January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Mkuu kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji sio ushirikina bali ndo tamaduni na mila zetu sisi wa Afrika usipotoshe hata ww huenda ukawa mzoefu sana wasafari hizi za kitamaduni kuliko January.
Ndio maana hatuendelei. Sio kila tamaduni ni za kuendekeza.
 
Niliishasema na narudia tena, kati ya wabunge ambao nina uhakika hawatauonja uwaziri safari hii ni January Makamba na Harrison Mwakyembe. Piga Ua hakuna atakayeupata. Wakiupata uwaziri naomba wadau wa jf mnichagulie hatua ya kujichukulia.

Haya maombi haya shauri yako, kuna mtu aliapizana na mkewe kuwa kama chama cha mkewe kitashinda basi asimpe ile mambo, ikatokea chama cha mkewe kikashinda jamaa sasa hivi anajuta
 
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
Kwa hisani ya
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
Saluti rafiki. Na ndiyo hapo watofautishe kuwa hii nchi siyo ya mtandao ni ya wananchi. Dr Magufuli ndiye atakaye tuumbia nchi mpya.
 
Mtu unaifwatilia account na post za watu bila sababu za msingi na kutaka mtu asiwe huru ku express mambo yake ndiyo Utoto na Upumbavu. Kwani shida nini hapo we piga kazi fanya yako

Kama kaweka kwenye mitandao ya kijamii ili jamii ione jamaa anakosa gani kuingia kweny hiyo akaunt
 
Niliishasema na narudia tena, kati ya wabunge ambao nina uhakika hawatauonja uwaziri safari hii ni January Makamba na Harrison Mwakyembe. Piga Ua hakuna atakayeupata. Wakiupata uwaziri naomba wadau wa jf mnichagulie hatua ya kujichukulia.

Kuna mtu alishatoa kiapo hapa kuwa zito akishinda ubunge atatembea bila nguo, kutoka kibaha mpaka posta. Sasa hatujui aliishia wapi. Wewe je?
 
Kitendo cha January Makamba kupost picha twitter ambazo zina maana tata kimeibua minong'ono kuwa mbunge huyo wa Bumbuli amepigwa chini kwenye baraza la mawaziri.

Hivyo atabaki mbunge tu kama wabunge wengine.

Endapo itakuwa ni kweli basi hii moja ya mambo ambayo wananchi hawakutegemea kabisa huku wachache waliamini angeweza kuwa waziri mkuu na wengi wakiamini angeweza kuwa waziri na si naibu waziri.
Hivi unadhani Magufuli ataacha kumpa u waziri. Kama ndio dua yako basi imebuma.
January ni hazina kubwa ndani ya chama na nje ya chama.
Kinachowasumbua vijana wengi kama wewe NI WIVU TU
 
Mtoto huyo. Waziri mzima kuweka vikatuni ni utoto uliopitiliza hata kama kuna maana iliyofichika. Mie naona hayo mabaniani kama mabwana zake wa iliyokuwa Barrick GoldMines waliomfikisha hapo alipo sasa.
 
Ataisoma namba tu January,Magufuli Huyu mswahili usimpe cheo chochote atakukwamisha maana nayeye anautaka sana urais atakuaribia.
 
zigzag za magu baada ya miezi nane heshima itakuwepo kazi ya usafi bado ndo imeanza ngoja niandike kuhusu meck sadick
 
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
Aliutaka uwaziri mkuu akaukosa.
 
Kwani lazima awe yeye? Anaulilia kwa masilahi gani? Amewekeza nini kwenye uwaziri? Hoja ya msingi ni SIFA.
 
Back
Top Bottom