Aisee! ! Mwacheni jamaa wawatu. Unajua chuki zingine zisizo na msingi Mungu hugeuza kuwa baraka ili mzidi kufedheheka.Asante kwa hili, Ila Sidhani Kama unajua jinsi mzee William Shelukindo Alivyohujumiwa na hiyo family ili huyu kijana afike hapo alipofika. Huyu ndg kafika hapo kwa kubebwa kwenye sahani. Hana uwezo mkubwa kiakili kwa kiwango unachotaka kutuaminisha. Ila Sikushangai sana, huenda nawe uko kwenye orodha ya wapiga brashi wa viatu vya watoto wa vigogo nchini ili mteuliwe UDC/URC
Magufuli kampa wizara ya uchukuzi
Sio account ya Makamba! Nendeni twitter mkaangalie wenyewe.
Tafsiri yake ni hii: picha ya ngazi, anaye koka fito za ngazi ni rais, ngazi ni njia aliyotumia Rais kupata urais, fito zake ni watu waliomsaidia kupata urais. Sasa inamaana kwamba baada ya kupata urais kasahau watu waliomwezesha kupata urais anawachoma moto( fire) wakati ndio hao hao watakao mwezesha kurudi tena madarakani. Picha ya nguruwe. Rais anawaona wote waliompa madaraka ni walafi kama nguruwe. Kwa hiyo baada ya kuukwaa urais anarudi kumtumikia nguruwe aliyempa huo urais.
hivi january awe waziri kwa lipi hasa alilolifanya ?
Daah picha zimenishtua hizi,huyu mtu hatari huyu
Sio account ya Makamba! Nendeni twitter mkaangalie wenyewe.
January Makamba si mtu anayefaa katika jamii, sembuse uongozi....huyu ni mnafiki kama baba yake na ndiyo maana CCM wakamtupa baba yake kwani alizidi unafiki na majungu. January is just like that, like father like son. Hata kale kadada lao, wenzake wanamsema kuwa ana vitu vya uchochezi sana akifanya chini chini ili watu wasijuwe ila kwa sasa wameshamgundua.#TundaHaliangukiMbaliNaMtiWake #DamuNiDamu
Mtoto mjinga sanaa huyu yaani Rais JPM anafanya kazi alafu wanaanza kumpiga vijembe basi imemgusa sana shenzi huyu dogo,rushwa tu wamuache afanye mazi yake...