January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Hilo la nguruwe mimi naichukulia hivi ,kwanza kwa imani ya dini fulani Nguruwe ni Haramu ,kwa maana hiyo huyo anayetoka kwenye hilo gari amepewa mamlaka ya kuwatawala Nguruwe hivyo na yeye ni nguruwe tu kama nguruwe wengine

Tusi kubwa saana,inamaana katutukana sie mnguruwe...duh smh
 
Mkuu mimi sijui kamtukana nani ila ndio tafsiri niliyoiona

Mkuu mie tafsiri yangu ipo peupe yaani magu(Christian)ni nguruwe kama Christian wengine...hapa naona vita ya udini inanukiA kavuka Mirada sasa
 
Hapana mkuu , mimi sio JM , sijawah hata kumwona live , nimekaa tu nakufikiria anachomaanisha , nikaona kabla ya kukurupuka kumsemea moyo ni bora nifanye udadisi kwanza .

Mkuu nakushukuru sana kwa kutoa mwanga au picha halisi ya hizo picha za makamba zilimaanisha nn..tatizo lipo kubwa sana mkuu..hivi unajua kuwa ni13%tu ya watanzania wenye elimu ingalau ya sekondari?hivi unajua hiyo masters (uzamili)yake yawezekana haitolewi na vyuo vya kwetu?in short yawezekana kuna watu si zaidi ya kumi hapa nchini wenye fani hiyo?kwa uelewa wangu mdogo ili ujumbe ufike kwa wananchi kwa ujumla.. na nadhani ndo walengwa!unatakiwa ujaribu ku simplify ujumbe wako ili uweze kueleweke vyema!sasa lengo lake bwana jm lilikuwa nn hasa..tumwone kuwa kabobea kwenye hayo masuala au?na ninani ataelewa hayo madude? nina uhakika hata dr jpm hajui hizo picha zina ujumbe gani..comments nyingi zilihusisha hizo picha na mambo ya kishirikina..huoni kuwa bwana jm unajiharibia?usijifanye mjuaji sana na kuleta issue complicated na watu wakakuona wewe ni juha kumbe majuha ni wananchi kwa kuwa hawana elimu hiyo!kazi njema!!!
 
Mkuu mie tafsiri yangu ipo peupe yaani magu(Christian)ni nguruwe kama Christian wengine...hapa naona vita ya udini inanukiA kavuka Mirada sasa

Ni sawa Mkuu kama huo ndio mtazamo wako ,picha hiyo ina maana nyingi ,unless aliyeziweka hizo picha aseme aliziweka akiwa anamaanisha nini ,kwanini kaziweka wakati huu ,au kwanini hakuweka kabla ya uchaguzi ,sina maana ya kumpangia anachopost kwenye account yake ila hizo picha kuziweka sasa hivi ni kuzua mijadala isiyo na maana
Mimi naweza kuchukilia kwamba hawajapenda Yule mkurugenzi wa Muhimbili kuondolewa maana yeye sio nguruwe au Rished Bade
 
Victoire,

Kwa kuwa wewe ni mwanamke sikulaumu sana. Ila nakushauri tu: Get a life. Stop comparing yourself to January Makamba, he's way too higher than you!

U-CCM umekujaa ndugu kila kitu unasifia tu. Unazani utapewa ukuu Wa wilaya? Kama mkwere alivyokuwa anagawa?
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa Mkuu kama huo ndio mtazamo wako ,picha hiyo ina maana nyingi ,unless aliyeziweka hizo picha aseme aliziweka akiwa anamaanisha nini ,kwanini kaziweka wakati huu ,au kwanini hakuweka kabla ya uchaguzi ,sina maana ya kumpangia anachopost kwenye account yake ila hizo picha kuziweka sasa hivi ni kuzua mijadala isiyo na maana
Mimi naweza kuchukilia kwamba hawajapenda Yule mkurugenzi wa Muhimbili kuondolewa maana yeye sio nguruwe au Rished Bade

Ndo hivo mkuu,January anatuita sisi mnguruwe..hana hati miliki ya hii nchi..nguruwe ni yeye mwenyewe
 
Kushika akili za navicha ni rahisi sana, ona sasa Makamba kawashika wote, wanajafili na kufanya hitimisho kitu wasichokijua.
 
tuache utani, hapo january makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, binafsi nimeelewa hivi.
1/makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/makufuli anajimaliza mwenyewe....

kama anamanisha hivyo ulivyotafsiri, basi makamba asubiri adhabu ya wananchi!
 
Sasa hapa Jamii Forum imefika mahala pake, watu watoe majibu kwa kufikiri!, sio kupayuka payuka ka tuko facebook, asante mleta maada, mwenye IQ ndogo utamwona tu majibu yake!
 
Sasa nani wanaolialia? Ukawa au CCM? Huna hoja

UKAWA wanalia lia....wanajitia kuwa magufuli anatekeleza ILANI ya UKAWA!! bah mwana wewe ....magufuli anatekeleza ilani ya CCM tena kwa kufuata KATIBA nzuri iliyopo...ambayo mlitaka kuichakachua ili MTUINGIZE MKENGE.... endeleeni na maigizo ya MISIBA!! wasalimie GEITA!!!
 
Victoire,

Kwa kuwa wewe ni mwanamke sikulaumu sana. Ila nakushauri tu: Get a life. Stop comparing yourself to January Makamba, he's way too higher than you!

Halafu wewe Savimbi,unanuchekeha,how can i compare my self to that useless man?eti a way too higher than me labda kwenye kuwa opportunist,otherwise to me hi is nothing kabisa.Na wewe nina shaka kama ile wizara ya fedha utaipata maana unamtetea huyu mnafiki December,shauri yako
 
Something is not right here. Is it personal Victoire? Why are you talking like that about January Makamba? What harm did he do to deserve all this hatred from you?
 
Last edited by a moderator:
Tuanze kwanza na January . Kwa wale ambao hamumjui , January ana elim ya Uzamili katika Uchambuzi wa Migogoro na Azimio ( MSc in Conflict Analysis and Resolution ) na pia alishawahi kusomea Mafunzo ya Amani .
Humo ndani ya CCM kuna migogoro mingi na watu hawana amani akiwemo yeye mwenyewe January
 
UKAWA wanalia lia....wanajitia kuwa magufuli anatekeleza ILANI ya UKAWA!! bah mwana wewe ....magufuli anatekeleza ilani ya CCM tena kwa kufuata KATIBA nzuri iliyopo...ambayo mlitaka kuichakachua ili MTUINGIZE MKENGE.... endeleeni na maigizo ya MISIBA!! wasalimie GEITA!!!

Hauakisi jina la Putin hata kidogo inaonyesha wewe Ni walewale baada ya muda mfupi utaanza kulia. Mwenzako January kaanza kulia.
 
Je, tunahitaji ujumbe uliofichika/controversial katika such a turbulent political environment Kama ya sasa?!
 
Back
Top Bottom