Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,350
- 11,152
Endelea kuota..!Diamond si kitu bila mbeleko ya ruge
Endelea kuota..!Diamond si kitu bila mbeleko ya ruge
Ahahaaaah...Kama unadhani Clouds washaanza kuwabania WCB basi unachanganyikiwa, ndio kwanza hawajaanza, muulizeni KOMANDO dada... But ukweli Mendez ndio ana tengeneza bifu kwa maslah yake, Diamond anaweza akawepo ila hao akina Rayvan Mboso na wengineo kaburi lao liko tayari, busara ilikuwa Diamond ayamalize na Clouds kama kweli kuna hicho kitu mnachosema, utake usitake Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine, ni sawa tu na kusema umpende usimpende uncle Magu, ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa utafuata tu maagizo yake
Tatizo huyu Diamond si msanii wa Tanzania tu...Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine
Hakuna mtu wa kumshusha huyo mpenda ngono ila tu muda wake ushakwisha na iko hivyo duniani kote. Nyimbo zenyewe anatajataja tuu mademu zake, ujinga mtupuAhahaaaah...
Yaani kuna watu mnaamini kabisa Ruge anaweza kumshusha Diamond Platnumz..!?
Diamond Platnumz..!?
Endeleeni kusubiri..!!!
Mwisho wake umefika mtu aliyeshindwa anajiona Anajua sana.Kama unadhani Clouds washaanza kuwabania WCB basi unachanganyikiwa, ndio kwanza hawajaanza, muulizeni KOMANDO dada... But ukweli Mendez ndio ana tengeneza bifu kwa maslah yake, Diamond anaweza akawepo ila hao akina Rayvan Mboso na wengineo kaburi lao liko tayari, busara ilikuwa Diamond ayamalize na Clouds kama kweli kuna hicho kitu mnachosema, utake usitake Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine, ni sawa tu na kusema umpende usimpende uncle Magu, ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa utafuata tu maagizo yake
Duuuu🙁🙁🙁🙁🙁Diamond tembea na zamaradi [emoji23] [emoji2] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
Nini..... ?? [emoji85]Duuuu🙁🙁🙁🙁🙁
Wacha weeeeh..!Hakuna mtu wa kumshusha huyo mpenda ngono ila tu muda wake ushakwisha na iko hivyo duniani kote. Nyimbo zenyewe anatajataja tuu mademu zake, ujinga mtupu
- Hata yeye ashajua ndio maana kaanza kukimbilia Kenya ( ukiona msanii anakimbilia sana Kenya ujue Tanzania ndo basi tena maana Kenya hata MR. Nice bado anawika )
Master mind embu nitajie mafanikio ya wasanii anaowasimamia walio vuka boda na kufikia levo za MondKama unadhani Clouds washaanza kuwabania WCB basi unachanganyikiwa, ndio kwanza hawajaanza, muulizeni KOMANDO dada... But ukweli Mendez ndio ana tengeneza bifu kwa maslah yake, Diamond anaweza akawepo ila hao akina Rayvan Mboso na wengineo kaburi lao liko tayari, busara ilikuwa Diamond ayamalize na Clouds kama kweli kuna hicho kitu mnachosema, utake usitake Ruge ndio master mind wa music hapa Tanzania kwa sasa mpaka hapo atakapotokea mwingine, ni sawa tu na kusema umpende usimpende uncle Magu, ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa utafuata tu maagizo yake
Back wasafi fm au E. Fmfetty is baaaaaaaaaack
hajasema issa surprise....Back wasafi fm au E. Fm
Biashara ime mshinda huyo sijui nani alim shauri aache kazi na kujikita kwny biashara wakati ange weza fanya yote mawili kwa wakati mmojahajasema issa surprise....