January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Kwani wewe umezielewaje? Kwa picha uliyoweka ina tafsiri nyingi tofauti! Yategemeana na mtu anavyootafsiri. Wewe umeihusisha na Magufuli, mimi nimeihusisha na Afrika na nchi za magharibi. Pia nimeihusisha na mtu anayetakiwa kutoka ila alichotakiwa kukitumia ili kutoka hakimwezeshi kutoka! Hii ipo hadi ktk family level![/QUOT

Inawezekana na ww umeelewa ila unapindsha tu ubongo!
Tuko na frame of reference tofauti, hivyo usinilazimishe niielewe unavyotaka wewe kuendana na matukio yaliyopo! Nimekuelewa unavyotaka niielewe! Ila sijaielewa hivyo, tafsiri ya kwanza kabisa ktk ubongo wangu haikuwa hiyo unayotaka niielewe mimi

Okei, ngoja nije kwenye level yako ya kuhusisha picha na matukio ya kisiasa nchini! Picha ya pili, mtu anatoka ktk position ya juu na yenye status anaenda kuwa "mchunga ng'ombe", hapo jee!
 
Awamu hii hamna ramli. Hata ukizisikiliza sikiliza na kuzifuata kwa ujinga wako. Magufuli aliposema JK aliangushwa na watu wake aliowateua alimaanisha hili. Yeye kabla hata hajatangaza majina ya uteuzi tayari watu walikuwa wameishajua kwa kuwa ilifanywa biashara na wateule wake. Sasa hiyo biashara kwa awamu hii hailipi. Wapiga ramli nao sasa wahamie vijijini kutabiri mvua na kusaidia kutatua matatizo ya wananchi siyo kula Ikulu na kutoka kwa watu wenye uroho wa madaraka.
 
Huenda anamaanisha urais wa Tanzania 2015 kapewa ------ au Rais wa JMT anashirikiana na makafiri kuendesha nchi. Picha ya Nguruwe inawasilisha ujumbe mkubwa kwa wenzetu. Utakumbuka machafuko ya Mwembechai katika utawala wa awamu ya pili yalisababishwa uwepo wa nyama ya nguruwe Dar es Salama.

Nonsense from low IQ person
 
wabongo bwana! ndo wameshamchomea utambi tayari.
 
Nadhani wanaomkosoa Makamba kwa alichopst kwenye page yake ndio wenye makosa. Wangefanya la maana kutaka kujua tafsiri ya picha hizo kutoka kwake. Michoro ya picha ina tafsiri nyingi lakini mwenye tafsiri ya kweli ni yule aliyechora kwa sababu alifanya hivyo kutokana na ujumbe alionao kichwani kwake
 
Picha zenyewe ndio hizo.... wekeni tafsiri zake
 

Attachments

  • 1448792118170.jpg
    1448792118170.jpg
    81.5 KB · Views: 3,665
  • 1448792147585.jpg
    1448792147585.jpg
    66.9 KB · Views: 3,452
  • 1448792164535.jpg
    1448792164535.jpg
    56.3 KB · Views: 3,449
wewe acha uongo minong'ono hiko wapi..yaani umeona picha ukatunga na uongo wako alafu unaita minong'ono..sijui kwanini watanzania ni wazushi hivi
 
Kiherehere kimemponza.Pombe hataki viherehere kwenye kabinet yake.
Sema wakikipiga chini nitakunywa TBL za kutosha
 
Itakuwa ni habari njema sana kwa wananchi kama huyu jamaa hatokuwapo kwenye baraza!
Embu jiulize jinsi makampuni ya simu ambayo yapo chini ya wizara yake, yanavyowaibia na kuwanyanyasa wananchi kiasi gani na, bila hatua yyte kutoka kwa huyu jamaa?
 
Mb1 sikuhizi, hakufanya chochote kutetea, ugumu wa haya mambo ya kulazimishia uwaziri unafanya kazi ziwe ngumu, kwani waziri ni mwanasiasa na mbaya zaidi ukute yuko kama January
 
Back
Top Bottom