January Makamba must go

January Makamba must go

TANESCO haijawahi kuendeshwa kwa weledi tangu ianze. Mainjinia wa TANESCO, sio mainjinia wa umeme bali ni wasaini makaratasi tu. Hawawezi kujenga hata njia ya 50km ya umeme.

Kwa hiyo mtu akisema kuwa eti kuiendesha TANESCO unahitaji kupata technical know how toka ndani ya TANESCO, ni upuuzi. TANESCO haijawahi kupata faida hata mwaka mmoja. Ni shirika linalohitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa.

Huyu anayelalamika, hajitambui. Kuna wakati hapa, watu wamekaa kwa karibia wiki zima bila umeme kwa sababu mfumo wa ununuzi uligoma, waziri alikuwa January?
Acha uongo tanesco kuna mainjinia umeme wengi tena wa kiwango. Pia kuna weledi kila fani. Kilichokua kinatakiwa ni uongozi wa nchi kama wa magufuli. Hadi january anawaleta hao wapigaji tanesco shirika tayari lishakua na uwezo wa kujiendesha bila ruzuku na taarifa ya mwisho wamepata faida. Huo ujuzi wa tehama wa january ndio unafikiri kitu muhimu tu kuendesha tanesco? Huo ujuzi pengine unafaa kuibia kura tu.
 
Nashauri
Teuzi za Uwazili lazima ziendane na Fani ya Waziri.
Haiwezekani mtu kasomea Uandishi wa habari unamteua kuwa Waziri wa Afya.
Mtu kasomea Kilimo unamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.
Hivyo ndivyo nchi zikizoendelea zinafanya.

Mtu kasomea Sanaa na Utamaduni unampa Uwaziri Wizara ya Fedha au Mawasiliano na Uchukuzi wapi na wapi

Ni dhahiri watendaji wake wakitaka kumwongopea atakubali tu kwakuwa haifahamu fani husika.
Waziri atashauri nini kwenye fani asiyoifahamu
Mpelekeni kwenye fani yake aliyoisomea kama lazima awe Waziri.

Kuna waziri alitetewa sana wakati fulani kwamba.
"Nimemteua kuwa Waziri uwaziri hawasomei"
Mambo ya kula kula.

Akapelekwa wizara ya fedha punde si punde mzigo wa Escrow ukamshukia, wanagawana pesa na yeye anasaini bila kutambua.

Mwisho wa siku alikiri
"watendaji wangu waliniongopea"
Nadhani mnamfahamu huyo waziri.

Nina uhakika kabisa jamaa kapelekwa pale ili afanikishe mipango ya kuchota chota kwenye chungu.

(Ni kadhia kubwa kuwa na madaraka kwa ajiri ya watu wachache tena wenye uwezo,
Asili haita kuacha salama hata uwe na uwezo kiasi gani, mifano tumeiona hivi karibuni)
Ziko wapi zile tambo za ving'ora na matarumbeta ?
 
Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Aiseee umeme imekuwa kero acha watu tuongee tu sio chuki kwa dar sasa hivi mgao imekuwa kawaida juzi,jana siku nzima no umeme unarud usiku unategemea watu waseme nin
 
Huu ukabila mnaohubiri unawasaidia mini tulifanya kosa kuwapa nchi mtuongoze au??
Ukabila gani umeelezewa jhapo mbona unajishuku kidhaifu?

Nchi inakabidhiwa kuongoza na wananchi sio watu

Kwa hiyo msoga mnajihesabu kwamba mnaumiliki wa nchi na kwamba mnagawa uongozi kwa yule mnaomtaka sio?
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea.

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Kalemani alikuwa anafanya vizur haya mambo ya kuwabeba wakina January kwa sababu baba alikuw kiongz hayawez kuleta ufanis ktk nchi yetu tunahitaji katiba mpya
 
Yaani huyu Samia ,Jakaya ,na genge lao walichomfanyia Magufuli,wajue malipo ni hapahapa
 
Mimi si mwanasiasa ni mtanzania tu Makamba hata akiwa Rais ni kwa faida yake siwezi kuwa na chembe ya chuki kuhusu hilo
Kwa sasa haipiti siku umeme haujakatika na ikibidi zaidi ya mara moja kama leo umeme umekatika saa tano na umerudi saa tisa jana vilevile na nikila siku tulisha sahau haya mambo wewe tuambie ni nini hiki siyo kukosa hoja na kutuambia tuna chuki kivipi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Halafu Rais anajifanya hasikii haya malalamiko,rejea bodi ya wakurugenzi,ni kinyaa tupu,ila huko mbeleni wazitapika tu,si wametengeneza vijana mitandaoni kuwasifia ,ngoja tu
 
Kalemani alikuwa anafanya vizur haya mambo ya kuwabeba wakina January kwa sababu baba alikuw kiongz hayawez kuleta ufanis ktk nchi yetu tunahitaji katiba mpya
Mkuu hivi Dr Medard Kalemani alifanya nini chenye kuhatarisha maslahi ya taifa hadi aondolewe kwenye uwaziri kama sio fitina iza majizi yaliyokuwa yamebanwa kabla?
 
Makamba amekuja kwa kazi maalumu
Dowans inakuja upya!
Wamarekani wanakuja kivingine ktk miradi ya umeme na gas
Kikwete+rostam+ makamba+ wamarekani = umeme wa gali kuliko maelezo😡
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea.

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Mtapiga Sana filimbi ila Kazi ya kusafisha inaendelea 👇

Screenshot_20211017-110107.png

Screenshot_20211017-110123.png
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea.

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Yaani mazafanta nnaofisi yangu makumbusho sina hamu mimi yaani kwa wiki siku za kufanya kazi ni nusu na siku za kutofanya kazi ni nusu sababu ya umeme. Nchi hii soon ntahama
 
Kwangu mimi January ni kiongozi mzuri na akwenda shule kuuza sura!!

Lakini inaoneka wamefanikiwa ku fix asubuhi na mapema!!

Ange copy kwa JK alivyoingia ikulu 2005. Alianza taratibu na kuwavuta karibu wale ambao wangemsumbua kama wakina Mramba. Baada ya ku master kila kitu ndio hao walioishia jela.

Angeaza kimya kimya kwa kuisoma wizara na viongozi wenzake!!

Wewe umeanza kazi umeshaanza kukuta na mabalozi. Hii itakuwa ni tishio kwa wengi hasa wale ambao macho yanaangalia 2030!

Hayo mambo ya makelele kwenye media angewaachia kina Jumaa Aweso ambao wanaoneka sio tishio 2030!!
 
Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Angekuwa nchi yenye watu wenye akili nzuri February hawezi kuwa kiongozi ..jizi la NECTA
 
Back
Top Bottom