Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,350
Umeelewa lakini ?haya ni mambo ya kitoto tu.
Hebu rudi ukomenti tena, narudia kusema tena watoto wa mjini sio wa kucheza nao!!haya ni mambo ya kitoto tu.
😆😆😆😆Hebu rudi ukomenti tena, narudia kusema tena watoto wa mjini sio wa kucheza nao!!
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
Kipenzi cha mama...aache kuchafua kina Bashiru kama apewe tu uwaziri na mama yake aache siasa chafu.Nadhani january anavuta bhange huyu
Uongozi wa samia ni kama wa jk usitarajie makamba kwenda kinyume sana na aliye muweka hapo.Kama aliweza kumnanga Magufuli, kwa Samia itakuwaje? Kumbukeni alikuwa anazunguka nchi akiwa waziri kufanya kampeni ya Urais. Hapa sasa ndio itakuwa ngoma !
Hibernation mode. Wamejifunza kwa kabudi na lukuvi walivyo tolewa hawakuwa na midomo ya kupayukapayuka na vijembe mitandaoni kama bwana yule mtoto wa mosessHivi huyu Mtoto yuko wapi ?
Red Carpet Nguruwe , Gari Nyeusi na Msaidizi akimsubiri Mh fulani ashuke kwenye gari nyeusi. Aisee. watano mhhhh inafikirisha sanaMkuu haya lazima tuulize!