January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Hiyo picha ya tatu hao jamaa wawili walovaa suti siyo ndugu zake na Wassira? Nauliza tu....
 
Mhhhhhhjjjnj makamba nae
 

Attachments

  • 1448789510998.jpg
    1448789510998.jpg
    41.3 KB · Views: 3,837
ati anachoma nyumbae wakati yupo ndani na ngazi za kupandia zishapukutika!....../
UTOTO UNAMSUMBUA HUYO...
MAGUFULI SONGA MBELE,DUNIA INAONA JUHUDI ZAKO!
NO ONE TO RESIST YOU! SONGA BABA!

Duh, na hao nguruwe kwenye Red Carpet, gari ya... na Usalama mkubwa - ndio mini tena!
 
Km wiki moja imepita nilikuwa naongea na MTU wa Uvccm pale Lumumba, alimsifia sana huyu kijana kwamba ni smart sana, anawajua wakuu wa wilaya na mikoa wote kwa majina yao, anajua km za barabara zote, akahitimisha kwa kusema ni Hazina ya CCM wakimtumia vyema
 
Duh, na hao nguruwe kwenye Red Carpet, gari ya... na Usalama mkubwa - ndio mini tena!

Huenda anamaanisha urais wa Tanzania 2015 kapewa ------ au Rais wa JMT anashirikiana na makafiri kuendesha nchi. Picha ya Nguruwe inawasilisha ujumbe mkubwa kwa wenzetu. Utakumbuka machafuko ya Mwembechai katika utawala wa awamu ya pili yalisababishwa uwepo wa nyama ya nguruwe Dar es Salama.
 
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
 
mimi nilivoelewa ni kuwa mzee wa aliselema anaharibu ngazi iliyomfikisha huko chini.... sasa hiyo ngazi ni ipi je ni hawa wa TRA waliotiwa ndani? au wazee wa madawa?
 
Hilo la Nguruwe sijaelewa sana, inaashiria kuna Ngurume ametolewa kwenye nguruwe wenzake na sasa ameingia kwenye ufalme?

Hivi pale Ikulu Menu ya nguruwe inakatazwa kwa sasa? Maana Presidaa kwa imani yake anaruhusiwa, sasa ikiwepo pia inakuwa safi zaidi.
 
Kitendo cha January Makamba kupost picha twitter ambazo zina maana tata kimeibua minong'ono kuwa mbunge huyo wa Bumbuli amepigwa chini kwenye baraza la mawaziri.

Hivyo atabaki mbunge tu kama wabunge wengine.

Endapo itakuwa ni kweli basi hii moja ya mambo ambayo wananchi hawakutegemea kabisa huku wachache waliamini angeweza kuwa waziri mkuu na wengi wakiamini angeweza kuwa waziri na si naibu waziri.
 
Back
Top Bottom