Kabla hujavua nguo nakuanza kuitangaza rasmi biashsara yako, ipime kwanza hiyo tigo yako size yake. manake wazee wa ngwasuma wakiingia kazini itakuwa hatareeeeeee....... then ukivua nguo anzia hapo mtaa wa congo uone shunghuli yakeMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
"Kama naushahidi naenda mahakani" lakini Mange "katoa ushahidi".Nimegundua nafanya majadiliano na mjinga.Kama ungekuwa naakili japo ya hiyo div 5 ningefikiri unamtaka na Mange aende mahakamani.Sasa we we mambo ya chadema na udalali wa Makamba wahusikaje kuhalalisha kosa. Yani uchafu wa mwingine ufanyie comparison isiyolinhana. Does it real make sense? Ka unaushahidi unaenda mahakamani mange mbona katoa ushahidi sasa nyie watetezi wake mnaingiza ya Chadema hyo si nonsense ingekuwa mtihani ungepata division five wewe
Duh, hii kali!Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
sefue jeMuhongo wa Sms, mbona kelele zimeisha
Mkuu sipo ujiji nipo huku kijijini kwetu kalinzi,ipo kigoma kask.Vipi huko kwenu Kyera muwazima.mkuu habari za kigoma ujiji ?
tunatumbua ambao hatukuwateua mkuusefue je
huku Kwetu Kyela hali si nzuri , kipindupindu kina mwaka mzima sasa .Mkuu sipo ujiji nipo huku kijijini kwetu kalinzi,ipo kigoma kask.Vipi huko kwenu Kyera muwazima.
Umeandika kwa upole leo..Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha
...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Poleni sana saidianeni na mbunge wenu Mwakyembe mkiondoe.huku Kwetu Kyela hali si nzuri , kipindupindu kina mwaka mzima sasa .
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Mh haya majipuMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
2020 Mwakyembe akirudi bungeni nabadili kabila na kuhama .Poleni sana saidianeni na mbunge wenu Mwakyembe mkiondoe.
I hope 2020 mtamrudisha tena bungeni,ingawa nilisoma mahali ukiapa kuwa ndio mbunge wa chama tawala wa mwisho kutawala huko.
atemeshwe kwa kosa lipi hasa?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Utapita viunga vya wapi Mkuu, na kifo chako utakifanikishia wapi?Mimi nitatembea uchi siku tatu mfulululizo na kujiua
Hivi kuna msafi ndani ya ukawa?Hivi kuna msafi ndani ya ccm?na hata akina Lowasa walifundishwa na ccm namna ya kuiba