Jaribio lingine la Clouds kutaka kumshusha Diamond na WCB

Niwe wazi kabisa kuwa Clouds ni watu hatari sana katika tasnia ya habari na ukandamizaji wa mafanikio ya watu mbalimbali pindi wanapokosa maslahi yao, ni watu wenye uchu wa unyonyaji haswa na kutumia vyombo vyao vya habari vibaya mno, nawasihi wizara wawaangalie sana hawa jamaa kwa unafiki wao na majungu wakiyatumia katika vipindi vyao kuwakandamiza wengine.

Ikumbukwe kua mwishoni mwa mwaka jana hawa jamaa walianza kutokupiga nyimbo zinazowahusu WCB, kama ilivyo desturi yao pindi wanapohitaji kulambwa unyayo na binadamu wenzao, mlolongo wa matukio wa umungu mtu huu unaonekana umegonga mwamba katika ulimwengu wa hawa WCB kwani mpaka watu wanakuja kugundua hili mwanzoni mwa mwaka huu kumbe nyimbo hazipigwi muda mrefu na jamaa bado walikua wanaendelea kutusua katika anga la burudani.

Ujio wa station ya redio na TV ya WCB imeonekana ndo kuwachanganya zaidi mpaka sasa kuonyesha chuki za wazi wazi huku pasi na shaka wenzao wakiendelea kunyamaza na kukaa kimya kabisaa.

Sasa wamemzuia hata huyo Millard Ayo ambaye habari zake nyingi za WCB zilikua zinampa view nyingi na kumuongezea mapato yake binafsi na kuonekana sasa naye si mwana habari huru kama alivyokua akichukuliwa na jamii kubalance habari, ati hata Diamond kupokea nafasi ya kutumbuiza world cup hajawahi kuitangaza(maajabu ya ulimwengu wa sasa haya, atangaze ndondo cup waache world cup, nacheka sana)

Hapo Clouds wamekua kama misukule ya bwana Ruge Mutahaba, kila anachotaka wao ni kufuata tu.

Walijaribu pia mwezi wa pili kumbeba na kumpromote sana Aslay kwenye show yake, lakini hasara waliyokula nafikiri imewazidishia machungu sanaaa, sasa hivi naona wamepunguza hiyo ujinga yao na maskini mtoto wa watu uwezo wake bado unakua ukambebeshe mzigo wa kumpiganisha na mtu ambaye amekomaaa barabara katika muziki na very talented kama Diamond (naona wamemshindwa tena).

Wamejaribu kumuandika kwenye page zao za kike za kina Soudy brown, zaidi ya matusi hakuna walichofanikisha. Kimsingi wamegonga mwamba na sasa hili la kuletwa Zamaradi na kina mama Wema WCB TV/redio limewazidishia donda ndugu kabisa.

Sasa juzijuzi wameona BASATA kujitokeza kufungia nyimbo za wasanii, wameona kama chance sasa na kinachowashangaza watu ni kushadadia watu kufungiwa wakimlenga Diamond kumbe kuna wengi zaidi wanaumia(unafiki wa Clouds ni waajabu sana, ukianza kula nyama za watu always hutoacha).

Huku wasanii wenyewe wakihitaji kwenda kuonana na wahusika kujua hatima ya nyimbo zao walizozipambania, Clouds wakatarget ambayo Diamond anazindua album yake wakamualika naibu waziri huku wakimuuliza maswali ya kitoto/kinafiki kabisa.

Yaani mpaka inachekesha hawa Clouds na ukubwa wao wanaojitapa wanahenyahenya. Hata mtoto mdogo angemuuliza naibu waziri, mna mchango gani kwao zaidi ya kufungia nyimbo zao tu, na mmetumia maudhui gani kuzifungia na si kurekebisha?.

Wamekaa wanajichekesha, ati waziri kasema nyimbo hairuhisiwi kupigwa hata nje ya nchi, wao wakijua msanii mpiga nje ya nchi zaidi ni Diamond, basi wamesambaza sana kwenye page zao za social media(njia ya mnafiki ni ndogo sana, kamwe haichukui muda kumgundua) tena wakaona hasimu wa Diamond kibiashara katajwa basi wamesambaza mno.

Wenye akili wanaelewa kinachoendelea, watu wanajiuliza huku kutapatapa kwa Clouds nini maana yake, mbona wamewafanyia figisufigisu nyingi wasanii wengi huko nyuma lakini haikua namna hii, wana ajenda gani zaidi?

Huyo Mwarabu fighter (mlinzi wa Diamond ndo muda wake sasa wa kutoa ulinzi haswa)

Jamaa nasikia wana madeni lukuki wanadaiwa na Serikali, mishahara nayo imekua mtihani sasa kwa wafanya kazi wao, matangazo nayo yamekua mtihani sasa, hata zile tenda za dezo walizokua wanazipata toka Serikalini naona zimekata. Kila mtu akomae na hali yake.

Ushauri wangu kwao tu, kabla hawajaelekea shimoni zaidi panapoonekana wazi kwa sasa, basi wajitathmini sana katika kuact kama kituo cha habari na si genge la wanyonyaji na wanachuki, wana baadhi ya vipindi kama sport extra, ni kizuri japo shafii naye hulalamikiwa lakini bado ni kizuri sana

Huyo Millard Ayo anajitahidi kujitengenezea jina yake vizuri, basi wamuache awe huru kwa namna yake na si kuonekana ameshikiwa akili pia na Ruge.

Zaidi ya yote niwakumbushe hadithi ya mua uliozamisha meli kisa nahodha kanogewa, Ruge fanya tathmini usinogewe sana, jahazi linazama.

Sikiliza binti

Nenda kafungue radio station yako ufanye unachotaka , usipangie watu cha kufanya punguwan wahed
 
Kama unadhani Clouds washaanza kuwabania WCB basi unachanganyikiwa, ndio kwanza hawajaanza, muulizeni KOMANDO dada... But ukweli Mendez ndio ana tengeneza bifu kwa maslah yake, Diamond anaweza akawepo ila hao akina Rayvan Mboso na wengineo kaburi lao liko tayari, busara ilikuwa Diamond ayamalize na Clouds kama kweli kuna hicho kitu mnachosema, utake usitake Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine, ni sawa tu na kusema umpende usimpende uncle Magu, ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa utafuata tu maagizo yake
Chalii unaongea nini wewe unajua maana ya mastamind? Yuko wapi Aslay na Subarahel yake?
 
Niwe wazi kabisa kuwa Clouds ni watu hatari sana katika tasnia ya habari na ukandamizaji wa mafanikio ya watu mbalimbali pindi wanapokosa maslahi yao, ni watu wenye uchu wa unyonyaji haswa na kutumia vyombo vyao vya habari vibaya mno, nawasihi wizara wawaangalie sana hawa jamaa kwa unafiki wao na majungu wakiyatumia katika vipindi vyao kuwakandamiza wengine.

Ikumbukwe kua mwishoni mwa mwaka jana hawa jamaa walianza kutokupiga nyimbo zinazowahusu WCB, kama ilivyo desturi yao pindi wanapohitaji kulambwa unyayo na binadamu wenzao, mlolongo wa matukio wa umungu mtu huu unaonekana umegonga mwamba katika ulimwengu wa hawa WCB kwani mpaka watu wanakuja kugundua hili mwanzoni mwa mwaka huu kumbe nyimbo hazipigwi muda mrefu na jamaa bado walikua wanaendelea kutusua katika anga la burudani.

Ujio wa station ya redio na TV ya WCB imeonekana ndo kuwachanganya zaidi mpaka sasa kuonyesha chuki za wazi wazi huku pasi na shaka wenzao wakiendelea kunyamaza na kukaa kimya kabisaa.

Sasa wamemzuia hata huyo Millard Ayo ambaye habari zake nyingi za WCB zilikua zinampa view nyingi na kumuongezea mapato yake binafsi na kuonekana sasa naye si mwana habari huru kama alivyokua akichukuliwa na jamii kubalance habari, ati hata Diamond kupokea nafasi ya kutumbuiza world cup hajawahi kuitangaza(maajabu ya ulimwengu wa sasa haya, atangaze ndondo cup waache world cup, nacheka sana)

Hapo Clouds wamekua kama misukule ya bwana Ruge Mutahaba, kila anachotaka wao ni kufuata tu.

Walijaribu pia mwezi wa pili kumbeba na kumpromote sana Aslay kwenye show yake, lakini hasara waliyokula nafikiri imewazidishia machungu sanaaa, sasa hivi naona wamepunguza hiyo ujinga yao na maskini mtoto wa watu uwezo wake bado unakua ukambebeshe mzigo wa kumpiganisha na mtu ambaye amekomaaa barabara katika muziki na very talented kama Diamond (naona wamemshindwa tena).

Wamejaribu kumuandika kwenye page zao za kike za kina Soudy brown, zaidi ya matusi hakuna walichofanikisha. Kimsingi wamegonga mwamba na sasa hili la kuletwa Zamaradi na kina mama Wema WCB TV/redio limewazidishia donda ndugu kabisa.

Sasa juzijuzi wameona BASATA kujitokeza kufungia nyimbo za wasanii, wameona kama chance sasa na kinachowashangaza watu ni kushadadia watu kufungiwa wakimlenga Diamond kumbe kuna wengi zaidi wanaumia(unafiki wa Clouds ni waajabu sana, ukianza kula nyama za watu always hutoacha).

Huku wasanii wenyewe wakihitaji kwenda kuonana na wahusika kujua hatima ya nyimbo zao walizozipambania, Clouds wakatarget ambayo Diamond anazindua album yake wakamualika naibu waziri huku wakimuuliza maswali ya kitoto/kinafiki kabisa.

Yaani mpaka inachekesha hawa Clouds na ukubwa wao wanaojitapa wanahenyahenya. Hata mtoto mdogo angemuuliza naibu waziri, mna mchango gani kwao zaidi ya kufungia nyimbo zao tu, na mmetumia maudhui gani kuzifungia na si kurekebisha?.

Wamekaa wanajichekesha, ati waziri kasema nyimbo hairuhisiwi kupigwa hata nje ya nchi, wao wakijua msanii mpiga nje ya nchi zaidi ni Diamond, basi wamesambaza sana kwenye page zao za social media(njia ya mnafiki ni ndogo sana, kamwe haichukui muda kumgundua) tena wakaona hasimu wa Diamond kibiashara katajwa basi wamesambaza mno.

Wenye akili wanaelewa kinachoendelea, watu wanajiuliza huku kutapatapa kwa Clouds nini maana yake, mbona wamewafanyia figisufigisu nyingi wasanii wengi huko nyuma lakini haikua namna hii, wana ajenda gani zaidi?

Huyo Mwarabu fighter (mlinzi wa Diamond ndo muda wake sasa wa kutoa ulinzi haswa)

Jamaa nasikia wana madeni lukuki wanadaiwa na Serikali, mishahara nayo imekua mtihani sasa kwa wafanya kazi wao, matangazo nayo yamekua mtihani sasa, hata zile tenda za dezo walizokua wanazipata toka Serikalini naona zimekata. Kila mtu akomae na hali yake.

Ushauri wangu kwao tu, kabla hawajaelekea shimoni zaidi panapoonekana wazi kwa sasa, basi wajitathmini sana katika kuact kama kituo cha habari na si genge la wanyonyaji na wanachuki, wana baadhi ya vipindi kama sport extra, ni kizuri japo shafii naye hulalamikiwa lakini bado ni kizuri sana

Huyo Millard Ayo anajitahidi kujitengenezea jina yake vizuri, basi wamuache awe huru kwa namna yake na si kuonekana ameshikiwa akili pia na Ruge.

Zaidi ya yote niwakumbushe hadithi ya mua uliozamisha meli kisa nahodha kanogewa, Ruge fanya tathmini usinogewe sana, jahazi linazama.
 
Yaan clouds apo ndo wanapofeli maana huwezi kufanya kituo chako cha habari kama kigezo cha kuwapelekesha wengine pindi wanapogundua wamenyanyaswa,,
Ona jinsi Ruby alivyozalilishwa kwa kutakiwa kuomba radhi kwa ruge hadharani mbele ya umati na kuiomba msamaha colouds na mtangazaji mmoja moja,,,
Yaan hawa jamaa tuwapinge kuanzia saiv tuwasusie kuwasikiliza,,,tusi view youtube channel yao ili tuwakomeshe kuku hao.
 
Kuna watu waliponda Rick Ross alivyofuta zile picha,sasa Rick Ross kazindua bidhaa yake juzi na moja ya mastaa aliowatag yupo Diamond platnumz.
Capture2.PNG
 
Niwe wazi kabisa kuwa Clouds ni watu hatari sana katika tasnia ya habari na ukandamizaji wa mafanikio ya watu mbalimbali pindi wanapokosa maslahi yao, ni watu wenye uchu wa unyonyaji haswa na kutumia vyombo vyao vya habari vibaya mno, nawasihi wizara wawaangalie sana hawa jamaa kwa unafiki wao na majungu wakiyatumia katika vipindi vyao kuwakandamiza wengine.

Ikumbukwe kua mwishoni mwa mwaka jana hawa jamaa walianza kutokupiga nyimbo zinazowahusu WCB, kama ilivyo desturi yao pindi wanapohitaji kulambwa unyayo na binadamu wenzao, mlolongo wa matukio wa umungu mtu huu unaonekana umegonga mwamba katika ulimwengu wa hawa WCB kwani mpaka watu wanakuja kugundua hili mwanzoni mwa mwaka huu kumbe nyimbo hazipigwi muda mrefu na jamaa bado walikua wanaendelea kutusua katika anga la burudani.

Ujio wa station ya redio na TV ya WCB imeonekana ndo kuwachanganya zaidi mpaka sasa kuonyesha chuki za wazi wazi huku pasi na shaka wenzao wakiendelea kunyamaza na kukaa kimya kabisaa.

Sasa wamemzuia hata huyo Millard Ayo ambaye habari zake nyingi za WCB zilikua zinampa view nyingi na kumuongezea mapato yake binafsi na kuonekana sasa naye si mwana habari huru kama alivyokua akichukuliwa na jamii kubalance habari, ati hata Diamond kupokea nafasi ya kutumbuiza world cup hajawahi kuitangaza(maajabu ya ulimwengu wa sasa haya, atangaze ndondo cup waache world cup, nacheka sana)

Hapo Clouds wamekua kama misukule ya bwana Ruge Mutahaba, kila anachotaka wao ni kufuata tu.

Walijaribu pia mwezi wa pili kumbeba na kumpromote sana Aslay kwenye show yake, lakini hasara waliyokula nafikiri imewazidishia machungu sanaaa, sasa hivi naona wamepunguza hiyo ujinga yao na maskini mtoto wa watu uwezo wake bado unakua ukambebeshe mzigo wa kumpiganisha na mtu ambaye amekomaaa barabara katika muziki na very talented kama Diamond (naona wamemshindwa tena).

Wamejaribu kumuandika kwenye page zao za kike za kina Soudy brown, zaidi ya matusi hakuna walichofanikisha. Kimsingi wamegonga mwamba na sasa hili la kuletwa Zamaradi na kina mama Wema WCB TV/redio limewazidishia donda ndugu kabisa.

Sasa juzijuzi wameona BASATA kujitokeza kufungia nyimbo za wasanii, wameona kama chance sasa na kinachowashangaza watu ni kushadadia watu kufungiwa wakimlenga Diamond kumbe kuna wengi zaidi wanaumia(unafiki wa Clouds ni waajabu sana, ukianza kula nyama za watu always hutoacha).

Huku wasanii wenyewe wakihitaji kwenda kuonana na wahusika kujua hatima ya nyimbo zao walizozipambania, Clouds wakatarget ambayo Diamond anazindua album yake wakamualika naibu waziri huku wakimuuliza maswali ya kitoto/kinafiki kabisa.

Yaani mpaka inachekesha hawa Clouds na ukubwa wao wanaojitapa wanahenyahenya. Hata mtoto mdogo angemuuliza naibu waziri, mna mchango gani kwao zaidi ya kufungia nyimbo zao tu, na mmetumia maudhui gani kuzifungia na si kurekebisha?.

Wamekaa wanajichekesha, ati waziri kasema nyimbo hairuhisiwi kupigwa hata nje ya nchi, wao wakijua msanii mpiga nje ya nchi zaidi ni Diamond, basi wamesambaza sana kwenye page zao za social media(njia ya mnafiki ni ndogo sana, kamwe haichukui muda kumgundua) tena wakaona hasimu wa Diamond kibiashara katajwa basi wamesambaza mno.

Wenye akili wanaelewa kinachoendelea, watu wanajiuliza huku kutapatapa kwa Clouds nini maana yake, mbona wamewafanyia figisufigisu nyingi wasanii wengi huko nyuma lakini haikua namna hii, wana ajenda gani zaidi?

Huyo Mwarabu fighter (mlinzi wa Diamond ndo muda wake sasa wa kutoa ulinzi haswa)

Jamaa nasikia wana madeni lukuki wanadaiwa na Serikali, mishahara nayo imekua mtihani sasa kwa wafanya kazi wao, matangazo nayo yamekua mtihani sasa, hata zile tenda za dezo walizokua wanazipata toka Serikalini naona zimekata. Kila mtu akomae na hali yake.

Ushauri wangu kwao tu, kabla hawajaelekea shimoni zaidi panapoonekana wazi kwa sasa, basi wajitathmini sana katika kuact kama kituo cha habari na si genge la wanyonyaji na wanachuki, wana baadhi ya vipindi kama sport extra, ni kizuri japo shafii naye hulalamikiwa lakini bado ni kizuri sana

Huyo Millard Ayo anajitahidi kujitengenezea jina yake vizuri, basi wamuache awe huru kwa namna yake na si kuonekana ameshikiwa akili pia na Ruge.

Zaidi ya yote niwakumbushe hadithi ya mua uliozamisha meli kisa nahodha kanogewa, Ruge fanya tathmini usinogewe sana, jahazi linazama.
Ukiona mtoto wa kiume anaongelea sana mambo ya wengine ujuwe huyo anatabia za ki......
 
Acha wivu
Hayo umeonea wapi.. yaandike hata proof weka sio kuota na kumwagika kutaka kuiponda Clouds kwa sababu zako binafsi..

Huyo Dee mabosi wake haswa unawajua?
Akili za mange hizi,boss wa DIAMOND NI naseebu Abdul,nafikir huna swali lingine
 
Chalii unaongea nini wewe unajua maana ya mastamind? Yuko wapi Aslay na Subarahel yake?
Hahhahaa DAAHA WAMETUSUMBUA HAWA KABLA YA VALENTINE,MUULIZE MTU KAMA ANAKUMBUKA HATA HAYA MATUKIP,WAO CLOUDS YENYEWE PROMO LOTE LILE WAMEAMBULIA HASARA
 
Duh!!!!!!!!!!!!
Mange ana haribu hiki kizazi sana

This time bwana RUGE kachokoza nyuki,wote watoto wa mjini na mchezo yake yote inagundulika dakika.AENDE KUA BOSS WA KINA NANDY NA RUBY HUKOOOI,WCB NI WATU NA AKILI ZAO.wamekataa kua kaa
 
Kuna watu bado wanangojea anguko la Clouds? Hili ni chama kubwa, lilikimbiza na bado linaendelea kukimbiza.
Nakumbuka Mondi alisema kwa alipofika anaweza bila hata ya kutegemea media yoyote, vipi sasa hivi vilio?
 
Hahhahaa DAAHA WAMETUSUMBUA HAWA KABLA YA VALENTINE,MUULIZE MTU KAMA ANAKUMBUKA HATA HAYA MATUKIP,WAO CLOUDS YENYEWE PROMO LOTE LILE WAMEAMBULIA HASARA
Wameangukia pua tu....hata hawataki kuiskia hizo habar tena
 
Back
Top Bottom