Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Naona vibaraka wa ruge wametapakaa

Ishu sio kwamba tunataka huyo Ruge apige nyimbo za WCB ishu ni kwamba aache kutufatilia kwa mlango WA nyuma
HILI NDO MUHIMU KAMA HAPIGI NYMBO AENDELEE NA HAMSINI ZAKE,KINAMUUMA KUA HAKUNA ALIYETETEREKA KAMA WASANII WENGINE
 
Ujue sisi wote tunaongea bila kufahamu bifu zamjini nivita zakiuchumi kwaasilimia kubwa ukiwa nauchumi strong kweli nivigumu kushushwa nahata ukishushwa nivigumu kupotea mpaka ukanyoosha mikono juu, sasa ili wakuweze nilazima wapige sehemu zile ambazo wanahisi zinakuingizia mapato kwanjia moja au nyingine nawakishakuweza hapo tu wanakuwa tayari wamekumaliza so clouds wapo sawa navilevile inabidi tujiulize kwanini kipindi chanyuma kabla mond ajawa nauchumi mzuri haya tulikuwa hatuyasikii? Uchumi mzuri ndio unampa kiburi naili kumshusha nilazima uupige ngwala uchumi wake nandio bifu zamjini zilivyo
 
nyie vipi mnang'ang'ania kituo cha watu kipige nyimbo zenu ..kwani lazima !?? ile ni biashara after all so hkuna kulazimishana katika ununuzi wa bidhaa ..
nadhni hilo wazo la nyinyi kuanzisha station yenu limekaa poa zaidi mjikite katika hilo kuliko kukaa nakulia lia "" huku " sis tuwasaidie nini "" ??
 
Leta ushahidi kuhusu madeni yao na jinsi Millard alivyokatazwa kuripoti habari za WCB... Ukishindwa basi utakuwa na chuki binafsi.

Mambo mengine muwe mnajiongeza...
Hivi nani asiyejua kuwa tatizo ni DAB? DAB ndo mlezi wa WCB na ndo huyo huyo ana ugomvi na Ruge (sio Clouds) ila anaitumia Clouds km fimbo ya kumnyoosha Ruge.
Kwa ufupi DAB ana utoto flani kwani mtu mwenye akili zake hawezi kwenda kuvamia media kisa habari yake imepuuzwa.
Kwa ufupi WCB wana endeshwa na DAB na huo ugomvi master wake ni DAB ...
Clouds lazima wafuate miiko yao ya kazi... lazima
 
Sema nini story za namna hii nimeanza kuzisikia kitambo lakini hakuna kitu .
Clouds haijafika hapo Kwa sababu ya diamond Ila inawezekana diamond amefika hapo Kwa sababu ya clouds
Hapo hujaelewa kidogo. Tatizo sio kupiga nyimbo hilo waliacha tangu mwaka jana. Tatizo ni kuendelea kutumia nguvu nyingi kupandikiza chuki, kijana wa watu kawaachia bongo kaenda Nairobi kufanya uzinduzi bado wanamfuatilia. Angefanya hapa bongo si wangetumia kila mbinu hiyo event isifanikiwe?
 
Leta ushahidi kuhusu madeni yao na jinsi Millard alivyokatazwa kuripoti habari za WCB... Ukishindwa basi utakuwa na chuki binafsi.

Mambo mengine muwe mnajiongeza...
Hivi nani asiyejua kuwa tatizo ni DAB? DAB ndo mlezi wa WCB na ndo huyo huyo ana ugomvi na Ruge (sio Clouds) ila anaitumia Clouds km fimbo ya kumnyoosha Ruge.
Kwa ufupi DAB ana utoto flani kwani mtu mwenye akili zake hawezi kwenda kuvamia media kisa habari yake imepuuzwa.
Kwa ufupi WCB wana endeshwa na DAB na huo ugomvi master wake ni DAB ...
Clouds lazima wafuate miiko yao ya kazi... lazima
Unawaza ujinga tu,kwa hyo hao wasanii a nyuma TATZO ni Bashite,Hivi watz mpo sawa kweli???bifu la majizo na clouds TATZO NANI???? Hebu acha mihemuko
 
Leta ushahidi kuhusu madeni yao na jinsi Millard alivyokatazwa kuripoti habari za WCB... Ukishindwa basi utakuwa na chuki binafsi.

Mambo mengine muwe mnajiongeza...
Hivi nani asiyejua kuwa tatizo ni DAB? DAB ndo mlezi wa WCB na ndo huyo huyo ana ugomvi na Ruge (sio Clouds) ila anaitumia Clouds km fimbo ya kumnyoosha Ruge.
Kwa ufupi DAB ana utoto flani kwani mtu mwenye akili zake hawezi kwenda kuvamia media kisa habari yake imepuuzwa.
Kwa ufupi WCB wana endeshwa na DAB na huo ugomvi master wake ni DAB ...
Clouds lazima wafuate miiko yao ya kazi... lazima
Humfatilii MILARD AYO wewe that y

And madeni/mishahara hebu sogea sogea vilinga by ofisini mwao ukawaulize hata walinzi wa zamu
 
nyie vipi mnang'ang'ania kituo cha watu kipige nyimbo zenu ..kwani lazima !?? ile ni biashara after all so hkuna kulazimishana katika ununuzi wa bidhaa ..
nadhni hilo wazo la nyinyi kuanzisha station yenu limekaa poa zaidi mjikite katika hilo kuliko kukaa nakulia lia "" huku " sis tuwasaidie nini "" ??

Tatizo sio kupiga nyimbo hilo waliacha tangu mwaka jana. Tatizo ni kuendelea kutumia nguvu nyingi kupandikiza chuki, kijana wa watu kawaachia bongo kaenda Nairobi kufanya uzinduzi bado wanamfuatilia. Angefanya hapa bongo siwangetumia kila mbinu hiyo event isifanikiwe?
 
WASAFI anzizesheni FIESTA YENU LIPENI WANAMUZIKI VIZURI, KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020 MTAPIGA HELA SANA,TANGAZENI BIASHARA ZOTE, MSIBAGUE WANAMUZIKI,SAIDIENI VIJANA NA MUZIKI WA DANSI.MILARD AYOO MCHUKUENI.HUYO RUGE MWISHO WAKE UMEFIKA NA HIZO FURSA ZAKE ZA KITAPELI
 
Namuonea huruma maromboso ameingia wcb muda mbaya mno
 
WASAFI anzizesheni FIESTA YENU LIPENI WANAMUZIKI VIZURI, KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020 MTAPIGA HELA SANA,TANGAZENI BIASHARA ZOTE, MSIBAGUE WANAMUZIKI,SAIDIENI VIJANA NA MUZIKI WA DANSI.MILARD AYOO MCHUKUENI.HUYO RUGE MWISHO WAKE UMEFIKA NA HIZO FURSA ZAKE ZA KITAPELI
WCB ni vijana wnajituma na haya ndiyo malengo yao
 
Naona mnajamba jamba wcb, nyie ni mnasema hamuwezwi kushushwaa?

Sasa naona matumbo ni moto, na bado mtaisoma namba kwa yule Mhaya.

Mtoto wa juzi analeta kiburi kwa wanaume wa Mjini??

Nyapamfu, poor diamond
WCB wala hawana stress...
Labda huyu aliyeleta Uzi ndio analialia..!
Ni juzi tu Diamond katoka kusema yeye ni maji,kama usipoyaoga utayanywa..!
Yeye Diamond anaamini hakuna binadamu ambaye anaweza kumshusha zaidi ya Mungu mwenyewe..!

Maoni yangu: Clouds hawajawahi kupambana na msanii mwenye nguvu kama Diamond,pia Diamond hajawahi kuingia kwenye vita na media yenye nguvu kama clouds. Hivyo basi wote wawe makini sana,coz hii vita itamgharimu mmoja kati yao..!
 
Niwe wazi kabisa kuwa clouds ni watu hatari sana ktk tasnia ya habari na ukandamizaji wa mafanikio ya watu mbalimbali pindi wanapokosa maslahi yao, ni watu wenye uchu wa unyonyaji haswaaa na kutumia vyombo vyao vya habari vibaya mno, nawasihi wizara wawaangalie sana hawa jamaa kwa unafiki wao na majungu wakiyatumia ktk vipindi vyao kuwakandamiza wengine.

Ikumbukwe kua mwishoni mwa mwaka jana hawa jamaa walianza kutokupiga nyimbo zinazowahusu WCB, kama ilivyo desturi yao pindi wanapohitaji kulambwa unyayo na binadamu wenzao, mlolongo wa matukio wa umungu mtu huu unaonekana umegonga mwamba ktk ulimwengu wa hawa WCB kwani mpaka watu wanakuja kugundua hili mwanzoni mwa mwaka huu kumbe nyimbo hazipigwi muda mrefu na jamaa bado walikua wanaendelea kutusua ktk anga la burudani.

Ujio wa station ya redio na TV ya WCB imeonekana ndo kuwachanganya zaidi mpaka sasa kuonyesha chuki za wazi wazi huku pasi na shaka wenzao wakiendelea kunyamaza na kukaa kimya kabisaa.

Sasa wamemzuia hata huyo Millard Ayo ambaye habari zake nyingi za WCB zilikua zinampa view nyingi na kumuongezea mapato yake binafsi na kuonekana sasa naye si mwana habari huru kama alivyokua akichukuliwa na jamii kubalance habari, ati hata Diamond kupokea nafasi ya kutumbuiza world cup hajawahi kuitangaza(maajabu ya ulimwengu wa sasa haya, atangaze ndondo cup waache world cup, nacheka sana)

Hapo clouds wamekua kama misukule ya bwana Ruge Mutahaba, kila anachotaka wao ni kufuata tu.

Walijaribu pia mwezi wa pili kumbeba na kumpromote sana Aslay kwenye show yake, lakini hasara waliyokula nafikiri imewazidishia machungu sanaaa, sasa hivi naona wamepunguza hiyo ujinga yao na maskini mtoto wa watu uwezo wake bado unakua ukambebeshe mzigo wa kumpiganisha na mtu ambaye amekomaaa barabara ktk muziki na very talented kama Diamond (naona wamemshindwa tena).

Wamejaribu kumuandika kwenye page zao za kike za kina Soudy brown, zaidi ya matusi hakuna walichofanikisha. Kimsingi wamegonga mwamba na sasa hili la kuletwa Zamaradi na kina mamaa wema WCB TV/redio limewazidishia donda ndugu kabisaaa.

Sasa juzijuzi wameona basata kujitokeza kufungia nyimbo za wasanii, wameona kama chance sasa na kinachowashangaza watu ni kushadadia watu kufungiwa wakimlenga Diamond kumbe kuna wengi zaidi wanaumia(unafiki wa clouds ni waajabu sana, ukianza kula nyama za watu always hutoacha).

Huku wasanii wenyewe wakihitaji kwenda kuonana na wahusika kujua hatima ya nyimbo zao walizozipambania, Clouds wakatarget ambayo Diamond anazindua album yake wakamualika naibu waziri huku wakimuuliza maswali ya kitoto/kinafiki kabisaaaaa.

Yaani mpaka inachekesha hawa clouds na ukubwa wao wanaojitapa wanahenyahenya. Hata mtoto mdogo angemuuliza naibu waziri, mna mchango gani kwao zaidi ya kufungia nyimbo zao tu, na mmetumia maudhui gani kuzifungia na si kurekebisha?.

Wamekaa wanajichekesha, ati waziri kasema nyimbo hairuhisiwi kupigwa hata nje ya nchi, wao wakijua msanii mpiga nje ya nchi zaidi ni Diamond, basi wamesambaza sanaaaaaa kwenye page zao za social media(njia ya mnafiki ni ndogo sana, kamwe haichukui muda kumgundua) tena wakaona hasimu wa Diamond kibiashara katajwa basi wamesambaza mnooo.

Wenye akili wanaelewa kinachoendelea, watu wanajiuliza huku kutapatapa kwa clouds nini maana yake, mbona wamewafanyia figisufigisu nyingi wasanii wengi huko nyuma lakini haikua namna hii, wana ajenda gani zaidi?

Huyo Mwarabu fighter (mlinzi wa Diamond ndo muda wake sasa wa kutoa ulinzi haswaaa)

Jamaa nasikia wana madeni lukuki wanadaiwa na Serikali, mishahara nayo imekua mtihani sasa kwa wafanya kazi wao, matangazo nayo yamekua mtihani sasa, hata zile tenda za dezo walizokua wanazipata toka Serikalini naona zimekata. Kila mtu akomae na hali yake.

Ushauri wangu kwao tu, kabla hawajaelekea shimoni zaidi panapoonekana wazi kwa sasa, basi wajitathmini sanaa katika kuact kama kituo cha habari na si genge la wanyonyaji na wanachuki, wana baadhi ya vipindi kama sport extra, ni kizuri japo shafii naye hulalamikiwa lakini bado ni kizuri sana

Huyo Millard Ayo anajitahidi kujitengenezea jina yake vizuri, basi wamuache awe huru kwa namna yake na si kuonekana ameshikiwa akili pia na Ruge.

Zaidi ya yote niwakumbushe hadithi ya mua uliozamisha meli kisa nahodha kanogewa, Ruge fanya tathmini usinogewe sana, jahazi linazama.
Maneno meeengi.. Kwani ni lazima nyimbo zao zipigwe na clouds? Redio ziko kibao acheni upuuzi, awamu ya tano tunasema tusipangiane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom