January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Yule hana maujuzi ya fedha na uchumi,nenda kwenye thread ya CEO wa NHC ndo utajuwa kabisa pasipo shaka kuwa HAMYD ni Savimbi.

ndugu nimekukubali..kwakweli ni yeye..ni kama chimwa na mkuu wa kaya ya kino
 
HAKUNA ALIYE AU ANAYE HITAJI FADHILA KWA MWINGINE HAPA tunaongelea kitendo chavM/KITI mtarajiwa wa C.C.M kuiacha ilani ya chama na kuanza kuendesha maswala bila kufuata ILANI YA C.C.M!
"HATA WALE WANAUSHINDI WA C.C.M WANAONEKANA SI KITU KWAKE?

J.MAKAMBA NAUNGANA NAWE 100%

Ndugu...nimecheka sana...Kiukweli mimi nimtu wa Mabadiliko kwahiyo sikusumbuka kutaka kujua ilani ya CCM inasemaje...manake tunajua nileile....sasa kama RAIS kuwadabisha wanaoendelea kuifilisi Nchi kwenu mnaona sisawa...Mlitaka kuwafanyaje watanganyika? Kwakweli tunapata mashaka makubwa sana nahiyo CCM yenu unamlalamikia Rais ikiwa hata Baraza la Mawaziri hajatangaza ulitaka awateue kwenye Nafasi gani...au ndio unathitisha Kilio cha JMakamba hadi kuweka Picha zakijnga huko kwenye Page yake kwamba aliamini atakuwa PM.....
 
Picha ya kwanza- kiongozi anajisahau kama kilicho mshusha huko shimoni ni ngazi, ambayo ndiyo wananchi,kiongozi anaanza dharau,kiburi, majivuno na kijiona yeye ndiyo anastaili kura nchi, na ndiyo huo moto anao uota peke yake.

Picha ya pili- wananchi wanaochangia viongozi ambao kwa heshima zote walitegemea kuwa watawatumikia, lakini ni kinyume chake, viongozi ni walafi, wanaroho mbaya zaidi ya mavampire,wanasahau kama wako pale ni kwajili ya wananchi

Picha ya tatu- masokwe ni viongozi ambao ni viongozi ambao walio tegemea mjumbe waliomtuma atafikisha ujumbe kwa jamii. Lakini mjumbe baada ya kikisoma kizazi utandawazi kaona bora nae abadilike ili aendane na kizazi cha Facebook, whatsap, jamii forum,Instagram, maana kizazi hiki hakuna kitakachoweza kifichika. Amewaacha masokwe wenzake wasiotaka kubadilika wanashanga. Lol!
 
Nadhani wanaomkosoa Makamba kwa alichopst kwenye page yake ndio wenye makosa. Wangefanya la maana kutaka kujua tafsiri ya picha hizo kutoka kwake. Michoro ya picha ina tafsiri nyingi lakini mwenye tafsiri ya kweli ni yule aliyechora kwa sababu alifanya hivyo kutokana na ujumbe alionao kichwani kwake

Hapo umenena kamanda,coz hizo katuni alizopst JMakambo kila anaefsiri lzm zimletee maana,cha msingi jamaa atueleze anamaanisha nin
 
picha ya kwanza- kiongozi anajisahau kama kilicho mshusha huko shimoni ni ngazi, ambayo ndiyo wananchi,kiongozi anaanza dharau,kiburi, majivuno na kijiona yeye ndiyo anastaili kura nchi, na ndiyo huo moto anao uota peke yake.

Picha ya pili- wananchi wanaochangia viongozi ambao kwa heshima zote walitegemea kuwa watawatumikia, lakini ni kinyume chake, viongozi ni walafi, wanaroho mbaya zaidi ya mavampire,wanasahau kama wako pale ni kwajili ya wananchi

picha ya tatu- masokwe ni viongozi ambao ni viongozi ambao walio tegemea mjumbe waliomtuma atafikisha ujumbe kwa jamii. Lakini mjumbe baada ya kikisoma kizazi utandawazi kaona bora nae abadilike ili aendane na kizazi cha facebook, whatsap, jamii forum,instagram, maana kizazi hiki hakuna kitakachoweza kifichika. Amewaacha masokwe wenzake wasiotaka kubadilika wanashanga. Lol!

kwangu upo sawa mkuu
 
Achana na hii jamii lao kuu ni kujipendekeza, like a son like a father. Bora kajijua na kujiweka fungu la KUKOSA
 
Kila mtu anaweza kutoa tafasiri yake ya hizo picha. Kwangu mimi zina tafsiri moja tu nayo ni ANGUKO LA KUJITAKIA LA UKAWA!

1)
Hiyo ya shimo na ngazi inaonyesha jinsi mwenyekiti wa CDM anavyoteketeza makamanda waliokifikisha chama hapo kilipo mmoja baada ya mwingine nakuwaita WASALITI. NANI ATABAKI...?

attachment.php



2) Hiyo ya nguruwe si ndio rahisi zaidi? Yaani mtu anafanya maandalizi babu kubwa, ikiwa ni pamoja na kuainisha na kuchambua NGURUWE, halafu .......DUH! MATUSI SIPENDI!

attachment.php
 
Nimejifunza kitu kupitia uwasilishaji wa maalifa
kwa mtindo wa picha.
book_PawelKuczynski18.png
PawelKuczynski21.jpg
 
HAKUNA ALIYE AU ANAYE HITAJI FADHILA KWA MWINGINE HAPA tunaongelea kitendo chavM/KITI mtarajiwa wa C.C.M kuiacha ilani ya chama na kuanza kuendesha maswala bila kufuata ILANI YA C.C.M!
"HATA WALE WANAUSHINDI WA C.C.M WANAONEKANA SI KITU KWAKE?

J.MAKAMBA NAUNGANA NAWE 100%

Hovyooooooo! Mtaisoma namba kwa sanaaaaaaaaaa!
 
mmmh!!! lets wait and see but politics is more difficult than arts
uPM umepita lakini bado wizara ziko wazi japo kuna tetesi kuwa hazitazidi 15, na unaibu bado upo!
"Napenda nikwambie ukweli mwenyekiti, umezungukwa na wanafiki ndani ya chama" - JPM (baada ya kuidhinishwa na Mzee Lubuva)
 
tunamjua ss si ndio ananga wenze wakat alikua huko huko
ningekua mm jpm hagusi kitu sio serekali ya mtandao,bb,mtt ,wajukuu why???
 
Kila mtu anaweza kutoa tafasiri yake ya hizo picha. Kwangu mimi zina tafsiri moja tu nayo ni ANGUKO LA KUJITAKIA LA UKAWA!

1)
Hiyo ya shimo na ngazi inaonyesha jinsi mwenyekiti wa CDM anavyoteketeza makamanda waliokifikisha chama hapo kilipo mmoja baada ya mwingine nakuwaita WASALITI. NANI ATABAKI...?

attachment.php



2) Hiyo ya nguruwe si ndio rahisi zaidi? Yaani mtu anafanya maandalizi babu kubwa, ikiwa ni pamoja na kuainisha na kuchambua NGURUWE, halafu .......DUH! MATUSI SIPENDI!

attachment.php
 
Kwakweli Mh Rais aombewe yupo hatarini sana katikati ya dimbwi la wanyang'anyi.... Sijampigia kura ila anafanya mambo kama mpinzani, anafanya zaidi ya mpinzani.... Magufuli ni Sokoine zaidi ya Nyerere.
 
HAKUNA ALIYE AU ANAYE HITAJI FADHILA KWA MWINGINE HAPA tunaongelea kitendo chavM/KITI mtarajiwa wa C.C.M kuiacha ilani ya chama na kuanza kuendesha maswala bila kufuata ILANI YA C.C.M!
"HATA WALE WANAUSHINDI WA C.C.M WANAONEKANA SI KITU KWAKE?

J.MAKAMBA NAUNGANA NAWE 100%

kazi ya mshenga makamba imekwisha
 
Picha zote tatu zinawasilisha ujumbe mmoja ambao umewasilishwa kwa kutumia paragraph tatu. Kila picha moja ni paragraph moja! Paragraph 1. Mwandishi anaujulisha umma wa watanzania kuwa kuna mtu alikuwa na shida kubwa ya kufika mahali fulani lakini (ndani ya nyumba) lakini hakuwa na uwezo halali wa kuingia ndani ya nyumba kwa kupitia njia halali (mlangoni)! Hivyo wapambe wake walikuwa na njia moja tu ya kumsaidia ili aingie ndani ya nyuma, waliamua kutoa paa la nyumba kimabavu halafu akapanda kwa ngazi mpaka juu, halafu hiyo ngazi ikaingizwa ndani ya nyumba na akaitumia kuingia ndani ya nyumba! Alipofika ndani ya nyumba, ilitegemewa awakaribishe waliomsaidia kuingia ndani ya nyumba ili wafaidi wote na nyumba iezekwe tena (gharama zilizotumika zirudishiwe)! Kinyume chake jamaa alipoingizwa ndani, hakuwakaribisha wenzake ndani, badala yake aliamua kuichoma nyumba na kuteketeza vyote vilivyokuwa vinatamaniwa yaani vichaka vya ufisadi! (kwa kutumia kuni kutoka kwenye ngazi aliyoitumia kuingia ndani). Ujumbe kwa mhusika ni kwamba, vitu vinavyotamaniwa vitateketea vyote na yeye atabaki humo peke yake maana hakuna atakayekuwa na hamu ya kuingia humo na hata kama akitaka kutoka hataweza maana ngazi itakuwa imeteketea! Anapewa ujumbe kwamba ajiandae kwa upweke! Paragraph 2. Paragraph ya pili inampa ujumbe mhusika kuwa asijidanganye kuwa ataendelea kufanya anavyotaka maana wale aliowawekea kauzibe watamfunga mnyororo wa njano yaani chama kitatumika kumdhibiti na atalazimika kufuata matakwa ya chama wala siyo anayofikiri kichwani, (ndio maana anaoneshwa akiwa hana kichwa na amefungwa mnyororo). Paragraph ya tatu wazee wa awamu zilizopita wanaskitika kuwa picha yao halisi imefichuliwa yaani picha ya unyama unyama tu pamoja na kwamba wamevaa suti lakini watu wamejulishwa kupitia mitandao ya kijamii kama fb na nk! Lakini mhusika anaambiwa kuwa ataanguka! Ndio maana ameoneshwa akiwa ameanguka na yuko kifua wazi yaani ni kwamba wanategemea kumuumbua pia! Ili watu waone machafu yake! Kwa kifupi ujumbe kwa picha unasema tumekubeba ukatusahau nasi tutakushughulikia! Umetuumbua tutakuumbua! Huu ujumbe umetolewa na watu wenye hasira! Wanamtisha hata rais! Tumwombee Rais wetu ili wanaotaka kumchimbia shimo watumbukie wenyewe!
 
Back
Top Bottom