Jamaa akiukosa uwaziri si itakuwa vita jamani!
Vita na nani? Kwa resources zipi au influence gani aliyonayo? Kama Lowassa na nguvu zote alizokua nazo ametulia ije kuwa January? JK mwenyewe aliishia kumpa unaibu
Jamaa akiukosa uwaziri si itakuwa vita jamani!
Familia ya kishirikina hiyo baba mama watoto hata yule mwanvita wa South Africa ni mshirikina hakuna mfano vodacom wote wanamjua.
U-CCM umekujaa ndugu kila kitu unasifia tu. Unazani utapewa ukuu Wa wilaya? Kama mkwere alivyokuwa anagawa?
Picha ya nguruwe na red capert, ngurume ni mnyama haramu kwa dini ya makamba hasitahili kuliwa, Magufuli kwa CCM ni haramu, maana kafika ikulu bila wao kupanga, yan ni haramu ilioingiza ikulu, na kuwekwa kwenye red carpet na gari la fahari, sasa shukuran za haramu ndio izo, badala ya kula tu kiustaarabu sasa anakura kwa kumwaga chakula ovyo.
2. Picha ya facebook na kudandia miti, waliotangulia ni manyani, yan hawakuwa na utu hawa watangulizi wa magufuli, lkn pamoja na unyani wao (kutokuwa na utu) bado wana heshima ya utu maana wamevaa suti na wanapata heshima. Sasa huyu aliekuja ana jamii ya unyani, ndio maana anapita kwa kudandia miti au nyaya kama nyani lkn yeye ana sura ya utu, pamoja na sura yake ya itu hana nguo huyu yupo uchi, wakati kashikiliwa na mikia ya facebook, yan kama alivosema mtu mmoja nyuma huko, magufuli anajifanya mtu kwa kushangiliwa na social media kumbe na yeye ni jamii ya nyani, lkn tangu lini mtu akadandia miti kama nyani, bila shaka kuumbuka kwaja.
Kuna picha ya mtu anapaka rangu minyororo aliojifunga, hapa napo ni kumwambia magufuli, chuma akibadilishwi kwa kupakwa rangu kwa juu, itabadunduka, so ni kejeli kwamba anafanya kazi nyepesi.
Picha ya kuchoma ngazi ipo wazi.
Picha ya mkono mdogo juu ya mkono mkubwa mweupe, angalia ule mkono ni wa mzungu aliemshika mwafrika aliekonda. Oanisha juhudi za kina makamba na kumfikisha JPM ikulu, kazi anazofanya mahufuli, hulka ya ccm na tafsiri ya picha ya carpet.
Ushauri, magufuli songa mbele, tutakukumbuka zaidi ya chairman Mao tse tung
Itakuwa ni habari njema sana kwa wananchi kama huyu jamaa hatokuwapo kwenye baraza!
Embu jiulize jinsi makampuni ya simu ambayo yapo chini ya wizara yake, yanavyowaibia na kuwanyanyasa wananchi kiasi gani na, bila hatua yyte kutoka kwa huyu jamaa?
baraza jipya kujulikana lini wadau?
Yule hana maujuzi ya fedha na uchumi,nenda kwenye thread ya CEO wa NHC ndo utajuwa kabisa pasipo shaka kuwa HAMYD ni Savimbi.huyo sio yule aliyekuwa naibu,huyo ni mwenzake Juliana shonza,yule wa kiume
Bila Shaka wala chenga! Hiyo iko wazi anaogopa kutumia verified ID yake kwa sababu anawachafua wenzake humu! Hata unaibu waziri haumfai ana visasi vya ajabu ajabu! Eti nae aligombea urais! Magufuli panga timu yako makini mzee wangu.Yule hana maujuzi ya fedha na uchumi,nenda kwenye thread ya CEO wa NHC ndo utajuwa kabisa pasipo shaka kuwa HAMYD ni Savimbi.
Sioni haja ya kumtegemea yeye tu kututafsiria damage nasi tuna akili zetu...yeye kuzipost tu ina maana anataka wanaomfollow wasione na kuzitafsiri..la sivyo angeziacha tu kwenye simu au kompyuta yake.
1. Kuna gari kama ya kiongozi, kuna bodyguard pembeni ya gari, Zulia jekundu kuna Nguruwe.
- Tafsiri ni kuwa, Nguruwe (ambao tuna waona, wametandikiwa red carpet) kwenda au kutoka kwenye gari la kiongozi mkuu anayelindwa kama rais.
- Ina maana kwamba, mtu aliadhaniwa ni kiongozi matekeo yake ni sawa na nguruwe tu! Na nguruwe hukuweka kwa ajili ya dini, nakubali hiyo, ila umemweka Nguruwe kwakuwa ni mnyama ambaye hutumika kuonyesha ukosaji wa kumbukumbu.
Nguruwe (Kiongzi aliekosa kumbukumbu) = Ameshushwa kwenye gari la Kiongozi + red carpet kwenda Kula (iklu?)
# CHAKULA anachotakiwa KUKILA, matokeo yake ANAKIMWAGA MWAGA!
- Kwa Tanzania, nafikiri ni kiongozi mmoja tu ndiye mwenye wadhifa wa kutandikiwa red carpet "kwa mwono wangu" amekosa kumbu kumbu, anamwaga mwaga hovyo njia za kupatia hela.
2. Hiyo ya Nyani, naona kama Manyani wakubwa "walio kwepa mishale mingi" wanamshangaa nyani kijana anadanda danda kwenye nyaya za umeme badala ya kwenye miti na tena, ana mkia wenye herufi kadhaa!
- Je, ni kiongozi anayefanya mambo Fulani ya hatari kama kushika nyaya za umeme ambzo zinaweza kumsababishia hata kifo, bila kuiga mfano wa nyani wazee wanaomshangaa sasa.......kwa akili ya kawaida kabisa ujumbe huu unaenda kwa kiongozi yupi kwa sasa?
3. Mtoto aliye haribu ngazi iliomfikisha hapo chini.
- Maana nyepesi kabisa, ni mtoto mdogo tu ndiye anaye sahau fadhila zilizofikisha mahali pa kuota moto! Ametumika mtoto, kwakuwa haitarajiwi MTU MZIMA kusahau nani amemfiksha hapo. Ngazi ilio haribiwa, ni fadhila inayo haibiwa!
- Mtoto mdogo hukanywa na kuambiwa, mtu mzima huambiwa kwa lugha ya mafumbo kama haya! Ndugu mleta Picha, ni mtu mzima gani anayetosha kufananishwa na mtoto aliyedhiliwa, na kisha kusahau fadhila, hasa kwenye siasa za sasa baada ya uchaguzi ulioisha?
4. Kuna Picha ingine, imo humu ya mkono ulionawiri umeushika mkono uliodhoofu as if unauvuta hivi! Ni tafsiri nyepesi sana kuwa..........mtu masikini anayesaidiwa na mtu mwenye uwezo kutoa mali au hali!
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mimi naona kama picha zote ni ujumbe karibu ule ule ila kwa angle tofauti! Hakuna mtoto mdogo humu jf, fb au popote ambaye unaweza ukamdanganya asijue unataka kuwakilisha kitu gani no matter umesomea ni wapi na kwa level gani!
Tunaamini, mlengwa wa picha katuni hizi, ujumbe wako umemfikia na pengne atafikiria FADHILA za kuto bomoa ngazi iliomfikisha hapo alipo. Ataacha kucheza na nyaya za umeme, na kurudi kwenye miti anapo husika.......na kuwasikiliza hao nyani wakongwe! Kumbu kumbu zitamjia ili aache kumwaga mwaga chakula ili arudi kweny gari kama "MTU" na "siyo Nguruwe" ili safari iendelee!
Katika hotuba yake, ngugu Magufuli aliomba Watanzania tumwombee kwani anakwenda kushika nyaya za umeme kwa mikono kama huyo nyani. Na kwakuona umasikini wa Watanzania jinsi walivyo nyong'onyea kama huo mkono mweusi, ndio maana haoni haja ya kusikiliza hao nyani wakongwe ambao furaha yao ni kuendelea kujineemesha wao na familia zao na kuacha watanzania wanyonge wakitaabika kwa shida. Ngazi na Magari na red carpt zilizo mfikisha ikulu ili wakidhani atalinda miradi na masilahi yao, sasa kwa mshangao wao.....anafumua kila kitu (nguruwe anatawanya chakula - tra, bandari, sembe, ardhi nk) walichokitegemea....!
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MWISHO.
Katika mahusiano ya kimapenzi, huwezi kujua mume au mkeo au mchumba wako anawaza kitu gani, ndiyo maana tunashauriwa kuonyesha love kwa vitendo kwa mwenza wako, ili kwa kupitia anachokiona aamini bado unampenda.
SWali, ndugu Uliyejibibu kwa niaba ya jm, unawezaje kujua yaliyo rohoni kwake, kichwani kwake hadi useme alimaanisha hivi au vile....hata kama wewe ni mkewe, bado huwezi kuusemea moyo na kichwa chake ili tukuamini! Lakini basi, kama wewe ndiye jm, mmmmh huoni kama umekosa staha kweli? Kwa level ya uongozi ulizopitia hujutii ni kwanini umepost picha zenye minong'ono ambzo zinaleta tafasiri tofauti za kukuweka wewe kwenye mtazamo wa kijamii kutoka mtazamo A kwenda B?
TUNAMWOMBEA MAGUFULI MAISHA MAREFU na KAZI NJEMA ANAZOENDELEA KUZIFANYA!
Ni dhahir Makamba na genge lake sio watu wa Magufuli, japokua Magufuli alipita kwa bahati nzuri hili genge likajipa imani kuwa kwa pesa zao wataweza mcontrol Magufuli.Nyamguluu! Umeambiwa hakuna mahali popote January Makamba ameonekana akiunga mkono juhudi za Magufuli za ya kupost picha zenye tafsiri ya wivu. Nachoshukuru ni kwamba huyu jamaa haangalii sura na yeye anajua jinsi alivyopenya kule mkutano mkuu wa CCM! Ana imani kabisa kwamba kati ya watakaomkwamishi ni wale ambao hawakufurahia jina lake kupenya na kugombea urais, nina imani kati ya watu ambao hawakufurahia nafasi ya Magufuli kua Rais ni mapoja na J.Makamba.
FOR THE FIRST TIME ...nasema JANUARY MAKAMBA UKO SAWA KABISA JUU YA HUYU MASOLEX ...
Maana hana fadhila!
Hapa ndipo mlipoimaliza hii Nchi na JK yaani mnapeana vyeo kwa kulipana Fadhila....!!!
HAKUNA ALIYE AU ANAYE HITAJI FADHILA KWA MWINGINE HAPA tunaongelea kitendo chavM/KITI mtarajiwa wa C.C.M kuiacha ilani ya chama na kuanza kuendesha maswala bila kufuata ILANI YA C.C.M!
"HATA WALE WANAUSHINDI WA C.C.M WANAONEKANA SI KITU KWAKE?
J.MAKAMBA NAUNGANA NAWE 100%