Pongezi Kwa waziri wa nishati January Makamba

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,182
Ndugu zanguni hamjamboni.

Mnyonge mnyongenilakini haki yake mpeni. Naomba Leo nitoe pongezi Kwa waziri wa nishati mheshimiwa January Makamba.

Natoa pongezi hizi huku nikiamini kuwa anastahili, hii ni baada ya kukaa wiki tatu bila kukatika Kwa umeme. Mfumo umetulia ukilipa now unapata unit on time, ukipiga sim tanesco wapo active Mpaka Raha.

Hili la kutokukatika umeme limefanya nikumbuke enzi za Magufuli na kusema kumbe Sasa Mambo yametulia. Nyie hangaikeni na DP World Kwangu umeme usipokata tu maisha poa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umetumwa
 
Ukisikia uchafu wacombination ya mtoto wa samia, rostam na uyo jamaa ako hutageuka nyuma
 
Back
Top Bottom