Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Naona mnajamba jamba wcb, nyie ni mnasema hamuwezwi kushushwaa?

Sasa naona matumbo ni moto, na bado mtaisoma namba kwa yule Mhaya.

Mtoto wa juzi analeta kiburi kwa wanaume wa Mjini??

Nyapamfu, poor diamond
TENA SEMA NI MTOTO WA TANDALE,SI MASAKI HAPO,MTAMSAIDIA KUFUNGA HIYO BIASHARA YAKE YA UJANJA UJANJA SOON ARUDI BUKOBA
 
INAMAANA HUONI FITNA ZA NJE SASA NA KUTUMIA WATU,USIPIGE NYIMBO SWA.HYA UTUMIE NA MBINU NYINGINE KUMDESTROY MWINGINE HAPO NDIPO TATZO

Hakuna fitna yoyote ni wasiwasi wenu mi nshaona wasanii wakali tu na nyimbo zao hazipigwi!then hata iyo wasafi TV na radio husizani kma wataridhisha wasanii wote katika uendeshaji wake kuna ambao watasema wanabaniwa hapo!!

Tatizo mshazoea kulalamika sna na kumbuka clouds washawai tumia XXL nzima kupiga nyimbo za Diamond tu mbona hamkusema anapendelewa walipiga hadi kipind kinaisha ila mlikuja kuona tu diva kuwa hachez wala kuzungumzia mambo ya diamond ye mwenyewe kasema jana Kenya kwamba media ambazo hazichezi nyimbo za WCB zinapotea sasa tatizo liko wapi wakati yeye asipopigwa hizo media zitakufa it means ye yuko juu ya izo media!!
 
Ndio maana dogo kaenda kuzindua album Kenya, kweli jina la album ni la Tandale Tanzania halafu uzinduzi wa kwanza ni Kenya. Kuna vitu vingine vinakera badala ya kupromot uzalendo inakuwa kunyume chake.

Siwezi mlaumu Chibu kufungulia Album kwa Jirani ingawa alijitetea bali wenye jicho la tatu na la nne tumeliona tatizo.

Waziri asiingie katika huu mtego awe makini, ashirikishe kwa upana kamati zake kabla hajatoa agizo!
 
Na kitu kingine hiki ni kipind cha ubepari ndugu yangu hii inaitwa nipe nikupe yan unatak nikupromote nipige nyimbo zako for free alafu kesho niandae show nikuite unikazie??kitu ambacho mi nahisi kinaua huu mziki ni radio kuandaa shows hiki kitu klibidi kioingwe kwa nguvu zote inamaan hiz radio zinapromote wasanii wao ili wakawafanyie izo shows ilo ndi tatizo kubwa hapa nchin ukion hta tatiz l diamond na clouds ni mmbo ya fiest ndo chanzo
 
Na kitu kingine hiki ni kipind cha ubepari ndugu yangu hii inaitwa nipe nikupe yan unatak nikupromote nipige nyimbo zako for free alafu kesho niandae show nikuite unikazie??kitu ambacho mi nahisi kinaua huu mziki ni radio kuandaa shows hiki kitu klibidi kioingwe kwa nguvu zote inamaan hiz radio zinapromote wasanii wao ili wakawafanyie izo shows ilo ndi tatizo kubwa hapa nchin ukion hta tatiz l diamond na clouds ni mmbo ya fiest ndo chanzo
You well said Mkuu
 
Kama unadhani Clouds washaanza kuwabania WCB basi unachanganyikiwa, ndio kwanza hawajaanza, muulizeni KOMANDO dada... But ukweli Mendez ndio ana tengeneza bifu kwa maslah yake, Diamond anaweza akawepo ila hao akina Rayvan Mboso na wengineo kaburi lao liko tayari, busara ilikuwa Diamond ayamalize na Clouds kama kweli kuna hicho kitu mnachosema, utake usitake Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine, ni sawa tu na kusema umpende usimpende uncle Magu, ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa utafuata tu maagizo yake
 
General Mangi
bwana mzee ni ndoto ya alinacha kua diamond atapata tumbo moto...aliulizwa kuhusu ishu hizi za kubaniwa, akacheka "kipesa" na kujibu "wanajisumbua"
by the way huyu jamaa mtasubiri mno pengine hata wajukuu wenu watasubiria tumbo kupata moto, mnajua dili la kombe la dunia ni kufuru sema tu inafichwafichwa lakini ni hell lot of cash jamaa kapewa
 
uchama unaiangamiza clouds.
hakuna radio nilikuwa naipenda kama clouds.
naaanza na power break fast,Leo tena,xxl.jahazi,amplifaya.sport extra.mpaka nite kali cha DJ heri..
lakini sasa misifa ikaanza ya kumsifia bwana yule.
fredwaa ndo usiseme.
ilifika kipindi fred was akiongea na bonge pale saa 11 hadi saa 12 nilikua nazima radio mpaka waingie akina masudi.
haya akina Bantu na wenzie ndo usiseme.
utafikiri waliambiwa clouds inasikilizwa na wafuasi Wa CCM pekee.
 
Nimeshawahi kuandika hapa;

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu
Hahahaaa sasa hivi wameamua kuja na silaha za nje kabisa,eti kumuualika naibu Wazir na basata wapigilie msumari w mwisho. KWA NN ISITIE SHAKAHATA HUO BASATA KUNA MTU KALAMBA MPUNGA AFUNGIE NYIMBO Z DIAMOND. daaah jamaa wanatapatapa sanaaa
 
Hahahaaa sasa hivi wameamua kuja na silaha za nje kabisa,eti kumuualika naibu Wazir na basata wapigilie msumari w mwisho. KWA NN ISITIE SHAKAHATA HUO BASATA KUNA MTU KALAMBA MPUNGA AFUNGIE NYIMBO Z DIAMOND. daaah jamaa wanatapatapa sanaaa
dogo umekunywa chai...sasa mwimbo ufungwe na basata...weye uje walaumu clouds...hebu tumia hiyo nguvu ya kuandika barua ndeefu kwenda kulima 🙂🙂🙂🙂
 
Kama hujanileta huwezi nirudisha nlipotoka, Geuza hii sentensi utapata maana, ruge kawapandisha na sasa anawashusha.
Punguza povu mkuu
Nina moto sina povu,so ninawasha sasa


Ujinga wako kuamini RUGE ndo kambeba DIAMOND
Ni ujinga mkubwa sanaa pale unavyofikir wamebebwa wangap hawabebegi

Ujinga wako unadhihiri pale tu unapowaza na kufikiri kua nakubeba ili nikunyonye na wewe usapoti.SASA NDO RAIA WANAKATAAAA WE UNASEMAJE
 
ki ukweli, watu wanaanga na kukwanga ili waendelee kuwa na heshma mjini..wasipotezane tu
 
Umeandika fikra zako lakini kwa yoyote aliyesikiliza ile interview vizuri sidhani kama atakuwa na fikra hizi..
Bdozen[emoji815] Platnumz amepata nafasi ya kutumbuiza katika World Cup je,kama FIFA wakimwambia aperform hizo nyimbo mlizozifungia anaweza kuperform??na vipi kama nafasi hiyo angeipata Roma mliyemfungia je,mngemruhusu?
Waziri[emoji815] Platnumz ni Mtanzania,kama Wizara tukifungia nyimbo yake maana yake hapaswi kupanda jukwaa lolote duniani kucheza hiyo nyimbo sababu anawakilisha mila na desturi za kitanzania na mila zetu zipo tofauti na hiyo nyimbo.Roma ni mfungwa tusingemruhusu

Au kosa lilikuwa kuuliza hilo swali?
 
Back
Top Bottom