January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Makamba unalo. Huu mvurugano umeutaka mwenyewe kwa kupenda masifa whether you meant it or not. Lazima uepuke vitu vyenye tafsir tata! Mambo km haya yanaweza kusababisha vurugu kubwa ndani ya jamii. Km kiongozi unapaswa kulifaham hili!
 
picha zote tatu zinawasilisha ujumbe mmoja ambao umewasilishwa kwa kutumia paragraph tatu. Kila picha moja ni paragraph moja! Paragraph 1. Mwandishi anaujulisha umma wa watanzania kuwa kuna mtu alikuwa na shida kubwa ya kufika mahali fulani lakini (ndani ya nyumba) lakini hakuwa na uwezo halali wa kuingia ndani ya nyumba kwa kupitia njia halali (mlangoni)! Hivyo wapambe wake walikuwa na njia moja tu ya kumsaidia ili aingie ndani ya nyuma, waliamua kutoa paa la nyumba kimabavu halafu akapanda kwa ngazi mpaka juu, halafu hiyo ngazi ikaingizwa ndani ya nyumba na akaitumia kuingia ndani ya nyumba! Alipofika ndani ya nyumba, ilitegemewa awakaribishe waliomsaidia kuingia ndani ya nyumba ili wafaidi wote na nyumba iezekwe tena (gharama zilizotumika zirudishiwe)! Kinyume chake jamaa alipoingizwa ndani, hakuwakaribisha wenzake ndani, badala yake aliamua kuichoma nyumba na kuteketeza vyote vilivyokuwa vinatamaniwa yaani vichaka vya ufisadi! (kwa kutumia kuni kutoka kwenye ngazi aliyoitumia kuingia ndani). Ujumbe kwa mhusika ni kwamba, vitu vinavyotamaniwa vitateketea vyote na yeye atabaki humo peke yake maana hakuna atakayekuwa na hamu ya kuingia humo na hata kama akitaka kutoka hataweza maana ngazi itakuwa imeteketea! Anapewa ujumbe kwamba ajiandae kwa upweke! Paragraph 2. Paragraph ya pili inampa ujumbe mhusika kuwa asijidanganye kuwa ataendelea kufanya anavyotaka maana wale aliowawekea kauzibe watamfunga mnyororo wa njano yaani chama kitatumika kumdhibiti na atalazimika kufuata matakwa ya chama wala siyo anayofikiri kichwani, (ndio maana anaoneshwa akiwa hana kichwa na amefungwa mnyororo). Paragraph ya tatu wazee wa awamu zilizopita wanaskitika kuwa picha yao halisi imefichuliwa yaani picha ya unyama unyama tu pamoja na kwamba wamevaa suti lakini watu wamejulishwa kupitia mitandao ya kijamii kama fb na nk! Lakini mhusika anaambiwa kuwa ataanguka! Ndio maana ameoneshwa akiwa ameanguka na yuko kifua wazi yaani ni kwamba wanategemea kumuumbua pia! Ili watu waone machafu yake! Kwa kifupi ujumbe kwa picha unasema tumekubeba ukatusahau nasi tutakushughulikia! Umetuumbua tutakuumbua! Huu ujumbe umetolewa na watu wenye hasira! Wanamtisha hata rais! Tumwombee rais wetu ili wanaotaka kumchimbia shimo watumbukie wenyewe!

😡 mossad ii
cc
 
Januari ni mchoraji?

Shangaa na wewe. Yaani kiongozi ana-copy na ku paste picha watu waone bila kutoa ufafanuzi wa maana halisi ya picha hizo. Kinachoshangaza zaidi anajua jina la mchoraji lakini je amehangaika kutafutia mahudhui halisi aliokuwa nayo mchoraji wa picha hizo? Je mchoraji huyo alitaka kusema nini hasa kwa watazamaji wake?Je kili kuwa kipindi gani? etc. Je yeye kama January alijua watanzania wengi na uelewa wao watatafsiri vipi? Kwanini ilikuwa lazima ku post kipindi hiki? etc. Ivi alifikiria hayo yote kweli au ndio mwendelezo wa vi jembe kama ilivyokuwa Ada kwa serikali iliyopita?
 
HAKUNA ALIYE AU ANAYE HITAJI FADHILA KWA MWINGINE HAPA tunaongelea kitendo chavM/KITI mtarajiwa wa C.C.M kuiacha ilani ya chama na kuanza kuendesha maswala bila kufuata ILANI YA C.C.M!
"HATA WALE WANAUSHINDI WA C.C.M WANAONEKANA SI KITU KWAKE?

J.MAKAMBA NAUNGANA NAWE 100%

Mafisadi papa hapo
 
attachment.php


Nyani wawili ni Makamba na JK,
kumbuka kwa Makamba kupata ujasiri wa kupost hayo lazima kuna uzito nyuma yake)...binadamu mwenye mkia ni Magufuli..Tafsiri sasa.
Nyani wawili wako pembeni wakimuangalia/shangaa binadamu kujidai nyani na kucheza mchezo wa Nyani bila kuomba ushauri, alafu kwenye makazi/mjini wakati wenye mchezo wapo na ni mchezo wa kuchezwa porini.
Ya pili, hilo ni tusi,
anasema walimfanyia kila kitu yeye alitakiwa kuja na kuenjoy the ride, little do they know wanamtandikia nguruwe red carpet...na unajua nguruwe wanavyojua kujigalagaza kwenye matope na hawajui thamani ya chochote.

Hizo chain zina wakilisha chama na huyo mtu ni Magufuli.
Anachojaribu kusema chochote atakacho fanya/jaribu kufanya, rangi yoyote atakayo paka...bado amefungwa na minyororo hawezi kutoroka, sana sana ataing'arisha minyororo iliomfunga wakati yeye akiendelea kua mtumwa.
Ni kweli kwani hata choice ya Kikwete baada ya Membe kuangukia pua ilikua ni Makamba lakini Edo akaharibu mchezo wote wakaishia kwa Magufuli wakitegemea Kikwete ataendelea kua mwenyekiti na atamcontrol...
Ile ya ngazi ina maanisha,
Mchezo wa porini....mfano wake ni pale unapopewa majina ya wauza madawa na kuwaita chemba hakuna anaejua ulichofanya ukirudi mjini unashusha mkwala mbuzi.
Ila pia hiyo ngazi inaonyesha mpandaji hatofika anakotaka kufikia nafikiri anamaanisha hiyo ngazi ni system huwezi jitengenezea ngazi bila kuwashirikisha wanasystem.

Ukiangalia post zake zote maana yake ni karibia ile ile, Kwani anafeel kua alifanya kazi kubwa sana kwenye kampeni na anahisi kama kwa asilimia kubwa amewezesha Magufuli kua katika nafasi hio. So anaona kama Mheshimiwa kishapata sasa anamuona hafai..ana muignore, as they say alitegemea kua Waziri mkuu.

TUNAJIFUNZA NINI WANAJF KATIKA HILI JAMBO!!!!
 

Attachments

  • 12314134_761531870659929_8192702638647478289_n.jpg
    12314134_761531870659929_8192702638647478289_n.jpg
    41.5 KB · Views: 1,905
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.

Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.

=======

Kasema sio account yake hiyo
 
"every action has equal and opposit reaction" ~

hayo ni majungu ya j.m yeye ndo aliyoongoza i.t, kamati ya ushindi ya uchaguzi, yeye ndio alikuwa chanzo cha system za chadema kukamatwa za ukusanyaji wa data wa computer,nasikia ni mtaalamu wa i.t, sasa nguvu zote, jitihada zote. Mungu kamgeuza Mwenye kaya wa sasa, hajawa kama walivyotegemea, na bado watataharuki na kushangaa. wengine watadodondoka kwa pressure, si yeye tuu. wote waliohusika macho yatawatoka sasa, na jasho linawatoka,Kuna watu watakimbia nchi hii kwa aibu,daaah kweli njia za Mungu si za binadamu.Mungu mwache aitwe Mungu, Mungu awatie upofu, awapige na maradhi yakutokuinuka wote wanaopeleka message mbaya za direct au indirect za kumtakia mabaya Raisi wetu. JPM! wanahaha sana! na bado tutaangusha ngome zote za mafisadi na za wauza poda! Magufi will put this country where it belongs! uyu kweli anajua uchungu wa sisi watanzania, wengine ni wanafiki tuu kama alivyosema Raisi baada tuu ya kuapishwa, mtu yoyote atakayeinua mdomo kumtakia mabaya Raisi wangu mabaya katika vita hivi namuomba Mungu icho anachotamka kimpate yeye hapohapo. bila kuchelewa. In Jesus name. Amen
 
attachment.php


Nyani wawili ni Makamba na JK,
kumbuka kwa Makamba kupata ujasiri wa kupost hayo lazima kuna uzito nyuma yake)...binadamu mwenye mkia ni Magufuli..Tafsiri sasa.
Nyani wawili wako pembeni wakimuangalia/shangaa binadamu kujidai nyani na kucheza mchezo wa Nyani bila kuomba ushauri, alafu kwenye makazi/mjini wakati wenye mchezo wapo na ni mchezo wa kuchezwa porini.
Ya pili, hilo ni tusi,
anasema walimfanyia kila kitu yeye alitakiwa kuja na kuenjoy the ride, little do they know wanamtandikia nguruwe red carpet...na unajua nguruwe wanavyojua kujigalagaza kwenye matope na hawajui thamani ya chochote.

Hizo chain zina wakilisha chama na huyo mtu ni Magufuli.
Anachojaribu kusema chochote atakacho fanya/jaribu kufanya, rangi yoyote atakayo paka...bado amefungwa na minyororo hawezi kutoroka, sana sana ataing'arisha minyororo iliomfunga wakati yeye akiendelea kua mtumwa.
Ni kweli kwani hata choice ya Kikwete baada ya Membe kuangukia pua ilikua ni Makamba lakini Edo akaharibu mchezo wote wakaishia kwa Magufuli wakitegemea Kikwete ataendelea kua mwenyekiti na atamcontrol...
Ile ya ngazi ina maanisha,
Mchezo wa porini....mfano wake ni pale unapopewa majina ya wauza madawa na kuwaita chemba hakuna anaejua ulichofanya ukirudi mjini unashusha mkwala mbuzi.
Ila pia hiyo ngazi inaonyesha mpandaji hatofika anakotaka kufikia nafikiri anamaanisha hiyo ngazi ni system huwezi jitengenezea ngazi bila kuwashirikisha wanasystem.

Ukiangalia post zake zote maana yake ni karibia ile ile, Kwani anafeel kua alifanya kazi kubwa sana kwenye kampeni na anahisi kama kwa asilimia kubwa amewezesha Magufuli kua katika nafasi hio. So anaona kama Mheshimiwa kishapata sasa anamuona hafai..ana muignore, as they say alitegemea kua Waziri mkuu.

TUNAJIFUNZA NINI WANAJF KATIKA HILI JAMBO!!!!


Ur right almost 100%...

Very good interpretation...!! I suggest, Rais Magufuli, awe MACHO sana sanaaaa na huyu January Makamba, na huyu JM hayuko peke yake, so USALAMA TISS, "must" quickly increase strict security to the President Magufuli... ASAP, on top of that, TISS must call JM and ask him strict intelligence qns under closed doors, this is the BIGGEST threat to our President, and JM must be pinned down and accountable...!!!

JM bado kajisahau kabisaaaaaaaa, kuwa JK bado yuko madarakani, so he can DO WHATEVER he wants, when he wants, where he wants, to whoever he wants in this country...!!
JM, amtishia RAIS...!? Omg, i believe JK alimlea vibaya sana huyu kijana...

Rais Magufuli, he should ACT now, huyu JM na group lake ni THREAT sana kwa Rais Magufuli...!! Na Rais naamini atachukua hatua, HAKUNA MTU anatakiwa kudhubutu kumtisha maisha ya mwananchi yeyote, SASA RAIS wa nchi anatishwa...!!?

TISS, 💉✂💉✂ vaeni ushetani kidogo now..!! Fanyeni yenu..!
 

mbona kama waugwana mnajicontradict wakati naona picha ziko wazi sana
1.kwa kuzitafsiri kama zilivyo namba moja naona ni mtu anayejaribu kuchoma fursa opportunity kwa kujipa comfort ya mda mfupi...ni kama neno usiache mbachao kwa msala upitao..kusikia baridi kidogo kaamua kuchoma ngazi badala ya kujiokoa
2.hii nadhan inaonesha greedy leaders wa afrika ambapo naweza waweka mafisadi in general..yaani ukiacha magari ya kifahari na ulinzi wote lakin wanavyobehave ni kama nguruwe...
3.ni era tuliyofikia ya social networks ambapo binadamu wamekuwa wanafanya mambo ya kinyama hadi wanyama wenyewe wanaonekana wastaarabu..kama vile kupost nude picture na mengineyo..:smash::smash:
tusimhukumu january labda aalikosea tu kupost mda kama huu..cc lengo ni kujoin psychology dialogue sipo SIASA:hand::hand::hand:
 
Mkuu JPM

Ni rais wa watanzania wote , bila kujali vyama .

Anachofanya sasa ni kwa ajili ya watanzania wote na hasa waliowekwa kando na mfumo uliopita .

Sasa hizi katuni na sijui uchambuzi hauna maana yoyote.
 
Achana na hy jamii ya makamba....ni wanafki balaa.
maana ya picha zote ni kejeli, na kejeli kwa leo kutoka kwa makamba lazima itahusiana na uwaziri mkuu, uraisi aliukosa siku nyingi, na mawaziri hawajatangazwa kwa hiyo anatoa kejeli kwa kuachwa kama waziri mkuu, ukiangalia picha kwa picha , picha ya kwanza iko direct, anatusema sisi watanzania kuwa tumezungukwa na ukuta mkubwa mrefu wa giza na baridi, lakini hatutafuti ngazi ya kutoka tunaona heri kutumia ngazi kupata joto kuliko kupata uhuru wa maamuzi ya kudumu. maana yake kwa mtazamo wa leo tunashangilia short term issues ambazo hazina faida long term, i may believe ni kumsema magufuli style. picha ya pili ni jinsi ya kuonyesha dhihaka ya tofauti kati ya utawala na wananchi, wanachi ni nguruwe, naa utawala umekuja kuwatembelea wananchi na benzi na red carpet kuja kuwaona wanachi wanavyo kula pumba, na wananchi wala hawajali, benz siyo muhimu, muhimu pumba, na zinaliwa hata na kusazaa. hii ni dhihaka ya tabaka. ya tatu ni dhihaka ya tabaka ya vijana na wazee, maana heri yaa kuwa uchi na ubinadamu na kuchanganywa na mitandao ya dunia, kuliko kuwa na nguo na akili ya nyani,
 
Aisee! ! Mwacheni jamaa wawatu. Unajua chuki zingine zisizo na msingi Mungu hugeuza kuwa baraka ili mzidi kufedheheka.
Baraza la mawaziri likitangazwa uje tena tujadili
Hakuna cha chuki hapa. Nimchukie kwa lipi, wewe ndiye unayetetemeka nao. Nenda kawabrashie viatu, you never know labda nawe utapata kama yule jamaa aliyepata. Mzee William Shelukindo alimlalamikia Mhe. YM wakati huo akiwa KM wa CCM kuhusu hizo rafu, aliishia kuchekwa tu!!! He is special to you, he is not that special to me. hata akiwa waziri, to me he is not that special. Nijuacho ni beneficiary wa kubebwa. Mtoto wa mkulima katika nyakati hizi hawezi toka chuo moja kwa moja kufanya kazio IKULU. Ilikuwa zamani sio sasa. Anyway, this country belongs to a certain group. I think Dr. JPM is on the way on taking the country back to countrymen.
 
Back
Top Bottom