January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Mkuu mie tafsiri yangu ipo peupe yaani magu(Christian)ni nguruwe kama Christian wengine...hapa naona vita ya udini inanukiA kavuka Mirada sasa

Mkuu upo wrong

Na hiyo picha ya NGURUWE NI TUSI TENA TUSI DHAHIRI
LIKISUKUMWA NA DHAMIRI
.anasema walimfanyia kila kitu yeye alitakiwa kuja na kuenjoy the ride, little do they know wanamtandikia nguruwe red carpet...na unajua nguruwe wanavyojua kujigalagaza kwenye matope na hawajui thamani ya chochote..

BADO TATIZO NI UWAZIRI MKUU
huyu JM sjui Alitaka vipi ila kusema sjui vita ya udini hyo hapana nkuu mbona sabath ni haram hyo mkuu.
Jifunze kuutanua ubongo kufikiri zaidi
 
Halafu wewe Savimbi,unanuchekeha,how can i compare my self to that useless man?eti a way too higher than me labda kwenye kuwa opportunist,otherwise to me hi is nothing kabisa.Na wewe nina shaka kama ile wizara ya fedha utaipata maana unamtetea huyu mnafiki December,shauri yako
huyo sio yule aliyekuwa naibu,huyo ni mwenzake Juliana shonza,yule wa kiume
 
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.

Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.

=======

uhalisia hiyo picha inamaana kuwa Magufuli anajaribu kuchoma ngazi iliyomuingiza shimoni bila kujua atatoka vipi?
Ngazi zenyewe ni CCM , Wafanyabiashara , na yeye kamati ya ushindi na faraja ni kushangiliwa na wananchi.

Na ile ya mtu ananinginia kwa mkia wa fb, anajaribu kuonesha Magufuli ameacha washauri halisi na kufarijiwa na washabiki wa fb,
Kifupi ni kuwa makamba ni mwanasiasa na nimeangalia post zake insta kabla nyingi ni za kisiasa, na hizo zote lazima ziwe zinatafsiri juu ya maswala ya kisiasa
2., Pili sijaona post yoyote ya Makamba akisifu Juhudi za mabadiliko ya kimfumo zinazofanywa na Magufuli au akikoment nazani kaamua kutumia picha
3,. Naona wazi kabisa makamba kadhamilia kumkosoa magu kwani coment tokea picha ya kwanza watu walihusisha na madongo kwa magufuli lakini bado akaendelea kupost tu picha za aina ile ile
 
Yeah! Mkuu hapa kidogo unaweza kuwapatia watu pakuanzia kupata majibu na tafsiri yake.Nakuunga mkono kabisa kwa kusema hakuna mahali hata kidogo pakionekana January Makamba akimsifu Magufuli.Na hii ni dalili ya uchu wa madaraka.
 
MAHANJU tafsiri ya RobyMi japokua kajitahidi kuandika sana na kufanya research sio sahihi ipasavyo, heri ya Consigliere yenyewe imekaribia zaidi maana aliyotaka JM. Sitabishana na yeyote. Take it or leave it.

Great Thinkers mnakumbuka KICHEKO ALICHOTOA kikwete siku akimkabidhi ofisi JPM? Mnakumbuka alichekeje na alisema kauli gani iliyomchekesha vile?

Nyamguluu! Umeambiwa hakuna mahali popote January Makamba ameonekana akiunga mkono juhudi za Magufuli za ya kupost picha zenye tafsiri ya wivu. Nachoshukuru ni kwamba huyu jamaa haangalii sura na yeye anajua jinsi alivyopenya kule mkutano mkuu wa CCM! Ana imani kabisa kwamba kati ya watakaomkwamishi ni wale ambao hawakufurahia jina lake kupenya na kugombea urais, nina imani kati ya watu ambao hawakufurahia nafasi ya Magufuli kua Rais ni mapoja na J.Makamba.
 
Last edited by a moderator:
Magufuli songa mbele,hatukuungi mkono kwa sababu ya ukristo wako Bali uchapakazi.
Endelea kuyatumbua majipu,Mungu yupo pamoja nawe na Watanzania tunakuombea dua
 
Nyamguluu! Umeambiwa hakuna mahali popote January Makamba ameonekana akiunga mkono juhudi za Magufuli za ya kupost picha zenye tafsiri ya wivu. Nachoshukuru ni kwamba huyu jamaa haangalii sura na yeye anajua jinsi alivyopenya kule mkutano mkuu wa CCM! Ana imani kabisa kwamba kati ya watakaomkwamishi ni wale ambao hawakufurahia jina lake kupenya na kugombea urais, nina imani kati ya watu ambao hawakufurahia nafasi ya Magufuli kua Rais ni mapoja na J.Makamba.

Magufuli ana uhakika kuwa hata hiyo 2020 mashabiki wa Lowasa watampitisha tena kuwania urais kwa tiketi ya CCM.
 
Mtoa Mada umeandika kwa msaada wa January, inawezekana wewe ni February
 
hivi hamuoni uo mkia wafanana na Facebook...fikirien Teena acheni bifu..humu si kwa great thinker humu ..mbona naona vilaza Wa fikra mtoa maada Hugo jamaa uliyemquote yuko sawaa..
 
Januari kama mtoto tu uwaziri 2030 kama Mungu atamweka
 
Picha ya nguruwe na red capert, ngurume ni mnyama haramu kwa dini ya makamba hasitahili kuliwa, Magufuli kwa CCM ni haramu, maana kafika ikulu bila wao kupanga, yan ni haramu ilioingiza ikulu, na kuwekwa kwenye red carpet na gari la fahari, sasa shukuran za haramu ndio izo, badala ya kula tu kiustaarabu sasa anakura kwa kumwaga chakula ovyo.

2. Picha ya facebook na kudandia miti, waliotangulia ni manyani, yan hawakuwa na utu hawa watangulizi wa magufuli, lkn pamoja na unyani wao (kutokuwa na utu) bado wana heshima ya utu maana wamevaa suti na wanapata heshima. Sasa huyu aliekuja ana jamii ya unyani, ndio maana anapita kwa kudandia miti au nyaya kama nyani lkn yeye ana sura ya utu, pamoja na sura yake ya itu hana nguo huyu yupo uchi, wakati kashikiliwa na mikia ya facebook, yan kama alivosema mtu mmoja nyuma huko, magufuli anajifanya mtu kwa kushangiliwa na social media kumbe na yeye ni jamii ya nyani, lkn tangu lini mtu akadandia miti kama nyani, bila shaka kuumbuka kwaja.

Kuna picha ya mtu anapaka rangu minyororo aliojifunga, hapa napo ni kumwambia magufuli, chuma akibadilishwi kwa kupakwa rangu kwa juu, itabadunduka, so ni kejeli kwamba anafanya kazi nyepesi.

Picha ya kuchoma ngazi ipo wazi.

Picha ya mkono mdogo juu ya mkono mkubwa mweupe, angalia ule mkono ni wa mzungu aliemshika mwafrika aliekonda. Oanisha juhudi za kina makamba na kumfikisha JPM ikulu, kazi anazofanya mahufuli, hulka ya ccm na tafsiri ya picha ya carpet.

Ushauri, magufuli songa mbele, tutakukumbuka zaidi ya chairman Mao tse tung
 
Sasa najua maneno ya makufuri aliposema tumuombee, hii kwa makamba ni kashifa mbaya sana,

Rais makufuri songa mbele tunakuombea sana, hata wakikunyima uenyekiti usiwe na hofu, historia itaandikwa kuwa unania njema ya kuwasaidia watz..

Makamba nmekudharau sana sana sana... ila mtaisoma no,
 
Tafsiri ni nyingi tu kupitia picha hizo, lakini wengi tutabase kwenye siasa + mchakato wa uwaziri + Magufuli kujionyesha alikuwa pandikizi la Upinzani ndani ya CCM(kutokana na kuwa na misimamo ya kiupinzani na kuanza kuifanyia kazi).
 
Picha namaba mbili penye maneno anajifanya mtaalam wa fani yako, nieitafakari pale pana nguruwe watano halafu katikati zulia likatenganisha nguruwe wawili kushoto na watatu kulia, ukitafakari inabidi urejee kilichotokea kwenye uchaguzi wa mgombea CCM wawili walikatwa kati ya watano sasa hii inamanisha huenda kuna mtu hata uwaziri hata upata.
 
nilimdharau january baada ya helicopter ya CCM kupata ajali akiwemo filikunjombe /(R.I.P) Huyu huyu alikanusha kuwa helicopter zote zipo salama
Alikuwa sawa, kwa sababu chopa iliyopata ajali na kugharimu maisha ya Fillkunjombe haikuwa imekodiwa na CCM bali Filkunjombe mwenyewe, kwa hiyo helcopter zote zilizokuwa chini ya usimamizi wa ccm zilikuwa salama.
 
Makamba hapa kwisha habari yako.Huyo ameshakuwa Rais tayari,iwe mlimtaka au hamkumtaka,sasa kumpiga vijembe vya kinyani na nguruwe haitakusaidia.
 
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.

Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.

=======

UPO TOFAUTI KABISA NA MADONGO YALIYOTUPWA!
PIC /1
******
KIJANA ANATUMBUKIA KTK SHIMO KWA NGAZI ANAVUNJA VIPANDIO VYA NGAZI NA KUWASHIA MOTO,JE MOTO UTAKAPO CHACHAMAA ATATOKAJE NDANI YA SHIMO // MEANS--->>MOTO ANAOUWASHA HAUTAMBAKISHA MUWASHAJI// MAJUNGU TU.

PIC/ 2
******
UTASHUKA KTK KITI NA UTAENDA KULA NA NGURUWE// HOW?

PIC/ 3
*******
YULE ALIYEKUWA MWENZETU KATUGEUKA / AMEKUWA JINN LA KUTUANGAMIZA!/

Hii ni yafsiri yangu binafsi KWA upeo wangu wa kutafakari!
 
Jamaa akiukosa uwaziri si itakuwa vita jamani!
 
Back
Top Bottom