Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
magufuli akimtosa huyu kijana nitachukua kadi ya ccm ,huyu na mwigulu wabaki kwenye chama lumumba serekali haitaki watu wenye madoa mengi
Chukua like
magufuli akimtosa huyu kijana nitachukua kadi ya ccm ,huyu na mwigulu wabaki kwenye chama lumumba serekali haitaki watu wenye madoa mengi
Mkuu haya lazima tuulize!
Kapost nini twita huyu waziri mkuu wa twita
Tuko na frame of reference tofauti, hivyo usinilazimishe niielewe unavyotaka wewe kuendana na matukio yaliyopo! Nimekuelewa unavyotaka niielewe! Ila sijaielewa hivyo, tafsiri ya kwanza kabisa ktk ubongo wangu haikuwa hiyo unayotaka niielewe mimi
Okei, ngoja nije kwenye level yako ya kuhusisha picha na matukio ya kisiasa nchini! Picha ya pili, mtu anatoka ktk position ya juu na yenye status anaenda kuwa "mchunga ng'ombe", hapo jee!
Hapo mbona hakuna ng'ombe, kuna Nguruwe, tena zinakula chakula, hazichungwi, na red carpet inaelekea kwenye nafasi ya mhusika kuja au kutoka katika chombo cha Nguruwe kulia chakula.
yaani ngazi alizotumia kushukia ama atakazotumia kupandia,anazing'oa na kuzichoma moto ,moja baada ya nyingineJE ATAPANDAJE KUTOKA HUMO AKIMALIZA KUZIOTEA MOTO(i mean atakapomaliza kuzitumia zikaisha atatokaje?)ati anachoma nyumbae wakati yupo ndani na ngazi za kupandia zishapukutika!....../
UTOTO UNAMSUMBUA HUYO...
MAGUFULI SONGA MBELE,DUNIA INAONA JUHUDI ZAKO!
NO ONE TO RESIST YOU! SONGA BABA!
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
Picha zenyewe ndo.... wekeni tafsiri zake
Kiherehere kimemponza.Pombe hataki viherehere kwenye kabinet yake.
Sema wakikipiga chini nitakunywa TBL za kutosha
Hii inamaanisha Chadema na Ukiwa waoKuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
Sio account ya Makamba! Nendeni twitter mkaangalie wenyewe.Nakubaliana na wewe na ndivyo ilivyo.Wale nyani wawili ni wale wazee wa chama wamejiweka kando kumwangalia anavyotumbuaajipu,wanemwacha peke yake kwa vile hataki ushauri wao. Makamba katumwa na wenzake hakuna maana ingine.
hafai kuwa waziri akafie mbali huko
.... Wapiga ramli nao sasa wahamie vijijini kutabiri mvua ......