January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Mkuu nakushukuru sana kwa kutoa mwanga au picha halisi ya hizo picha za makamba zilimaanisha nn..tatizo lipo kubwa sana mkuu..hivi unajua kuwa ni13%tu ya watanzania wenye elimu ingalau ya sekondari?hivi unajua hiyo masters (uzamili)yake yawezekana haitolewi na vyuo vya kwetu?in short yawezekana kuna watu si zaidi ya kumi hapa nchini wenye fani hiyo?kwa uelewa wangu mdogo ili ujumbe ufike kwa wananchi kwa ujumla.. na nadhani ndo walengwa!unatakiwa ujaribu ku simplify ujumbe wako ili uweze kueleweke vyema!sasa lengo lake bwana jm lilikuwa nn hasa..tumwone kuwa kabobea kwenye hayo masuala au?na ninani ataelewa hayo madude? nina uhakika hata dr jpm hajui hizo picha zina ujumbe gani..comments nyingi zilihusisha hizo picha na mambo ya kishirikina..huoni kuwa bwana jm unajiharibia?usijifanye mjuaji sana na kuleta issue complicated na watu wakakuona wewe ni juha kumbe majuha ni wananchi kwa kuwa hawana elimu hiyo!kazi njema!!!
Hizo picha sio lazima kuzitafsiri, kama vipi wee zipotezee na ziangalie tu kama katuni!
Katiba ya 1977 ya JMT haikulazimishi kupata maana halisi ya hizi picha, tulia na endelea na maisha!
 
Kwani wewe umezielewaje? Kwa picha uliyoweka ina tafsiri nyingi tofauti! Yategemeana na mtu anavyootafsiri. Wewe umeihusisha na Magufuli, mimi nimeihusisha na Afrika na nchi za magharibi. Pia nimeihusisha na mtu anayetakiwa kutoka ila alichotakiwa kukitumia ili kutoka hakimwezeshi kutoka! Hii ipo hadi ktk family level!

Akili za huyo unayemsema alichotakiwa blah blah blah na za kwako sawa sawa. Ile picha inaonesha mtu mjinga ambaye badala ya kuitumia ngazi kutoka nje, yeye anatumia miti yake kama kuni kujisitiri na baridi.
 
Ikiwa tu ndani ya shimo kuna baridi...Je, huko nje ya shimo hali ipoje!? Ni nani kasema akitoka nje ya shimo atasalimika!? Unajua hali iliyopo nje ya shimo wewe!? Si bora tu ajistiri zake na baridi huenda ukaja msaada wa uhakika na kumuokoa kama ilivyotokea kwa wale ndugu zetu wachimbaji wadogo wadogo. Acheni kulazimisha tafsiri zenu tu ndio ziwe sahihi.
 
Sidhani kama mkuu we ni mzima,kusoma huwezi hata picha huoni...amka

Hizo picha kama sio wewe uliyeziweka, huwezi pata maana halisi aliyokusudia mleta picha, unaweza jaribu kwa mbali, hivyo basi uwanja uko wazi kabisa, hizi picha zina tafsiri nyingi sana, kukuhakikishia basi pitia tafsiri za watu humu jf, karibu kila mtu ana yake, na mimi nina yangu! Sasa unataka lazimisha kuwa tafsiri yako ndo aliyokusudia mleta picha? Kusoma naweza na kuelewa naelewa na kuchanganua naweza na ku-connect the dots naweza. Na picha naona!
 
Inshalaaah
 
Akili za huyo unayemsema alichotakiwa blah blah blah na za kwako sawa sawa. Ile picha inaonesha mtu mjinga ambaye badala ya kuitumia ngazi kutoka nje, yeye anatumia miti yake kama kuni kujisitiri na baridi.
Hivi mnashindwa kuelewa nini ninaposema hizi picha zina maana nyingi? Hiyo ni tafsiri yako na haimaanishi kuwa ndo iliyokusudiwa na mleta picha, na mimi nina tafsiri yangu kama ulivyoiona, tatizo liko wapi hapo? Usinilazimishe nikubali kuwa maana yako ndo sahihi!
 
Nilivyo elewa mie ni kwamba:
1: anateketeza nyenzo zikizotumika kumfikisha alipo.

2: japo anadhani yy ni mtu ila ana mkia na hawezi kuficha iyo reality.

3:majority ya wanaomzunguka ni wachafu kama nguruwe, sasa mlango umefunguliwa ili achague nguruwe wa kufanya nae kazi.

Dah..all in all these pics speak a volume of different things.
 
1. Kuna gari kama ya kiongozi, kuna bodyguard pembeni ya gari, Zulia jekundu kuna Nguruwe.
- Tafsiri ni kuwa, Nguruwe (ambao tuna waona, wametandikiwa red carpet) kwenda au kutoka kwenye gari la kiongozi mkuu anayelindwa kama rais.

- Ina maana kwamba, mtu aliadhaniwa ni kiongozi matekeo yake ni sawa na nguruwe tu! Na nguruwe hukuweka kwa ajili ya dini, nakubali hiyo, ila umemweka Nguruwe kwakuwa ni mnyama ambaye hutumika kuonyesha ukosaji wa kumbukumbu.

Nguruwe (Kiongzi aliekosa kumbukumbu) = Ameshushwa kwenye gari la Kiongozi + red carpet kwenda Kula (iklu?)
# CHAKULA anachotakiwa KUKILA, matokeo yake ANAKIMWAGA MWAGA!

- Kwa Tanzania, nafikiri ni kiongozi mmoja tu ndiye mwenye wadhifa wa kutandikiwa red carpet "kwa mwono wangu" amekosa kumbu kumbu, anamwaga mwaga hovyo njia za kupatia hela.

2. Hiyo ya Nyani, naona kama Manyani wakubwa "walio kwepa mishale mingi" wanamshangaa nyani kijana anadanda danda kwenye nyaya za umeme badala ya kwenye miti na tena, ana mkia wenye herufi kadhaa!
- Je, ni kiongozi anayefanya mambo Fulani ya hatari kama kushika nyaya za umeme ambzo zinaweza kumsababishia hata kifo, bila kuiga mfano wa nyani wazee wanaomshangaa sasa.......kwa akili ya kawaida kabisa ujumbe huu unaenda kwa kiongozi yupi kwa sasa?

3. Mtoto aliye haribu ngazi iliomfikisha hapo chini.
- Maana nyepesi kabisa, ni mtoto mdogo tu ndiye anaye sahau fadhila zilizofikisha mahali pa kuota moto! Ametumika mtoto, kwakuwa haitarajiwi MTU MZIMA kusahau nani amemfiksha hapo. Ngazi ilio haribiwa, ni fadhila inayo haibiwa!

- Mtoto mdogo hukanywa na kuambiwa, mtu mzima huambiwa kwa lugha ya mafumbo kama haya! Ndugu mleta Picha, ni mtu mzima gani anayetosha kufananishwa na mtoto aliyedhiliwa, na kisha kusahau fadhila, hasa kwenye siasa za sasa baada ya uchaguzi ulioisha?

4. Kuna Picha ingine, imo humu ya mkono ulionawiri umeushika mkono uliodhoofu as if unauvuta hivi! Ni tafsiri nyepesi sana kuwa..........mtu masikini anayesaidiwa na mtu mwenye uwezo kutoa mali au hali!

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mimi naona kama picha zote ni ujumbe karibu ule ule ila kwa angle tofauti! Hakuna mtoto mdogo humu jf, fb au popote ambaye unaweza ukamdanganya asijue unataka kuwakilisha kitu gani no matter umesomea ni wapi na kwa level gani!

Tunaamini, mlengwa wa picha katuni hizi, ujumbe wako umemfikia na pengne atafikiria FADHILA za kuto bomoa ngazi iliomfikisha hapo alipo. Ataacha kucheza na nyaya za umeme, na kurudi kwenye miti anapo husika.......na kuwasikiliza hao nyani wakongwe! Kumbu kumbu zitamjia ili aache kumwaga mwaga chakula ili arudi kweny gari kama "MTU" na "siyo Nguruwe" ili safari iendelee!

Katika hotuba yake, ngugu Magufuli aliomba Watanzania tumwombee kwani anakwenda kushika nyaya za umeme kwa mikono kama huyo nyani. Na kwakuona umasikini wa Watanzania jinsi walivyo nyong'onyea kama huo mkono mweusi, ndio maana haoni haja ya kusikiliza hao nyani wakongwe ambao furaha yao ni kuendelea kujineemesha wao na familia zao na kuacha watanzania wanyonge wakitaabika kwa shida. Ngazi na Magari na red carpt zilizo mfikisha ikulu ili wakidhani atalinda miradi na masilahi yao, sasa kwa mshangao wao.....anafumua kila kitu (nguruwe anatawanya chakula - tra, bandari, sembe, ardhi nk) walichokitegemea....!

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MWISHO.

Katika mahusiano ya kimapenzi, huwezi kujua mume au mkeo au mchumba wako anawaza kitu gani, ndiyo maana tunashauriwa kuonyesha love kwa vitendo kwa mwenza wako, ili kwa kupitia anachokiona aamini bado unampenda.

SWali, ndugu Uliyejibibu kwa niaba ya jm, unawezaje kujua yaliyo rohoni kwake, kichwani kwake hadi useme alimaanisha hivi au vile....hata kama wewe ni mkewe, bado huwezi kuusemea moyo na kichwa chake ili tukuamini! Lakini basi, kama wewe ndiye jm, mmmmh huoni kama umekosa staha kweli? Kwa level ya uongozi ulizopitia hujutii ni kwanini umepost picha zenye minong'ono ambzo zinaleta tafasiri tofauti za kukuweka wewe kwenye mtazamo wa kijamii kutoka mtazamo A kwenda B?

TUNAMWOMBEA MAGUFULI MAISHA MAREFU na KAZI NJEMA ANAZOENDELEA KUZIFANYA!
 
Nimeamua kuleta hili jibu kwenye uzi mpya kwa faida ya wengi ,
Ni jibu la swali liloulizwa kwenye uzi huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-hizi-picha-unamaanisha-nini-maakubwa-7.html

Wengi tumebaki kumtukana January Makamba , na hata ukiingia kwenye page yake Instagram hakuna mtu mpaka sasa aliye na clue yoyote kuhusu ana chojaribu kueleza January .

Mi mwenyewe zilinichanganya baada ya kuziona , lakin baada ya kukaa na kuzichunguza kwa mda mrefu , angalau kidogo nikapata mwangaza na maudhui ya ujumbe wa hizi picha alizoweka January kwenye page yake ya InstaGRAM

Disclamer : Mimi simjui January na wala sijawahi kuongea nae , hichi ntachoandika hapa ni kwa maoni yangu mwenyewe .

Tuanze kwanza na January . Kwa wale ambao hamumjui , January ana elim ya Uzamili katika Uchambuzi wa Migogoro na Azimio ( MSc in Conflict Analysis and Resolution ) na pia alishawahi kusomea Mafunzo ya Amani .

Picha za January

Kwenye picha 3 alizoweka January , kwanza kabisa katumia mbinu ya tashtit ( satire ) kuleta maudhui ya ujumbe wa picha , anachofanya January ni kuleta maana fulani inayomaanisha maana nyingine kabisa na ile wewe audience unayoweza kufikiria , Kwa kifupi January anatumia michoro ya Paweł Kuczyński mchoraji kutoka Poland anayejihusissha sana na kuchora picha kwa kutumia mbinu ya tashiti ( satire ) zenye kutoa maoni juu ya masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa kupitia tashtit. Unaweza kuona collection ya picha zake nyingine hapa

attachment.php

Maana ya picha za January kwa kufuata mtiririko wa tarehe alizoweka.

Picha namba 1 :
Dont burn your opportunities for a temporary comfort ( Usichome fursa yako kwa ajili ya faraja ya muda )

Ukiangalia vizuri hizo picha , ya kwanza inamuonyesha mtoto akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu ).Huu ni ujumbe mkubwa unaoonekana kwenye picha namba 1 ambao wengi wetu tutajaribu kuuchukulia kijuu juu na bila shaka kufikiri jamaa anawapiga madongo watu fulani kwa kuunganisha na matukio mawili matatu yaliyotokea hivi karibuni.

Picha namba 2 : If Only Animals Were Given the Red Carpet Treatment That Humans Get. ( Kama wanyama tu wangekuwa wanapata heshima ya zulia jekundu ambayo binadam anapata ) .

Ujumbe huu unaweza kuuona kama wa ajabu , wengine kwa tafsiri za haraka unaweza kuuona kama una chembechembe za udini ( Fikra ambayo hata mimi niipata mwanzoni ) , sabab ukijaribu kuangalia kwa jicho la mbele hii picha inaonyesha gari kama ya kiongozi mkubwa au mtu maarufu , mlango umefunguliwa na hao wanyama wametoka ndani , wakatembea juu ya zulia jekundu na kwenda kula huku mlinzi akiwa anawasubiri aweze kuwarudisha heshima ambayo huwa wanapewa viongozi na watu maarufu tu . Tatizo ni hao wanyama ambao ni aina ya nguruwe , kiongozi mkubwa wa nchi alikua wa dini ile ya itikadi kali , Sitaki uingie kwenye udini kama mimi nlivyofikiria mara ya kwanza bali tumia IQ yako ya ziada kuubadilisha huu ujumbe , uuweke kwenye uhalisia wa jamii yetu ya Tanzania. nakuachia wewe uanganishe viulizo ( kwa lugha ya kitashi wanasema Connect the dots ) .

Picha namba 3 : Evolution facebook ( Mageuzi ya Facebook )

Kama zilivyo hizo picha zingine , ujumbe wa picha hii ni mgumu kidogo kuupata , kwanza kuna mambo matatu hapo . Kwanza ni hao watu wawili hapo chini walioko kama sokwe mtu wakiwa wamevalia suti ( hawa nimewaita sokwe wajanja ) na pili ni huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yake , na la tatu ni huo mkia wa huyo huyo mtu aliyevalia kaptula unaonekana umebadilika na kwenda kuwa na alama ya facebook. Sasa unaweza kujiuliza mbona mkia una alama ya facebook , Sasa kwa nini facebook , kwa haraka utapata jibu ya kuwa facebook ni mtandao wa kijamii ambao unakuwezesha kukuunganisha na watu , Sasa kwa nini Facebook ? ni ujumbe gani anajaribu kuuficha January hapa .? Anachojaribu kuongelea January hapa hakiusiani na facebook kabisa , Bali anamaanisha kizazi cha sasa na teknolojia ya mawasiliano ambayo kwa sasa imekuwa kubwa kushinda kipindi cha zama za zamani kidogo , sasa hapa unatakiwa kuweka mitandao yote ya kijamii dunian ( Facebook , Twitter , WhatsAPP etc ) , Huyo mtu baada ya kurukia iyo kamba ambayo ukiangalia kwa umakini unaweza kuona vitu kama nyaya nyingi za umeme na vifaa kwa juu , inamaanisha baada ya kurukia hiyo kamba kwanza alikua amekamata kwa mkono , lakin alipoweka mkia kwenye waya akaanza kupata ufahama wa habari wa mtandao baada ya mkia kuanza kubadilika kuwa na alama na rangi ya facebook ( Facebook evolution ) . na ukiangalia vizuri inaonyesha ya kuwa huo mkia uko kwenye stage ya mwanzo kabisa , maana yake kama ni ufaham basi ndo ameenza kuujua , Je itakuaje akija kubadilika na kuwa facebook kabisa , nikiwa na maana huyu mtu apo juu akija kupata access ya kila punje ya information iliyowawezesha hao sokwe wajanja hapo chini kuvaa suti na kumwacha yeye na kaptula atachukua hatua gani kama akigundua hawo sokwe walivaa suti zao kijanja ? na ukumbuke wakati ye anapata ufaham wa yote hayo hao sokwe hapo chini watabaki kuwa sokwe nikiwa namaanisha bado wamebaki na sura ya mnyama wakati yeye keshapata ufaham ( amekuwa binadam ) , Sasa jiulize ni adhab gani binadam huwapa wanyama ?

Sasa Je ni nini maudhui ya ujumbe katika picha hizi huu .?

Siko hapa kwa ajili ya kutoa maana ya picha , bali ninachojaribu kueleza ni maudhui ya hizo picha , kwa hiyo nitayasema kwa kifupi sana

Picha ya kwanza na ya pili January kazielekeza kwa viongozi wakubwa waliotangulia, sasa kwa yale niliyokwisha ongea hapo juu , unaweza pata picha mwenyewe ni mambo gani January anayojaribu kuwaeleza hawa watu ,

Picha ya tatu inajaribu kuwaambia sokwe wajanja ya kwamba jamaa bado kidogo anakwenda kujua ukweli
Baada ya kuumiza sana kichwa ili kujua ni kwa nini January ameamua kutumia picha kuufikisha ujumbe huu , ilibidi kuanza kumchambua , Mwaka 2014 alishanakiliwa na gazeti la mwananchi akisema Tanzania inahitaji Raisi ambaye atakua dikteta , baada tu ya kutangaza nia ya kugombea urais na moja ya vitu alivyoongelea ilikua ni kuhusu kuanzisha mahakama maalumu itakayoshugulikia ufisadi na mengine mengi. ( Nakuomba kama una mda nenda kasome hiyo habari ), ambapo watu wengi walimpinga wakiongozwa na jarida la Business Times la 24 Oct 2014 pia mwaka 2010 alishawahi kuandikwa na Jarida la economics la marekani akiponda utawala unaotoa ahadi kila siku bila kutekeleza . Baada ya kusoma hayo , mengine mengi na kupitia hizo picha za January Makamba ndipo nikapata hasa maudhui ya ujumbe ambayo amejaribu kuufikisha . Nao unasema

WEWE MWANASIASA ULIYETUMIA UONGOZI WAKO VIBAYA KWA KUWABAGUA , KUNYANYASA NA KUWANYIMA HAKI ZAO WANANCHI , JITAYARISHE MAANA SIKU ZAKO ZIMEKARIBIA KUFIKA MWISHO .

~1. Kuna gari kama ya kiongozi, kuna bodyguard pembeni ya gari, Zulia jekundu kuna Nguruwe.
- Tafsiri ni kuwa, Nguruwe (ambao tuna waona, wametandikiwa red carpet) kwenda au kutoka kwenye gari la kiongozi mkuu anayelindwa kama rais.

- Ina maana kwamba, mtu aliadhaniwa ni kiongozi matekeo yake ni sawa na nguruwe tu! Na nguruwe hukuweka kwa ajili ya dini, nakubali hiyo, ila umemweka Nguruwe kwakuwa ni mnyama ambaye hutumika kuonyesha ukosaji wa kumbukumbu.

Nguruwe (Kiongzi aliekosa kumbukumbu) = Ameshushwa kwenye gari la Kiongozi + red carpet kwenda Kula (iklu?)
# CHAKULA anachotakiwa KUKILA, matokeo yake ANAKIMWAGA MWAGA!

- Kwa Tanzania, nafikiri ni kiongozi mmoja tu ndiye mwenye wadhifa wa kutandikiwa red carpet "kwa mwono wangu" amekosa kumbu kumbu, anamwaga mwaga hovyo njia za kupatia hela.

2. Hiyo ya Nyani, naona kama Manyani wakubwa "walio kwepa mishale mingi" wanamshangaa nyani kijana anadanda danda kwenye nyaya za umeme badala ya kwenye miti na tena, ana mkia wenye herufi kadhaa!
- Je, ni kiongozi anayefanya mambo Fulani ya hatari kama kushika nyaya za umeme ambzo zinaweza kumsababishia hata kifo, bila kuiga mfano wa nyani wazee wanaomshangaa sasa.......kwa akili ya kawaida kabisa ujumbe huu unaenda kwa kiongozi yupi kwa sasa?

3. Mtoto aliye haribu ngazi iliomfikisha hapo chini.
- Maana nyepesi kabisa, ni mtoto mdogo tu ndiye anaye sahau fadhila zilizofikisha mahali pa kuota moto! Ametumika mtoto, kwakuwa haitarajiwi MTU MZIMA kusahau nani amemfiksha hapo. Ngazi ilio haribiwa, ni fadhila inayo haibiwa!

- Mtoto mdogo hukanywa na kuambiwa, mtu mzima huambiwa kwa lugha ya mafumbo kama haya! Ndugu mleta Picha, ni mtu mzima gani anayetosha kufananishwa na mtoto aliyedhiliwa, na kisha kusahau fadhila, hasa kwenye siasa za sasa baada ya uchaguzi ulioisha?

4. Kuna Picha ingine, imo humu ya mkono ulionawiri umeushika mkono uliodhoofu as if unauvuta hivi! Ni tafsiri nyepesi sana kuwa..........mtu masikini anayesaidiwa na mtu mwenye uwezo kutoa mali au hali!

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mimi naona kama picha zote ni ujumbe karibu ule ule ila kwa angle tofauti! Hakuna mtoto mdogo humu jf, fb au popote ambaye unaweza ukamdanganya asijue unataka kuwakilisha kitu gani no matter umesomea ni wapi na kwa level gani!

Tunaamini, mlengwa wa picha katuni hizi, ujumbe wako umemfikia na pengne atafikiria FADHILA za kuto bomoa ngazi iliomfikisha hapo alipo. Ataacha kucheza na nyaya za umeme, na kurudi kwenye miti anapo husika.......na kuwasikiliza hao nyani wakongwe! Kumbu kumbu zitamjia ili aache kumwaga mwaga chakula ili arudi kweny gari kama "MTU" na "siyo Nguruwe" ili safari iendelee!

Katika hotuba yake, ngugu Magufuli aliomba Watanzania tumwombee kwani anakwenda kushika nyaya za umeme kwa mikono kama huyo nyani. Na kwakuona umasikini wa Watanzania jinsi walivyo nyong'onyea kama huo mkono mweusi, ndio maana haoni haja ya kusikiliza hao nyani wakongwe ambao furaha yao ni kuendelea kujineemesha wao na familia zao na kuacha watanzania wanyonge wakitaabika kwa shida. Ngazi na Magari na red carpt zilizo mfikisha ikulu ili wakidhani atalinda miradi na masilahi yao, sasa kwa mshangao wao.....anafumua kila kitu (nguruwe anatawanya chakula - tra, bandari, sembe, ardhi nk) walichokitegemea....!

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MWISHO.

Katika mahusiano ya kimapenzi, huwezi kujua mume au mkeo au mchumba wako anawaza kitu gani, ndiyo maana tunashauriwa kuonyesha love kwa vitendo kwa mwenza wako, ili kwa kupitia anachokiona aamini bado unampenda.

SWali, ndugu Uliyejibibu kwa niaba ya jm, unawezaje kujua yaliyo rohoni kwake, kichwani kwake hadi useme alimaanisha hivi au vile....hata kama wewe ni mkewe, bado huwezi kuusemea moyo na kichwa chake ili tukuamini! Lakini basi, kama wewe ndiye jm, mmmmh huoni kama umekosa staha kweli? Kwa level ya uongozi ulizopitia hujutii ni kwanini umepost picha zenye minong'ono ambzo zinaleta tafasiri tofauti za kukuweka wewe kwenye mtazamo wa kijamii kutoka mtazamo A kwenda B?

TUNAMWOMBEA MAGUFULI MAISHA MAREFU na KAZI NJEMA ANAZOENDELEA KUZIFANYA!
 
Mimi picha za nyani anayebembea kwenye nyaya za umeme pamoja na mtoto aloyetumia ngazi ya kujiokoa kukokea moto nimeelewa pasi na shaka kuwa anamgusa moja kwa moja Magufuli! Hiyo picha ya nguruwe nimeshindwa kabisa kutafakakri!
picha ya nguruwe inaweza kuna na maana viongozi/mawaziri ambao wanasubiriwa kupita katika hilo dhuria jekunde ni warafi kama nguruwe,
 
mkuu huyo ni jm mwenyewe, wala usihangaike kufikiri
 
RobyMi
Lakini hii pia inaweza kuwa ni tafsiri kwa mujibu wa mdadavuzi fulanu:

MAANA YA IZO PICHA ALIZOPOST

Nyani wawili Lets say ni Upara na 'The Outgone boss' (kumbuka kwa Upara kupata ujasiri wa kupost hayo lazima kuna uzito nyuma yake)...binadamu mwenye mkia ni The Bulldozer...Tafsiri sasa..
Nyani wawili wako pembeni wakimuangalia/shangaa binadamu kujidai nyani na kucheza mchezo wa Nyani bila kuomba ushauri, alafu kwenye makazi/mjini wakati wenye mchezo wapo na ni mchezo wa kuchezwa porini (rejea kisa cha manyani katika hadithi ilikua ikisimuliwa mashuleni miaka ya nyuma).

Ya pili, hilo ni tusi...anasema walimfanyia kila kitu yeye alitakiwa kuja na kuenjoy the ride, little do they know wanamtandikia nguruwe red carpet...na unajua nguruwe wanavyojua kujigalagaza kwenye matope na hawajui thamani ya chochote..

! Hizo chain zina wakilisha chama na huyo mtu ni Makufuli.
Anachojaribu kusema chochote atakacho fanya/jaribu kufanya, rangi yoyote atakayo paka...bado amefungwa na minyororo hawezi kutoroka, sana sana ataing'arisha minyororo iliomfunga wakati yeye akiendelea kua mtumwa...😎

Ni kweli kwani hata choice ya the 'Outgone' baada ya Maembe kuangukia pua ilikua ni ni yeye 'Upara' au wale akina mama..lakini Edo akaharibu mchezo wote wakaishia kwa Makufuli wakitegemea 'The outgone' ataendelea kua mwenyekiti na atamcontrol...

Ile ya ngazi ina maanisha,
Mchezo wa porini....mfano wake ni pale unapopewa majina ya wauza madawa na kuwaita chemba hakuna anaejua ulichofanya ukirudi mjini unashusha mkwala mbuzi...😎😎

Hiyo ngazi ni kuwa aliikuta na ni kwenye shimo kuna baridi kali na nje kuna jua na joto badala ya kutumia ngazi atoke shimoni yeye anaamua kuvunja ngazi na kuwasha moto. ....mwisho kuni zitaisha na baridi itamuangamiza shimoni.......Ngazi ni CCM

Ukiangalia post zake zote maana yake ni karibia ile ile..!! Kwani anafeel kua alifanya kazi kubwa sana kwenye kampaini na anahisi kama kwa asilimia kubwa amewezesha Makufuli kua katika nafasi hio. So anaona kama Mheshimiwa kishapata sasa anamuona hafai..ana muignore, as they say alitegemea kua Waziri mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Let's say hiyo ndiyo tafsiri halisi ya Makamba Jr,hivi ni kipi hasa cha muhimu alichokifanya mpaka Dr Magufuli akashinda?Huyu bwana ameonyesha kwamba hafai na si aina ya watu wanaofaa kuwemo ktk cabinet ya Magufuli kwasababu angekuwa anafanya kazi vile anavyojisikia na si vile bosi wake anavyotaka afanye kwasababu eti anajiona amechangia kwa kiasi kikubwa ktk ushindi wake...
what the f.u.ck?Ni afadhali amejionyesha mapema,sikuwahi kumpenda huyu bwana hata siku moja na hii intelligence yake ya bandia.
 
MAHANJU tafsiri ya RobyMi japokua kajitahidi kuandika sana na kufanya research sio sahihi ipasavyo, heri ya Consigliere yenyewe imekaribia zaidi maana aliyotaka JM. Sitabishana na yeyote. Take it or leave it.

Great Thinkers mnakumbuka KICHEKO ALICHOTOA kikwete siku akimkabidhi ofisi JPM? Mnakumbuka alichekeje na alisema kauli gani iliyomchekesha vile?
 
Last edited by a moderator:
Leo analeta picha picha zake baada ya kuangukia pua....walidhani hii nchi ni ya ukoo nn....magufuli atimue panya wote marufuku kuchezea chezea ikulu zetu! atulie tuu dawq iingie.....if you cant resist for the rap lay down for enjoyment
 
Back
Top Bottom