Yuko Wapi Diamond Platnumz? Why hajakuwepo kwenye 30th anniversary ya bongo flava?!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,209
Reaction score
12,510
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
 
Ulielewa lengo la miaka 30 ya Bongo Fleva na wasanii ambao wanaotakiwa kuwepo? Dayamondi ameenda mainstream 2009 wakati kina KR mulla wapo tangia 1992.
 
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
Show haikuwa kwaajili ya kutambua mchango wa Wasanii waliokuza bongo fleva bali walichukuliwa Wasanii walioimba miaka 30 tangu kuanzisha kwa bongofleva
 
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
Hamna cha ajabu mwenye Bongo fleva yake P Funk ambaye ndiye baba mlezi hajakuwepo, maDj wazamani alio ipush bongo fleva hawakuwepo,sasa cha ajabu kipi Diamond kutokuwepo, wakati waasisi wengi wa bongo fleva hajaalikwa hata Sugu mwenyewe hakuwepo,Dj Aboubakar Sadiki, Dj John Dilinga nk hawaja kuwepo.
 
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
gharama zake za kuperform ni kubwa sana hao bongo star search hawawezi,na hawezi kuja kwenye hilo tukio bila malipo maana atawapa ujiko waliondaa
 
Hamna cha ajabu mwenye Bongo fleva yake P Funk ambaye ndiye baba mlezi hajakuwepo, maDj wazamani alio ipush bongo fleva hawakuwepo,sasa cha ajabu kipi Diamond kutokuwepo, wakati waasisi wengi wa bongo fleva hajaalikwa hata Sugu mwenyewe hakuwepo.
Mkuu walishasema, wangeitwa wasanii wote pasingetosha. Hivyo basi wanataka hili tamasha lifanyike na mikoani kwahiyo waliokosa nafasi wategemee kuitwa tamasha lijalo.
 
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
Tangu 29 October mambo haitarudi tena kama zamani
 
Mkuu walishasema, wangeitwa wasanii wote pasingetosha. Hivyo basi wanataka hili tamasha lifanyike na mikoani kwahiyo waliokosa nafasi wategemee kuitwa tamasha lijalo.
Kuna uwezekano mleta mada halijui, mimi nilimkumbusha walikosekana wengi tena wale waanzilishi ya hiyo bongo fleva.
 
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.

Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.

Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi miongoni mwa mashabiki.

Hadi sasa, hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa kuhusu sababu ya kutohudhuria kwake.

Je, kwa hadhi yake katika historia ya Bongo Flava, mlitarajia Diamond awe sehemu ya tamasha hilo? Au mnaona uwepo wake haukuwa wa lazima?

Huu si mjadala wa kupunguza mchango wa mtu yeyote.

Ni mjadala kuhusu historia ya Bongo Flava na nafasi ya mmoja wa wasanii waliochangia kuifikisha kwenye ramani ya Afrika na dunia.

Wewe unaonaje? Je, kutokuwepo kwa Diamond kulipunguza uzito wa tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava, au tamasha lilikamilika bila yeye? Au ni kama tamasha hili linapunguza ushawishi wake kwa kizazi kipya maana Gen Z hata Inspecta Haruni walikuwa hawamjui ila kwa kuchana vina makini wamemfahamu!
Tamasha linahusisha wakonge waliotengeneza bongo fleva early 90s. Diamond yeye ameingia kwenye game 2000s thus yeye ameendeleza kilicho tengenezwa na wakongwe
 
Back
Top Bottom