Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,918
- 33,496
Wewe ndio taahira kabisa!makamba yupo sahihi
ili ufanye PM ni lazima ukate umeme kwanza
Sasa kipindi cha yule taahira,kufanya PM haiwezekani maana kila mtu anaogopa kufukuzwa
Hivyo sasa hivi lazima wafanye PM
Na kata za umeme nyingi sasa hivi ni Preventive Maintenance works
Acheni umang'aa
Hizo repair nchi nyingine hazifanyiki? Nako unakatika umeme kama huku kwetu kisa repair?
Hizi chuki zenu kwa Magufuli zemefanya muwe matahira na wapumabvu kabisa!
Kipindi kile cha JK tulikuwa tunakaa hadi wiki hatupati umeme repair zilikuwa hazifanyiki??