January Makamba must go

Hiyo ridiculous argument kwamba Waziri hawajibiki kwa masuala ya umeme aliisema January Makamba siku ya kwanza alipoenda TANESCO, eti yeye hataki kuitwa kwenye kero za umeme, wamalize shida za wananchi wenyewe.

Vice President Mpango kakataa huo upuuzi. Juzi kamtumia ujumbe mkali, kaagiza Waziri aende Kigoma immediately kushughulikia matatizo ya umeme.

Makamba anamdharau sana Samia Suluhu, anajiona so high and mighty kushuka kushughulikia matatizo ya wananchi. Waziri wa NIshati unataka kujitoa kwenye majukumu na lawama za umeme, una wazimu ?

January Makamba is not up to the job. Amerudishwa kwenye cabinet kwa sababu ni mjumbe wa duara la ndani la Jakaya KIkwete.
Nilijua tu kuwa mada haiwezi kuisha bila kumshobokea kikwete. Hivi kina majaliwa hawakuwepo katika serikali ya kikwete? Mbona mnakuwa mamburura namna hiyo nyie?!!
 
Mkuu kunywa Maji kwanza alafu uje tujadili, Makamba amepokea Kijiti kwa Medard Kalemani Matogolo Juzi Juzi tu naamini bado Ana familiarise Na Ofisi lakini Katika kipindi kifupi kabisa alichoshika nafasi Hali ya Umeme Nchi ni stable sana kwa zaidi ya asilimia 80% izo chache zilizobaki zina endelea kuwa rectified Na ndani ya mwaka tu akihudumu kama Waziri wa Nishati tutashuhudia transformation kubwa sana ya Nishati katika hili Taifa, Makamba Yupo sehemu sahihi Na atatuvusha
Report za outages Nationwide Kwa sasa nyingi ni Planned Na Published tofauti Na Utawala uliopita mambo yalikuwa Siri
 
Team mwenda chattle mnateseka na kuweweseka sana maana mliaminishwa kwamba nchi ni yenu na siyo ya Watanzania.

Biblia inasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, na kumfanya kinga yake, na moyoni mwake amemuacha Bwana"
 
Chuki zako tuu zinakusumbua hakuna utakachobadilisha..

Kwa akili zako za matakoni ulete generator kwa ajili ya nini sasa wakati mwakani umeme utaanza kupatikana?

Unajua kwamba miaka 6 hakuna chanzo kipya cha umeme wewe na Mwendazake mumekiweka ? Hadi sasa mikoa ya Kigoma,Katavi,Rukwa na baadhi ya Wilaya zinatumia generator za mafuta kufua umeme?

Inashangaza Sana mtu kakaa madarakani miaka 6 anashika huku anashika kule kama mwanamke hakuna alichokamilisha.Umeme wa Gas wa JK ndio hadi leo unatumika afu unakuja kubwabwaja matapishi hapa pumbavu.
Mkuu kuna kazi sana nchi hii si mchezo.....ahsante kwa kusema ukweli ambao kamwe wenye chuki hawawezi kukubali lakini ndiyo hivyo. Jpm (r.i.p) ana mazuri mengi tu lkn lazima niseme ukweli kuwa kasi yake ya kuwabrainwash watu ilikuwa ya ajabu sana na hatari mno
 
Mtahangaika sana...ameshateuliwa.....yaani watu wa VETTING wamjue vyema halafu wampendekeze vizuri tu?!!!

Mwamba yuko ofisini anamsaidia mh.Rais kututimizia mahitaji wetu watanzania 💪
Ushbiki mandazi kama huu ipo siku mtarudi na vilio humu
 
Acha kumshukia Makamba, tatizo la kukatika umeme ni la kiufundi na miundo mbinu yake, uongozi kubadili hamuwezi imarisha upatikanaji wa umeme, tuwaombe waongeze juhudi kutatua matatizo ya kukatika umeme!
Tuwaombe ili iweje na mtu analipwa kwa mwezi about 20M ofisini! Tumuombe tena kuwa serious we fala!!!
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Mkuu, Sasa MENGINE tunakera Sana jamani Makamba kaingia juzi tu mnataka aondoke,hii Sio fair ,binafsi japo CCM si ipendi ila napenda Sana simamia ukweli na HAKI, ebu tuache chuki binafsi
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Hata akiondoka Kalemani hawezi kurudishwa
 
Hayo ni mawazo mfilisi Kama sio wivu wako, pia muache raise afanye teuzi zake, subiri utakapo kuwa raise umrudishe huyo unaye mtaka kwa maslahi yako na Wala so ya taifa
 
Tumeshazoea haya mambo ya kukatika umeme tangu kitambo otherwise Kama umekuja nchini Jana Huyo makamba Hana hatia hii hali IPO kabla hata ya uhuru
 
Acha kumshukia Makamba, tatizo la kukatika umeme ni la kiufundi na miundo mbinu yake, uongozi kubadili hamuwezi imarisha upatikanaji wa umeme, tuwaombe waongeze juhudi kutatua matatizo ya kukatika umeme!
Kwa hiyo haya matatizo hayakuwepo wakati wa hayati JPM?
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Mkuu unapiga ngumi ukuta utaumia na kuingia gharama za matibabu.
 
Hapa naona inatafutwa gia tu.
Ili AGRECO, IPTL, DOWANS, SAODOO NK
Warudi HAZINA wachote pesa.

Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Raisi Hayati Magufuli.
Kuna maeneo mengi alikuwa sahihi.
Mwanasiasa hana huruma hata kidogo kwa wananchi wakawaida wanaompigia kura.
Zaidi ya njaa ya Kula.
 
Mimi huku nilipo kiukweli sikutani na hiyo changamoto...sasa sijui ni bahati tu au vipi.

Hivyo sijui nipinge au niunge mkono hiyo kampeni yako.
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Maujanja ya Kalemani
IMG_20211011_154000.jpg
 
Makamba kaingia juzi tu, kipondi Cha Kalemani umeme ulikatika mkawa mnalalamika, saivi hapo hata hueleweki una chuki gani dhidi ya Makamba. Mwache Makamba afanye kazi

Kassim Majaliwa is a powerless, clueless figurehead, Humprey Polepole’s mwanasesere. Jakaya Kikwete runs the show.

Jakaya Kikwete ndie atakaepeleka jina la mgombea Urais wa CCM kwenye Mkutano Mkuu wa 2025 kwa sababu Mwinyi kasema hajiwezi keshazeeka, Mkapa, Nyerere na Maguili wamekufa. Kila mwana CCM, pamoja na Samia Hassan wanatambua uweza wa kimungu wa JK , na ndie yeye anaefanya hizi teua tengua za awamu ya sita. He got the country by the balls. January Makamba is a member of Kikwete’s inner circle and he got him the job despite his total ineptitude.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom