January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Mbona kuna waziri mmoja alivujisha siri za baraza la mawiziri kwa kumu-sms mtendaji wake kuwa kuna ziala ya kushitukiza ya waziri mkuu....lakini huyo waziri hajafanywa kitu?? Richa ya kwamba alikula kiapo kabisa.
Hivyo jambo hilo mkuu wala usilitarajie kabisa na jamaa ataendelea kupeta na majipu yatatumbuliwa baadhi tu tena yale madogo(vijipu) na makubwa yataachwa..na mwisho wa siku tutaisoma namba
 
Kaanzishe topic ya ufisadi wao hapa ni out of topic
Mada ni ufisadi,tusiwe na double stand tuwe wakweli na dhamira zetu zionekane kupitia maandishi yetu.Kuanzia ccm mpaka CDM wote hao ni sawa na vigango vya kulea mafisadi na kuwasafisha.

Hakuna koongoz wa CDM kwa sasa mwenye uwezo wa kukemea ufisadi kama yupo ajitokezo aonyeshe dhamira tumuunge mkono.

Akiiba wakwao ni mwizi lakini akiiba wakwetu mwenye ushahidi aende mahakamani.

Tanzania yetu hakika imebaki na wazalendo wachache tena ambao sio wanasiasa.
 
Hii ni Vita ya kumpunguza nguvu kuelekea mwaka 2025 kama walivyofanya kwa lowasa makamba ndio anadhani yeye ni kijana mwenye nguvu ndio wanamchafua sasa
 
Hoja hapa sio kufukuzwa ,ikitokea kama kweli hizo tuhuma zimethibitishwa pasi na shaka mbona kumwajibisha ni sekunde tu ,wako wapi kina Mastermind Nchimbi ? Achana na serikali bana atawajibishwa na atakaa kimya vinginevyo mambo mengine yatakua historia tu
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Kabla hujaanza kutembea hakikisha umeoga maana yawezekana unataka watu watapike kwa jinsi ulivyo mchafu. Hatuko tayari
 
Mada ni ufisadi,tusiwe na double stand tuwe wakweli na dhamira zetu zionekane kupitia maandishi yetu.Kuanzia ccm mpaka CDM wote hao ni sawa na vigango vya kulea mafisadi na kuwasafisha.

Hakuna koongoz wa CDM kwa sasa mwenye uwezo wa kukemea ufisadi kama yupo ajitokezo aonyeshe dhamira tumuunge mkono.

Akiiba wakwao ni mwizi lakini akiiba wakwetu mwenye ushahidi aende mahakamani.

Tanzania yetu hakika imebaki na wazalendo wachache tena ambao sio wanasiasa.
Sasa we we mambo ya chadema na udalali wa Makamba wahusikaje kuhalalisha kosa. Yani uchafu wa mwingine ufanyie comparison isiyolinhana. Does it real make sense? Ka unaushahidi unaenda mahakamani mange mbona katoa ushahidi sasa nyie watetezi wake mnaingiza ya Chadema hyo si nonsense ingekuwa mtihani ungepata division five wewe
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno mkuu. Ni hayo tu.
 
Mkuu akifukuzwa uje unichukue na mimi tuanza safar, maana anasema awamu ya kikwete ilikuwa ya kuleana ambapo hata yy ni tunda la kuleana!. Hatar
 
Kweli Nani kaona kesho Yani Dogo Jembe hata wiki haja maliza toka arushe jiwe kwenye nyumba ya vioo pale Msoga Leo hiiii Ana hitaji sana ushawishi wa Mzee wa Msoga kuweka mambo sawa
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mkuu, hayo yote ni sawa. Wanaweza kumtimua na hawezi kusema lolote. Lowassa walimkata akaenda ukawa mpaka leo hajasema lolote la maana. Aliishia kuaema ccm haifanya lolote miaka 50. Ndiyo siasa ilivyo.
 
Makamba ni hazina kwa CCM na bado kijana mdogo msimlinganishe na Lowassa ambaye umri umemtupa mkono. Makamba bado ana uwezo wa kusimamià chaguzi ya tano hivyo kumfukuza kirahisi siyo sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom