January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

nasikia kati ya familia ya wanasiasa inayo ongoza kwa kuamini ushirikina ni hii makamba family.

wanao ifahamu wanasema kuanzia baba yao mpaka watoto, wote ni wahudhuriaji wakubwa wa waganga wa kienyeji na eti wamedhuru mahasimu wao wengi kwa ushirikina.

hofu yangu isije wakaunganisha nguvu kumdhuru magufuli endapo huyo ndg. yao atatoswa uwaziri.ni mtizamo tu.

tukumbuke shetani yupo kazini masaa 24 kukwamisha juhudi ya binadamu wema.
 
HAWA VIJANA WALIOLEWA KIBURI NA NANI VILE NDIO WALIOIUA CCM/ BAADHI WALITHUBUTU KUWAADHIBU BABA ZAO KWA MAKOFI!/JEURI YA KIBURI!
ii
 
Mkuu kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji sio ushirikina bali ndo tamaduni na mila zetu sisi wa Afrika usipotoshe hata ww huenda ukawa mzoefu sana wasafari hizi za kitamaduni kuliko January.
 
Wewe ni nani? Ulipaswa kuongea hayo kwenye serikali ya UKAWA! Hukuchagua CCM kwahiyo huna haki ya kutoa mawazo ya nani anafaa na nani hafai!

Uekua na jazba sana mh February mauzi, kama sio wewe basi unaishi kwa hisani ya March mawaya
 
Kama kweli amempiga chini namuunga mkono. Asimweke hata mmoja aliye kuwa waziri wakati wa Kikwete labda mheshimiwa Lukuvi tu
 
Mkuu haya lazima tuulize!

Ifikie wakati watanzania tuwe makini sana na Hawa viongozi wetu,ikitokea wanamuua au kumdhuru kiongozi mzalendo wa nchi yetu kama magufuli nasi tusilale kwavyovyote vile tulipize kisasi maana wamezoea Hawa,iwe jukwaani,ofisi,mkutanoni,ktk msafara,nk tuwalipue ili nao waone kuwa watz tumechoshwa na ujinga wao.
 
serekali mpya itagusa mambo ya serekali ya jk sasa kuna umakini wa kuchagua kwa maana wapo mawaziri wanaoamini kwenye vigenge na waliowaibua hivyo unaweza kushindwa kuongoz
 
Ongeeni Ya Makamba Kuja kutahamaki Riz moko kapewa wizara sijui itakuaje?
 
Hili ni janga lingine kwa taifa. Angepita basi nchi yangu nisingeielewa.
 
Kitendo cha January Makamba kupost picha twitter ambazo zina maana tata kimeibua minong'ono kuwa mbunge huyo wa Bumbuli amepigwa chini kwenye baraza la mawaziri.

Hivyo atabaki mbunge tu kama wabunge wengine.

Endapo itakuwa ni kweli basi hii moja ya mambo ambayo wananchi hawakutegemea kabisa huku wachache waliamini angeweza kuwa waziri mkuu na wengi wakiamini angeweza kuwa waziri na si naibu waziri.

Hakuna siri kuvuja ktk utawala huu. Hivyo usingeandika tetesi bora ungeandika utabili.
 
Back
Top Bottom