January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Kwa kazi aliyofanya ya kubadilisha namba nec alitegemea kupata uwaziri mkuu itakuwa ameumia sana.
raisi jpm kama utawatoa wanafiki wote na kubaki na watu transparent kama wewe utafanikiwa Sana katika uongozi wako
 
Dogo kaharibu ....alafu kitu kipo kila mahali ....yaani unaweza kufikiri unachamba kumbe unajipaka kinyesi ....siasa hizi ....
 
Hapana hapana kuteuliwa waziri sio lazima anaweza kupewa ukatibu Mkuu Ccm ili ajenge chama
 
Unge uliza nimetumia njia gani kuzidadavua hizo picha ,halafu ndo unihukumu ila kwa hapo ume chemka nimefaulu mtihani kwa %100.

Mkuu usiangaike kuwajibu watu wa hivi unapoteza nguvu zako.
Kwer nimeangalia ile picha kuna herufi za majina nimeona f,I,m na nyingine. I think the two guys wondering are former presdaaaz whose lift him up.
 
Nadhani wanaomkosoa Makamba kwa alichopst kwenye page yake ndio wenye makosa. Wangefanya la maana kutaka kujua tafsiri ya picha hizo kutoka kwake. Michoro ya picha ina tafsiri nyingi lakini mwenye tafsiri ya kweli ni yule aliyechora kwa sababu alifanya hivyo kutokana na ujumbe alionao kichwani kwake
Sioni haja ya kumtegemea yeye tu kututafsiria damage nasi tuna akili zetu...yeye kuzipost tu ina maana anataka wanaomfollow wasione na kuzitafsiri..la sivyo angeziacha tu kwenye simu au kompyuta yake.
 
Mtu unaifwatilia account na post za watu bila sababu za msingi na kutaka mtu asiwe huru ku express mambo yake ndiyo Utoto na Upumbavu. Kwani shida nini hapo we piga kazi fanya yako

Kwani aliweka ili watu wapite au waone na kutafakari?
 
Safari hii wanaoenda kwa waganga wa kienyeji au makaburini kutafuta vyeo au uwaziri hawana nafasi awamu hii ya 5.
 
Binfsi nitafurahi zaidi endapo Rais hatachagua baraza la mawaziri kwa kupendelea eti kwa kuwa Makamba impigia kampeni hakuna kupeana cheo kwa fadhila hii nchi lazima tuheshimiane.
 
Unge uliza nimetumia njia gani kuzidadavua hizo picha ,halafu ndo unihukumu ila kwa hapo ume chemka nimefaulu mtihani kwa %100.

Lazima ufaulu uwe 100% kama mtunga mtihali Mjomba wako,baba mdogo msimamizi,Binamu msahihishaji unategemea nini?

Wanasema Picha huzungunza maneno maelfu kadhaa-kwa hiyo kuwa precise na ujumbe uliokusudiwa na mhusika ni sawa na mpiga ramli
 
Hilo la Nguruwe sijaelewa sana, inaashiria kuna Ngurume ametolewa kwenye nguruwe wenzake na sasa ameingia kwenye ufalme?

Hivi pale Ikulu Menu ya nguruwe inakatazwa kwa sasa? Maana Presidaa kwa imani yake anaruhusiwa, sasa ikiwepo pia inakuwa safi zaidi.

Nguruwe ina maana ya kuwa Magufuli alikuwa hana hili wala lile na hakutegemewa kupata nafasi ya urais na alikuwa hajulikani sana kwenye chama. Wakamtoa uko chini yani sawa na alikuwa kwenye mabanda ya Nguruwe akila uchafu. Wakamtoa huko kwenye mabanda ya Nguruwe mpaka kwenye kapeti nyekundu ndani ya BMW. Yani wakampatia Urais.
 
Baada ya kumpiga Lukuvi majungu na kumchafua kwenye mitandao ili awe Pm ikashindikana. Sasa hivi ameona wazi asipate wizara, ameanza kumchafua Magufuli.

January hafai kabisa. Mchawi huyu kijana. Magufuli kama unasoma mitandao hizi habari zikufikie. Kumchafua sana, kipindi cha Dogo Jembe, JK kamchafua sana na sasa vijembe kwa Magufuli. January hafai
 
Binfsi nitafurahi zaidi endapo Rais hatachagua baraza la mawaziri kwa kupendelea eti kwa kuwa Makamba impigia kampeni hakuna kupeana cheo kwa fadhila hii nchi lazima tuheshimiane.

Umechelewa tayari January kashapewa wizara ya uchukuzi
 
Baada ya kumpiga Lukuvi majungu na kumchafua kwenye mitandao ili awe Pm ikashindikana. Sasa hivi ameona wazi asipate wizara, ameanza kumchafua Magufuli.

January hafai kabisa. Mchawi huyu kijana. Magufuli kama unasoma mitandao hizi habari zikufikie. Kumchafua sana, kipindi cha Dogo Jembe, JK kamchafua sana na sasa vijembe kwa Magufuli. January hafai

Kijamaa ni kijitu Hatari sana lakini nasikia pamoja na uchawi wake Magufuli kaamua kumzawadia wizara ya uchukuzi
 
Moja nimeielewa kuwa Magufuli atashushwa kwenye red carpet na kwenda kula na nguruwe na hadhi ya kula Ikulu itakuwa imeishia hapo. Hii vita ni ngumu tumuombee raisi wetu

Kama hata Kinana ana ICD na ni katibu mkuu wa chama na saizi wamembana Azam mwenye container 50 tu hao wengine huwezi jua, labda Kinana yumo
 
Back
Top Bottom