kwa hapa Tanzania ni msanii gani sasa hivi yuko juu zaidi ya Diamond?....naomba jibu mkuu sisi wengine sio washabiki wa mziki tumejikita kwenye siasaHakuna mtu wa kumshusha huyo mpenda ngono ila tu muda wake ushakwisha na iko hivyo duniani kote. Nyimbo zenyewe anatajataja tuu mademu zake, ujinga mtupu
- Hata yeye ashajua ndio maana kaanza kukimbilia Kenya ( ukiona msanii anakimbilia sana Kenya ujue Tanzania ndo basi tena maana Kenya hata MR. Nice bado anawika )
Akikujibu naomba uni tag Mkuukwa hapa Tanzania ni msanii gani sasa hivi yuko juu zaidi ya Diamond?....naomba jibu mkuu sisi wengine sio washabiki wa mziki tumejikita kwenye siasa