyo Kwanza sasa Mwenyezi Mungu anazidi kumfungulia njia nyingi za baraka na Mimi kama GENTAMYCINE ambaye sijawahi kumuomba jambo ' Maulana ' akaninyima au asinisikilize namwombea kwake Diamond azidi kufanya vyema katika Kazi yake ya Muziki, Biashara zake na Miradi yake. Nimekuwa nikichunguza sana ni kwanini Watu baadhi wanamchukia na kugundua kuwa wengi wao ni Umasikini tu wa mawazo na fikra ndiyo unawasumbua. Na wasisahau kuwa siku zote unapomchukia Mtu ambaye Yeye wala hana ubaya nawe na hata hajishugulishi nawe kwa lolote ni njia mojawapo ya kumwambia Mwenyezi Mungu azidi ' Kumbariki ' na azidi ' Kukusahau ' Wewe ni mwenye roho ya Korosho.
Tatizo sio WCB, tatizo ni mlezi wa WCB
 
Taasisi gani isiyodaiwa? Wewe uliyesogea ushahidi uko wapi?
Millard anajitegemea kwenye blog yake so km haripoti habari za Wasafi itakuwa ni ishu zake na Wasafi so Clouds haiwezi husika hapo
Unaota ww ushawahi ona millard kapost habari za Jide au nyimbo zke millard si ana kawaida kila msanii akitoa wimbo ana post mabibi na mabwana nawalika kutizama video ya msanii flani blog zote zinazugumzia uzinduzi wa album millard yupo kimya rayvanny anashow nje wala apost Ruge ndo anamkatazaga km ujui
 
Umeandika kiudaku maana hata hauna kinachoweza kuamini wengi ambao unafikiri watakubali uongo wako mwingi..

Huwezi kuandika hayo mengi bila hata katwakimu cha ndoto zako hizo..

Wewe unayako.. aiseee muda umetumia kuandika hayo ungeweza kufanya mengi hata kupika na kuuza maandazi ukajifurahia..

Upo dunia gani mamaaa huoni hata kinachoendelea
 
Wewe uchama ndio unakuangamiza kwa kuwa unatazama vitu katika mtazamo huo na wala usiwasingizie clouds ,kama wao ni ccm wewe inakuuma nini? mbona wao hawakereki wewe kupenda hicho chama unachokipenda?acha ubinafsi,kwani usichokipenda wewe kinapendwa na mwingine ,jifunze kustahamili.
OK endeleeni kusikiliza nyie msiokuwa na uchama
 
Kweli nimeamini juu ya hiki,kwenye kipindi cha XXL kuna segment ya 255 inayotoa habari, yaani hawajazungumzia uzinduzi wa album ya Dangote zaidi ya kuseme kesho msanii Wakazi atazindua album yake
 
kama wakimshusha shida iko wapi??
ni nyinyi wenyewe ndio mmeisababisha clouds iwe hivyo ilivyo..
 
Na kitu kingine hiki ni kipind cha ubepari ndugu yangu hii inaitwa nipe nikupe yan unatak nikupromote nipige nyimbo zako for free alafu kesho niandae show nikuite unikazie??kitu ambacho mi nahisi kinaua huu mziki ni radio kuandaa shows hiki kitu klibidi kioingwe kwa nguvu zote inamaan hiz radio zinapromote wasanii wao ili wakawafanyie izo shows ilo ndi tatizo kubwa hapa nchin ukion hta tatiz l diamond na clouds ni mmbo ya fiest ndo chanzo
Lakini Fiesta inadhaminiwa na Tigo (Millicom Int'l) na Diamond ni balozi wa Vodacom. Hawezi kupanda jukwaa lililodhaminiwa na mshindani wao. Thos ia obvious na alishaliongelea mara nyingi sana Diamond
 
Kwaiyo ruge alipokuw anaongela kuhusu mda wa kuisha tamasha kma ni saa sita au mpk asubuh mbon alisem diamond angekuwepo ila yuko nje ya nchi alikuw haujui huo ubalozi na vodacom?? Na je unaujua mktaba wake km unamfunga kufanya kazi na kampuni ingine na je bado upo au uliisha?? I mean mda wa huo mkataba!!
 
Mwaka jana niliona live coverage ya interview yake na akia Kibonde kwenye Jahazi akiliongelea hilo la mkataba wake na Vodacom ( inteview ipo youtube na kwa Millard Ayo). Mengine siyajui.
 
Mwaka jana niliona live coverage ya interview yake na akia Kibonde kwenye Jahazi akiliongelea hilo la mkataba wake na Vodacom ( inteview ipo youtube na kwa Millard Ayo). Mengine siyajui.
Kwaiyo izo story za kuwa kakataa kutumika ndo maana wanatak kumshusha tena zikitolew na mmoja wa mameneja wake ni batiri sio??kimbw iahu ni mkataba na voda but 2017 sijaona diamond akifany chochot na voda utanisahihisha km ntakuwa wrong!!
 
Eti Clouds wanataka kumshusha Diamond,kama hilo ndio lengo lao {Clouds}mbona hawajamnyanganya ubalozi wa Diamond karanga?
 
ndo hivyo watu walimwambia mbona dozen anafanya vyote....akasema ye anahitaji mda kwanza....asimame then baadae ndo aweze kufanya vyote...btw kusema kweli biashara ake sidhani kama inafanya poa...yani stock ni hizo hizo since alivofungua...anyways who am I to judge lol...
Tangu aondoke clouds XXL haifanyi vizur kbsaa... arudi mjengon....
 
Upo dunia gani mamaaa huoni hata kinachoendelea

Acha wivu
Hayo umeonea wapi.. yaandike hata proof weka sio kuota na kumwagika kutaka kuiponda Clouds kwa sababu zako binafsi..

Huyo Dee mabosi wake haswa unawajua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom