January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Achana na hy jamii ya makamba....ni wanafki balaa.

Pia ni washirikina sana kuanzia wazazi mpaka watoto wote kutwa wapo kwa waganga hawaamini Mungu kabsa wao wanaamini mizimu.
 
Yani hapo dongo kwa magufuli,kuwa anaichoma ccm wakati naye yumo humohumo.Ndo maana nilisema magufuli hataweza.

Mkuu hataweza vipi wakati ndio anaendele kutumbua majipu mpaka watu wanapost vikatuni kwenye twitter?
 
Daaah Mkuu nimekubali tafsri yako kwa hzo picha.

Picha zimebeba ujumbe mkubwa sanaaa

Naikumbuka hotuba yake pale bungeni aliposema watz niombeeni.

Kwer anahitaji maombi aisee
Skutegemea kama masemaji wa chama katk kampen za ccm anaweza weka picha kama hzo

January ni mshirikina sana pia Ukumbuke kwenye pindi kampeni ikiwa ipo katikati yeye na mwigulu walipiga billion 1.7 hadi Magufuli akapagawa ikabidi Serikali ya China iokoe jahazi lakini hiyo pesa toka china na yenyewe waliimega pia.
 
Malofa wamebakia kusoma instagram za makada wa CCM. Wewe uliweza kuona picha lakini hukuona tafsiri binafsi ya J Makamba duh! Kweli kuna watu ni wapumbavu malofa. Ukawa jipangeni kwa ajili ya 2020 jitihada za kumgombanisha magufuli vs Chama chake saa hizi hazifui dafu.

Nguruwe wa lumumba naona nanyi mmechorwa
 
Ana mambo ya kiswahili huyu na tuma fumbo kwa kutumia lugha ya picha

Eti ndio aliingia tano Bora na kumwacha Bilali, Pinda, Augustino Ramadhani nje kwenye Kinyanganyiro cha uraisi

yaani hiyo ya ngazi eti jamaa badala ya kupanda na kutoka nje ameamua kuivunja ngazi na kuifanya kuni, vijembe vya uswazi kabisa, au Magufuli kamuacha kwenye baraza lake?
 
Kamanda wetu Pombe anajua kwa jinsi hali ilivyo haya yatakuwepo.Ila we are on his side.Kwa maombi yake na yetu atakuwa salama.
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
 
hapo ndo kazi ya magufuli itaanza kuwa ngumu kama chama chake tu akimsapoti kwa juhudi anazofanya kuliokoa taifa ambalo ni mali yetu sote lakn mtu kama january ndo kwanza kabisa anatoa kejeli...aaah my wonderful country why?
 
Wapo watu humu JF waliompigia debe January kwamba anafaa kuwa Waziri Mkuu.Niliwashangaa sana.Kikwete material in a government for the people.Unthinkable.
Ana mambo ya kiswahili huyu na tuma fumbo kwa kutumia lugha ya picha
 
Hapo inaweza ikamaanisha iyo ngazi ngazi alimwekea mtu apande, kadri huyo mtu alivokua anapanda hatua moja alikua akiharibu ngazi moja ili kumzuia yule wa chini asiweze kufika,mwisho jamaa wa juu katoka ndo maana unaona zile staircase za mwisho wa ngazi zipo, maanake wa juu katoka lakini wa jamaa chini kashindwa kutoka maana aliyetangulia kamwaribia ngazi..
Kwa great thinkers ukilinganisha hali ya sasa na hiyo picha unaweza ukahisi kitu, japo si lazima kila tunachohisi kiwe sahihi..kiukweli tunafaham January Ni mtu anayehitaji sana urais mwaka 2025 panapo majaliwa na namna njia ya kutokea Ni lazima utokee kwenye cabinet na wote tunakumbuka January amepambana sana kwenye uchaguzi huu kuhakikisha magufuli anashinda, kwenye campaign yeye ndo alikua Ni msemaji wa chama, kutokuepo kwake kwenye cabinet kama itakua hivyo, Ni jambo ambalo litafuta ndoto zake za urais 2025, ndo maana unaona kwenye picha amekaa kimya chini Kwani hakuna namna ya kufika juu na aliyemwekea ngazi apande ameharibu ngazi ili yeye asipande..
Hiyo Ni tafsiri yangu, inaweza isiwe sahihi pia.

Mara nyingi picha zenye mafumbo zinakuwa na utata sana kwa kuzitaafsiri, kwa Mtazamo wangu, hiyo ya ngazi ni kuwa jamaa alikuwa Pangoni/shimoni na kulikuwa kuna baridi kali, ukaja msaada wa ngazi ili jamaa aitumie kutoka ndani ya hilo tunnel, lakini jamaa baada ya kutoka alianza kuvivunja vipandio vya ngazi na kuvifanya kuni ya kujikinga na Baridi
 
Mimi sitaki kumsema kwa lolote baya maana mimi sina. Sasa tusiseme seme tu tuweke ushahidi inawezekana ana mengi ya kukumbukwa tena mazuri. Mimi sina siwezi sema neno
 
Wapo watu humu JF waliompigia debe January kwamba anafaa kuwa Waziri Mkuu.Niliwashangaa sana.Kikwete material in a government for the people.Unthinkable.

Hicho cheo kikubwa kwake zaidi ya kubebwa hana ajualo. Na huko kubebana bila uwezo ndo kumelifikisha taifa lilipo
 
Eti ndio aliingia tano Bora na kumwacha Bilali, Pinda, Augustino Ramadhani nje kwenye Kinyanganyiro cha uraisi

yaani hiyo ya ngazi eti jamaa badala ya kupanda na kutoka nje ameamua kuivunja ngazi na kuifanya kuni, vijembe vya uswazi kabisa, au Magufuli kamuacha kwenye baraza lake?

Nilishangazwa sana kwa kuingia kwake top five na kuacha walio bora. Kuingia top five kulimfanya ajiamini
 
hivi viponzo ni zaidi ya hatari, yani inaonekana jamaa yupo kwenye shimo anapigania roho yake, hila kuna baridi kari inabidi ngazi aote moto kwani nje kuna hatari pia.
 
hichi ndio alicho kiandika,ila naona kimeandikwa mda kidogo " jmakamba2015Several people have asked what's the interpretation/meaning of these postings.

The whole point of art is to evoke diverse interpretations and reactions - and therefore debate. There is not entirely "right" interpretation for a piece of art. Everyone can offer their own interpretation.

I am always reluctant to offer my interpretation for works of art because I want to hear from others. But now, if I can offer my own in this work by Pawel Kuzcynski:
Most people have chains preventing them from reaching goals and enjoying inner peace. Some people work to unchain themselves. Others glorify their chains - painting them gold, seeing them as sources of their happiness. For instance, materialism and consumerism. These (for me) are deadly chains. If you see shopping as a source of happiness, you are painting your chains with gold. This is my interpretation. It doesn't have to be right for everyone.
 
Mtu unaifwatilia account na post za watu bila sababu za msingi na kutaka mtu asiwe huru ku express mambo yake ndiyo Utoto na Upumbavu. Kwani shida nini hapo we piga kazi fanya yako

Acha unafiki kama maana ni nzuri....matusi ya nini.......huu ndiyo mwisho wa wanausiasa uchwara......wakiona Jk kaachiwa wakajua zuzu yeyote anaweza kuongoza......yaani haitakuja itokee tena tz hii......msahau
 
Back
Top Bottom