Kiherehere kimemponza.Pombe hataki viherehere kwenye kabinet yake.
Sema wakikipiga chini nitakunywa TBL za kutosha
Sio account ya Makamba! Nendeni twitter mkaangalie wenyewe.
kumbe mimi ndo nimechenka! Iko veriefied hiyo account?Hiyo sio twitter wewe hzo picha ka post instagram
kumbe mimi ndo nimechenka! Iko veriefied hiyo account?
Hilo la Nguruwe sijaelewa sana, inaashiria kuna Ngurume ametolewa kwenye nguruwe wenzake na sasa ameingia kwenye ufalme?
Hivi pale Ikulu Menu ya nguruwe inakatazwa kwa sasa? Maana Presidaa kwa imani yake anaruhusiwa, sasa ikiwepo pia inakuwa safi zaidi.
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
Asante kwa hili, Ila Sidhani Kama unajua jinsi mzee William Shelukindo Alivyohujumiwa na hiyo family ili huyu kijana afike hapo alipofika. Huyu ndg kafika hapo kwa kubebwa kwenye sahani. Hana uwezo mkubwa kiakili kwa kiwango unachotaka kutuaminisha. Ila Sikushangai sana, huenda nawe uko kwenye orodha ya wapiga brashi wa viatu vya watoto wa vigogo nchini ili mteuliwe UDC/URCHivi unadhani Magufuli ataacha kumpa u waziri. Kama ndio dua yako basi imebuma.
January ni hazina kubwa ndani ya chama na nje ya chama.
Kinachowasumbua vijana wengi kama wewe NI WIVU TU
Huo ufafanuzi ni kwa kiwango cha uwezo wako! Naona tayari kama ni mtihani umekwisha feli!
Kwani wewe umezielewaje? Kwa picha uliyoweka ina tafsiri nyingi tofauti! Yategemeana na mtu anavyootafsiri. Wewe umeihusisha na Magufuli, mimi nimeihusisha na Afrika na nchi za magharibi. Pia nimeihusisha na mtu anayetakiwa kutoka ila alichotakiwa kukitumia ili kutoka hakimwezeshi kutoka! Hii ipo hadi ktk family level!
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
Kwani wewe umezielewaje? Kwa picha uliyoweka ina tafsiri nyingi tofauti! Yategemeana na mtu anavyootafsiri. Wewe umeihusisha na Magufuli, mimi nimeihusisha na Afrika na nchi za magharibi. Pia nimeihusisha na mtu anayetakiwa kutoka ila alichotakiwa kukitumia ili kutoka hakimwezeshi kutoka! Hii ipo hadi ktk family level!
ChakazaLabda ukiangalia katuni hii salamu zake utakuwa umezielewa.
View attachment 308211