January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Ccm ni kweli hakuna msafi,vipi huko kwenu msafi si Mbowe,Sumaye,Lowasa au nmekosea.
Wanapokuja huku huwa tunawasamehe uchafu wao na kuwatakasa kuwa wasafi. Maana huku sisi wote ni wasafi kabisa hakuna mchafu hata mmoja
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Yawezekana ikawa kutembea uchi ni jadi yako
 
Nashindwa kuelewa kama sheria ya uchaguzi mnaifahamu au la. Tume ikishatangaza matokeo ya urais si imetoka, hamna cha kupeleka mahakamani wala nini. Kama kuna siri ya kutoa asiitoe wanaweza kumgeuzia kibao na kumpa kesi ya uhaini. Lakini kama anaanguka, basi aanguke na wengi asiwe kama Lowassa.
 
Iringa Mnasemaje? Tumejipanga Mwaka Huu wataisomaa Ohooo Ni ile ile.
 
Umetumwa kuweka hii kumtisha Mkuu Wa nchi? Kwamba hafukukuziki? Ccm sio Makamba hebu vuta historian kidogo.
Cha msingi haki itendeke tuu asiangaliwe kaifanyia nini Ccm kwakua akibaki ataeneza virusi zaidi kuliko akiweko nje Kama kafanya kosa kweli.
 
i will bookmark this thread ...!! nakumbuka yule jamaa aliyesema zito akishinda atatembea uchi ...
yle aliishia pale magomenitu watu wakamuweka ndani na jina lake sasa hivi linaanza na Aunt...
 
KALINZI NYUMBANI said:
"Kama naushahidi naenda mahakani" lakini Mange "katoa ushahidi".Nimegundua nafanya majadiliano na mjinga.Kama ungekuwa naakili japo ya hiyo div 5 ningefikiri unamtaka na Mange aende mahakamani.

Nichombo gani kinachoidhinisha makosa ya mtu au ufisadi wa mtu umefanyika?.

Kwa nini usimshauli Mange apeleke ushahidi wake mahakamani ili tuujue ukweli?.

Kweli Tz yetu mijinga mijinga imejaa.

Pole sana.
Hasira na matusi ya nini mwerevu? Mange kaweka hapa insta ushahidi, January na dada yake wote wamerespond na hawakukataa kutomjua mhusika, kwa nini asijadiliwe Makamba na uhusika wake? Sidhani kama matusi yanaonyesha umahiri au ujuzi wa mada tajwa
 
na mimi nakataa hakuna wakumfukuza huyu mwizi wa mitihani..ni jembe la ccm

Maji yakiwafika shingoni hata kama hawatamfukuza watamwomba ajiondoe kukinusuru chama na serikali yake.

Ni kama maji yalivyowafika shingoni wakaamua kumteua JPM kugombea urais badala ya Membe waliyekuwa wanamtaka.
 
Stay tuned......!!!

Sefue keshakula Chuma, just one hour ago.....
 
We we punguani unayetetea mibo. Ya wanaumee wenzako na kuandika pumba zako mjinga ni we we dume zima zero IQ hujuisha kutofautisha hata l shauri ya kukimbia umande bogus we we shame upon UA ugly face mxiiiiiew unikome
Wewe ni mjinga tena we nimjinga sana,tatizo unaonekana minyoo imekimbia tumboni nakuhamia kwenye ubongo.

Kwa nini uwe na double stand ccm na cdm kote huko wamejaa majizi.Na sio utetee majizi wakwenu na kuwatuhumu jirani zako.

Narudia tena ujinga ujinga ulionao kichwani kuondoa nijitihada zako za kuruhusu akili yako iwe free.Pevuka kiakili na uache kutetea mabwana zako wanao kuf....

Nchi hatuwezi kuipeleka mbele tukia na mijitu mijinga mijinga kama wewe.Kua elevuka kiakili uwaelimishe na wadogo zako,pia nawanao kama unao.

Jamii inayokuzunguka itajifunza nini kama akili yako ndio hii imeyojaa upunguani.Ondoa hao funza kichwani mwako we nyumbu.

Ujinga ulionao tambua nimzigo kwa taifa,tutaelimisha mijinga kama nyie mpaka lini mnaowatuhumu wenzenu wananuka hali yakuwa mwenyewe upo breed na hutaki kuoga.

Acha ujinga ujinga,acha double stand.

Pole sana.
 
Hasira na matusi ya nini mwerevu? Mange kaweka hapa insta ushahidi, January na dada yake wote wamerespond na hawakukataa kutomjua mhusika, kwa nini asijadiliwe Makamba na uhusika wake? Sidhani kama matusi yanaonyesha umahiri au ujuzi wa mada tajwa
Matusi yapo wapi?,nani kakataa hao wasijadiliwe?.

Tatizo nikuwa na double stand zakuona ufisadi wa ccm hali yakuwa wa cdm wakitwambia twende mahakamani.

Cdm na ccm kote huko nikuzaji wa mafisadi na wafungaji wa mafisadi.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Nakuomba kama utafanya hivyo I we usiku wa manane.
 
Daaa mkuu nakuonea huruma sijui utaanzia mtaa upi ili watu wajiandae kufumba macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom